ππππππππ aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshenzi wewe una nini lakini umenifanya nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa kwani Eric Omondi ana nini jamani?
πππππ kumbe ana shehena ya mafuta tumboni.Yule mrembo kamblock rafiki yangu. Tatizo sio pesa kabisa, Mimi nilichogundua ni muonekano. Rafiki yangu ana sura nzuri ila kitambi sasa ndo shida [emoji23]. Good news he is engaged na anaoa next year.
Unaona nini, uadui?Aisee, "ndo ukome na kujifanya kwako fundi" hapa sioni upendo kabisa wallah.
Hahahah ugumu uko wapi jamani mbona hata mimi kondakta mamaYeah ndo maana nikasema asiwe muhuni na awe na mapenzi ya kweli na pia siyo makondakta wote wako hivyo kuna makondakta pamoja na hali ngumu za maisha walizonazo na maswahibu wanayopitia kila kukicha bado ni wastaarabu na ni wapole
Mimi kwangu kipaumbele ni mapenzi na siyo pesa kuliko kupata mume tajiri lakini ananinyanyasa au ananisaliti ni bora nipate mume masikini lakini ni mpole na muaminifu na siyo yule ambaye yuko hivyo kwa sababu tu ni masikini hapana bali yule ambaye yuko hivyo kiuhalisia kabisa sema tu ndo ngumu kuwapata
Ndo maana tunaambiwa tujikubali kama tulivyo sasa kujikubali haimaanishi kwamba mtu yuko flawless ukisubiri eti uwe flawless ndo ujikubali basi utasubiri sana na vile vile mwanamke akijikubali haimaanishi kwamba ndo anatakiwa awe na mwanaume mwenye kila kitu hapana kila mwanamke ana vigezo vyake kwa mwanaume anayemtakaunajua kuna level ya majivuno inasababisha watu tuanze kuona mtu anatakiwa awe flawless[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waume masikini na waaminifu wapo wengi tu mkuu; tatizo la waume wengi masikini ni kushindwa timiza vizuri majukumu yao ya familia hasa kwenye maswala maradhi, chakula, na emergency za mbali mbali za kifedha zinazotokeaga
Hapo wengi ndio huwa mnajikuta mnaanza angalia watu nje wakuwasaidia majukumu hayo.
Misemo ya kuwa kweli nampenda Mme wangu ila ni shida tu ntafanyaje hapa ndo huanza kutamaraki
Msijali mwaya mimi huwa 'simzalau' mwanaume kutokana na kipato chake bali huwa 'namzalau' mwanaume kutokana na tabia yakeAsante kwa kutukumbuka Makondakta maana tunapondwa sana huku mitaani
Kabisaa jamani babakeulifanya la maana
Kuliko kuweka matumaini pasipo na kitu.
Naomba uyazungumze na mwenzangu please, sirudi nyuma mimi jamaniTuyazungumzeni tafadhali.
Hahahah ugumu uko wapi jamani mbona hata mimi kondakta mama
πππππππ Hahaha hamna kondakta mpole...Well jamaa wapo real sana. Kwa wanawake wanaotafuta real guys makonda ni mfano mzuri wa aina hio ya wanaume japo wengine ni ignorant ndio wale wanaotukana ovyo na mineno ya shombo.Hahahaha umenielewa sana ila basi tu jeuri nimesema makondakta wapole waaminifu wenye upendo wa dhati na wanaojua kujali ndo wagumu kupatikana
Hapo ndio utakuwa genuine. Love matters kwa wanaopendana sio kwa jamii inayowazunguka.Ndo maana tunaambiwa tujikubali kama tulivyo sasa kujikubali haimaanishi kwamba mtu yuko flawless ukisubiri eti uwe flawless ndo ujikubali basi utasubiri sana na vile vile mwanamke akijikubali haimaanishi kwamba ndo anatakiwa awe na mwanaume mwenye kila kitu hapana kila mwanamke ana vigezo vyake kwa mwanaume anayemtaka
Naweza kuwa najikubali kupitiliza hadi nakera watu ila nikaja kupata mwanaume hana mbele wala nyuma hamna anayemuelewa ila mimi ndo nimempenda hivyo hivyo kwa sababu pamoja na kwamba ni masikini au mbaya ila kuna vigezo fulani tofauti na hivyo ambavyo ninavitaka yeye anavyo ujue utajiri na uzuri siyo kipaumbele kwa kila mtu ila jamii tu ndo imejiwekea hivyo ndo maana haya yote yanatokea
Dah...kumbe ni wewe [emoji44][emoji2960]Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao
Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
Dah...mwana...yaani huwa napanda mwendo Kasi nisikie sauti yake tu...[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupeane koneksheni baharia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah...mwana...yaani huwa napanda mwendo Kasi nisikie sauti yake tu...[emoji2960]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahaha hamna kondakta mpole...Well jamaa wapo real sana. Kwa wanawake wanaotafuta real guys makonda ni mfano mzuri wa aina hio ya wanaume japo wengine ni ignorant ndio wale wanaotukana ovyo na mineno ya shombo.
Ila ukimkuta konda aliekulia kwenye ustaarabu wanakuwaga freshi kinoma.
Kashindikana huyoagata edward Dada tafadhali usimuache kaka angu jamani. Si tulikuwa katika matani tu ya kuchangamsha keyboard.
Jaribu bahati yako.Yes inaweza tokea.
dah! Kuna member nampenda humu hajijui tu
Kibaya zaidi ana mwanamke tayari..mfyuuu zake
[emoji23][emoji23] nimwambie kwamba nampenda ?Jaribu bahati yako.