zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Katiba pia inasaidia maana inaongeza uwajibikaji. Mfano Rasimu ya warionaMiafrika haina ustaarabu na hicho ndio kitu chenye kutufanya sisi tuwe tofauti na wengine na wala si suala la katiba wala nini ni kukosa kustaarabika tu, Magufuli aliwafanya watu waekeleze mambo majukumu yao kwa kumhofia yeye hadi wakamwita mungu mtu ila sasa watu wapo huru kutekeleza majukumu yao bila kutiwa hofu ila sasa angalia kinachofanyika?
Mfano wabunge wanaweza pinga bajeti
Bunge linaweza mtumbua waziri
Bunge lenyewe linawajibika kwa wananchi so akishindwa kufikia KPI anafukuzwa kwa majority vote ya jimboni.
Mahakama inakua guaranteed uhuru tofauti na sasa ambapo inaenda na tune za Rais husika.
Bunge linashindwa kuwa na meno hata ripoti ya CAG ikipelekwa sababu wabunge ni lazma wawe na chama so wakipinga serikali wanaweza vuliwa uanachama ila kwa warioba bado unabaki kma mgombea binafsi.
Mambo ni mengi ikiwemo kupunguza post za kisiasa ili kila nafasi iwe accountable kwa wananchi directly.
To be honest hta kma waafrika hatuna ustaarabu ila katiba mpya ikiweka clear lines of authority walau kuna asilimia ya ustaarabu inaongezeka. Rejea south Africa na Kenya