Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukimbia ili iweje madam au ulikutana na kijamaa kama eric omondi [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshenzi wewe una nini lakini umenifanya nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa kwani Eric Omondi ana nini jamani?
 
Bila shaka kilichofuata ni manyoya kunyonyoka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani kondakta siyo mwanaume? Asiwe muhuni tu kama ana mapenzi ya kweli mbona fresh tu
 
Oya kusema bado uja panga kwenda kukutana nae au
Nenda kamjulie hali ukitaka kumteka kiisia kama uto Jali pote zea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani kondakta siyo mwanaume? Asiwe muhuni tu kama ana mapenzi ya kweli mbona fresh tu
Kuna mwalimu mkuu mmoja anafundisha primary school mmoja mtwara, baada ya shughuli za ualimu huwa anachoma mishikaki stendi kuu ya mtwara na kuanza kua kimbizia wateja.

Anadai mke wake huwa akimkuta katika hali hiyo, mke Mara nyingi humkimbia na kumkwepa.

Sasa makonda uta waweza wewe, neno mmoja linalofuata ni tusi kwao
 
[emoji23][emoji23]
 
Yeah ndo maana nikasema asiwe muhuni na awe na mapenzi ya kweli na pia siyo makondakta wote wako hivyo kuna makondakta pamoja na hali ngumu za maisha walizonazo na maswahibu wanayopitia kila kukicha bado ni wastaarabu na ni wapole

Mimi kwangu kipaumbele ni mapenzi na siyo pesa kuliko kupata mume tajiri lakini ananinyanyasa au ananisaliti ni bora nipate mume masikini lakini ni mpole na muaminifu na siyo yule ambaye yuko hivyo kwa sababu tu ni masikini hapana bali yule ambaye yuko hivyo kiuhalisia kabisa sema tu ndo ngumu kuwapata
 
Daaah aiseee, yaani huyu wa kwangu juzi kati alipata ajali akapoteza faham,sasa wakati anazinduka akawa anataja jina langu,sasa ndugu wakawa wanajiuliza huyu ni nani anatajwa bila kujua chochote,kumbuka hajawahi kuniona hadi naogopa
Wewe ulijuaje kama anakutaja wakati hamjaonana means mnakaa eneo tofauti?
Yeye kazinduka hajitambui nani alikujulisha taarifa hizi?
 
Yes inaweza tokea.

dah! Kuna member nampenda humu hajijui tu
Kibaya zaidi ana mwanamke tayari..mfyuuu zake
 
Waume masikini na waaminifu wapo wengi tu mkuu; tatizo la waume wengi masikini ni kushindwa timiza vizuri majukumu yao ya familia hasa kwenye maswala maradhi, chakula, na emergency za mbali mbali za kifedha zinazotokeaga

Hapo wengi ndio huwa mnajikuta mnaanza angalia watu nje wakuwasaidia majukumu hayo.

Misemo ya kuwa kweli nampenda Mme wangu ila ni shida tu ntafanyaje hapa ndo huanza kutamaraki
 

Asante kwa kutukumbuka Makondakta maana tunapondwa sana huku mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…