Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Unatafuta hela lakini unaharibu afya yako kwa kunywa energy na kukosa usingizi wakutosha.

-kipimo cha myocardial infarction muhimbili- 2M
-Kuweka stent-6M

Kumbuka
"Afya ni mtaji"

🙏
 
Ndo maisha hayo we kesha ili badae wanao waje waimbe nani kama mama

Nb, nakusihi nakusihi hizo energy hizo energy nilitaka niache roho live live sababu ya hizo hizo kuwa makini sana
 
Mimi nimefanya sana kazi ya ulinzi usiku. Inafikia kipindi usiku silali na mchana silali nikifika hatua hii naacha kazi ku reset mwili urudi kwenye hali ya kawaida. Baadae naanza tena mpaka nilivyostaafu.
Mkuu hongera sana toka kuwa mlinzi hadi kusukuma migari ya maana. Kweli maisha ni hatua na mapambano.
 
Unatafuta hela lakini unaharibu afya yako kwa kunywa energy na kukosa usingizi wakutosha.

-kipimo cha myocardial infarction muhimbili- 2M
-Kuweka stent-6M

Kumbuka
"Afya ni mtaji"

🙏
Duuuhh myocardial si mambo ya moyo hayo mkuu wangu au
 
Pole sana Mkuu,nishawahi fanya kazi kampuni x, yaani hata nikchukua likizo inabidi nizime simu, maana ni nwendo kutoka usiku!
 
Pole sana Mkuu,nishawahi fanya kazi kampuni x, yaani hata nikchukua likizo inabidi nizime simu, maana ni nwendo kutoka usiku!
Ulinzi nini maana mambo ya kulinda hayo niliyakataaga mapema aiseeee..

Kule hapana daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…