Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #181
Mkiwa wapi hapo Medical Store au pharmacy kama pharmacy..Sisi wagawa dawa pharmacy tushazoea kuwa chakula cha mbu na kukakaa ni mikoti mikubwa kujikinga na viyoyozi...
Tena nyie watu wa afya huwa mna balance vipi usingizi mkuu