Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Ukifika hiyo stage.. Tambua unahitaj watu wakusaidiana, mimi pia na deal izo mambo nipe connection tugawane Riziki mkuu
Sawa mkuu kadri ya uwezo wangu takutafuta kama kukiwa kuna rundo la kazi mkuu.

Bila team work kutoboa ngumu huku nimekuelewa sana mkuu
 
Duuh kumbe ni familia kabisa...
Mi sometimes mpaka najuta an ila ndio hvo kwenye maokoto tena lazima kuzingatia...

Na mchana si unapata mda wa kulala..?

Utofauti wa mimi na wewe mimi ratiba yangu iko fixed....najua kwa week nitakuwa na night shifts chini ya tatu,wewe unadai ni 7/7

Mchana nalala sana 😃
 
Utofauti wa mimi na wewe mimi ratiba yangu iko fixed....najua kwa week nitakuwa na night shifts chini ya tatu,wewe unadai ni 7/7

Mchana nalala sana 😃
Daaah mi mchana ni show show..
Si unajua si wa kujitafuta so hatuna ile mnayoita fixed an ni kazi kazi anytime...

Na haulazimishwi ni wewe tu na njaa yako ya pesa 🙌🙌🙌🙌😁😁 yaani ni misumali
 
Screenshot 2024-11-03 113054.jpg

Usikimbie wateja mzee tupe kazi..
 
Umeongea yote na hili ndio ulilolenga kijana,nitakupatia mdogo wangu uache kutia huruma.🤣


Kazi za usiku tumefanya sana tena sana kuanzia nyumbani hadi ugenini.
Ahahahah mkuu umeongea mengi ila.hilo sualla la mdogo ako nimeona mkuu kweli wewe ni smart na genius....

Fanya kweli mkuu kama sasa hvi hapa nina kazi rundo za watoto wa chuo nawaza naanza mda gani na dead line ni ijumaa na mzigo hautakiwi uutupe chat gpt yaan ni wewe na vitabu mkuu
 
Back
Top Bottom