Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Je, ushawahi kufanya kazi za usiku?

Nilifanya mwaka juzi, nilikuwa nakesha busy kuanzia saa 11 jioni angalau napata muda wa kupumzika ikifika saa 9 usiku, hapo nitajiegesha kwenye kiti mpaka saa 10 ikifika saa 11 alfajiri ubusy tena unaendelea mpaka saa 5 asubuhi ndio narudi nyumbani kulala hadi saa 10 jioni nirudi kazini tena.
Ila kwa sasa hivi kazi za usiku sitaki kabisa.
 
Kwanini utaki trud...
Ulikua hutumii kinywaji chochote ili uwe active...?

Alafu till now upo macho mbona kama yale yale tuu...😁😁😁
 
View attachment 3190336
Usiku una mambo mengi mno
Mda huu wa usiki kila mtu anautumia kivyake, kuna wale wa kulala. Kuna wale wa kuwanga, kuna wale mafundi ila kuna sisi wengine ambao keyboard ndo chakula chetu.

Kwangu mimi hizi kazi za usiku zimekua too much mpaka nasema hivi ni.lini takua na mpenzi ambaye anaelewa hizi harakati zangu.

Imagine unaweza tafutwa saa nane ya usiku ukaambiwa kinahitajiika kitu fulani. Wewe hapo utawasha PC na kuanza kufanya kazi.

Mda wote tuna kesha na maji vs energy

Yaani kiufupi kulala inakua changamoto mno kazi zetu zinahitaji mda wote uwe active...

Bado ujapata assignment za watoto wa chuo hapo ndo utajuta ni.mwendo wa kuchimba tuu daily...

Hakuna jmosi wala jpili... Kila siku ni kazi kazi.
Kwetu usingizi umekua adimu sana mpaka mwili umezoea sasa..

Je ulishawahi kufanya kazi hizi za usiku mpaka ukawa upo bize na vitu vya ajabu ajabu kama mapenzi na umbamba mwingine..?

View attachment 3190333
Usisahau afya yako ni muhimu mno ndugu......hasa hapo kwenye usingizi usipapotezee.....

Tafuta muda upumzike vizuri
 
Kwanini utaki trud...
Ulikua hutumii kinywaji chochote ili uwe active...?

Alafu till now upo macho mbona kama yale yale tuu...😁😁😁
Hapana nilikuwa situmii kinywaji chochote zaidi ya maji tuu ila ilikuwa lazima mida ya saa 9 usiku kabla sijajiegesha kwenye kitu nile tena 🤣🤣.
Bora sasa hivi nipo macho nachat tuu kwa kupenda enzi zile ilikuwa ni kazi kazi hakuna kupumzika.
 
Sema izi mambo una edit hadi Mgongo unaumaa yan aisee.. af client wanajua kazi nyepesi kumbee ina taabu yake.. 😄
 
Hahahaha.. apo ungecheza na preference then una clear cache kwny log
Nilikuja kufanya hvoo mwishoni kabisa....
Tena baada ya ku change settings pale kwa export...

Nilijaribu kutumia media encoder kumbe ndo wale wale 😁🙌
 
Usiku ndio muda mzuri wa kuondoa bugs, mchana kelele nyingi hata utulivu unakosekana.

Ila kile kipindi cha corona hizo kazi za online ndio tulizibonda sana, mwanzo nilikuaga nazipenda ila baadae nikajaga kupoteza interest.
Kwanini mkuu ukapoteza interest..
Mbona mambo yapo fire huku...

Daah yaani now mambo yanavyoenda hizi sector i muhimu sana mkuu
 
Mimi nimefanya sana kazi ya ulinzi usiku. Inafikia kipindi usiku silali na mchana silali nikifika hatua hii naacha kazi ku reset mwili urudi kwenye hali ya kawaida. Baadae naanza tena mpaka nilivyostaafu.
Mkuu yaani hapo kama umekosea hvi..
Umesema mchana hulali na usiku pia hulali unakua unalinda...

How came hii hivi ulikua unakunywa vikali ili usilale au ulikua unaishije mkuu..

Hata ulivyo staafu ulitumia mda gani mpaka kurudi normal
 
Mkuu nakunywa maji mengi kuliko enegy vipi hapo..?

Nikisema nisinywe energy sitoboi..kuna siku niliacha kazi nikasema ngoja nilale kidgo daah nakuja kustuka saa tatu simu kibao alafu kazi nikakuta hata haija aoutosave daaah

Mbadala wa energy ni kulala/kupumzika
Hela zipo tu tena kwa nilivyokuelewa wewe umejiajiri kwa hiyo unaweza kujitengea muda/siku kwa ajili ya mapumziko

Usiforce mambo usije ukakosa yote
 
Hapana nilikuwa situmii kinywaji chochote zaidi ya maji tuu ila ilikuwa lazima mida ya saa 9 usiku kabla sijajiegesha kwenye kitu nile tena 🤣🤣.
Bora sasa hivi nipo macho nachat tuu kwa kupenda enzi zile ilikuwa ni kazi kazi hakuna kupumzika.
Sema hapo kwenye kula umenzingua..
Kupenda kula tuuu kufanya kazi aaaaaaah 😁😁😁😁

Kama mimi hapa kuna kazi kazi ila wee nimesema taanza saa nane mpaka huku papoe now nakusanya raw material hapa nikianza nimenza kweli
 
Mbadala wa energy ni kulala/kupumzika
Hela zipo tu tena kwa nilivyokuelewa wewe umejiajiri kwa hiyo unaweza kujitengea muda/siku kwa ajili ya mapumziko

Usiforce mambo usije ukakosa yote
Asante sana madamu..
Umeongea kitu nimeelewa sana hapo kuwa pesa zipo tuu..

But nimefikilia njia nyingine ya kukwepa hvi vitu ni kutafuta mwenza ambaye either awe anafanya haya mambo ili tusaidiane usiku yaani tupeane shift ...

Au awe na kichwa chepesi nimfundishe maana mi mchana nakua bize kuliko usiku yaani mchana kasheshe yake aaaaah hata mda wa kulala upati..

Kula tuu yaani ni kwa mbinde unaweza letewa chakula ila sasa kuna pipo zinakutinga mpaka chakula chapoa
 
Mkuu yaani hapo kama umekosea hvi..
Umesema mchana hulali na usiku pia hulali unakua unalinda...

How came hii hivi ulikua unakunywa vikali ili usilale au ulikua unaishije mkuu..

Hata ulivyo staafu ulitumia mda gani mpaka kurudi normal
Yaani nikifanya kazi usiku kucha nikirudi nyumbani nalala 5-7 hrs mchana. Ila kadiri ninavyoendelea na hio kazi msaa ya kulala mchana yanazidi kupungua mpaka najikuta nalala 1hr au silali kabisa. Hapo kichwa kishavurugika. Inabidi niache kazi ya usiku ili ni format kichwa upya.
 
Daaaah mkuu mbona wewe ulikua una hatari bora hata mimi aiseeee...

Mi kuna mda naona kabisa hapa kichwa sio changu ila kulala mchana ni lazima nitalala tuuu tena masaa mengi
 
Back
Top Bottom