Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Miafrika haina ustaarabu na hicho ndio kitu chenye kutufanya sisi tuwe tofauti na wengine na wala si suala la katiba wala nini ni kukosa kustaarabika tu, Magufuli aliwafanya watu waekeleze mambo majukumu yao kwa kumhofia yeye hadi wakamwita mungu mtu ila sasa watu wapo huru kutekeleza majukumu yao bila kutiwa hofu ila sasa angalia kinachofanyika?
Katiba pia inasaidia maana inaongeza uwajibikaji. Mfano Rasimu ya wariona

Mfano wabunge wanaweza pinga bajeti

Bunge linaweza mtumbua waziri

Bunge lenyewe linawajibika kwa wananchi so akishindwa kufikia KPI anafukuzwa kwa majority vote ya jimboni.

Mahakama inakua guaranteed uhuru tofauti na sasa ambapo inaenda na tune za Rais husika.

Bunge linashindwa kuwa na meno hata ripoti ya CAG ikipelekwa sababu wabunge ni lazma wawe na chama so wakipinga serikali wanaweza vuliwa uanachama ila kwa warioba bado unabaki kma mgombea binafsi.

Mambo ni mengi ikiwemo kupunguza post za kisiasa ili kila nafasi iwe accountable kwa wananchi directly.

To be honest hta kma waafrika hatuna ustaarabu ila katiba mpya ikiweka clear lines of authority walau kuna asilimia ya ustaarabu inaongezeka. Rejea south Africa na Kenya
 
Hivi unaijua 1.5 trillions mkuu, ni ayo manunuzi ya ndege na mengineyo, ila sio kwamba kapiga zote, ni rahisi sana kulaumu
Ndege zipi mkuu wakati hta aligoma manunuzi yake kufanyiwa auditing!! Pia mfuko wa Rais huwa haukaguliwi so fungu likiwekwa huko no one is authorised kulifuatilia sio CAG wala FIU!!

JPM ana mazuri yake lakini tusimfanye malaika fulani kuna ujinga mwingi aliuacha uendelee ilihali alijiita mzalendo.

Hivi unawezaje ''mpangia" bajeti CAG kutoka 80B mpaka 40B!! Sasa hutaki kukaguliwa hku ni msafi??
 
Mkuu kuwa lau na chembe ya utu basi. Vp familia ya Hayati wasome hii?
Vipi kuhusu familia ya Ben Saanane au Azory Gwanda ambayo mwendakuzimu aliwaua kikatili na kuwapoteza wasome hiyo posti yangu?

Vipi kuhusu famili za Zanzibar ambazo mwendakuzimu aliua watu wake pamoja na kusababishia watu wake vilema wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 wasome posti yangu hiyo?
MsvSC.jpg
 
Ach
Vitendo vya kikatili ndivyo vilisaidia kufanikisha hayo yote. Ukifanya hesabu nzuri utaona manufaa yalikuwa mengi
Acha upuuzi wewe
Angefanyiwa ukatili ndugu yako usingeandika ujinga huu
 
Vipi kuhusu familia ya Ben Saanane au Azory Gwanda ambayo mwendakuzimu aliwaua kikatili na kuwapoteza wasome hiyo posti yangu?

Vipi kuhusu famili za Zanzibar ambazo mwendakuzimu aliua watu wake pamoja na kusababishia watu wake vilema wakati wa uchaguzi mkuu wa 2020 wasome posti yangu hiyo?View attachment 1897720
Hata ungekuwa uchaguzi wa malaika rabsha hazikosekani
 
Usisahahau handling ya uviko 19 jamaa alisimamia anachokijua na kukiamini na taifa halikutetereka mpaka pale alipofumba macho
Hatutaki mtu asimamie anaochokiamini na anachokijua kwa sababu kama anajua matunguri na consiparcy ni janga zaidi ya C19. Tunataka kuongozwa na Sayansi ya kisasa kama binadamu waliostaarabika.
 
Hata ungekuwa uchaguzi wa malaika rabsha hazikosekani
Kuua watu tena kwa kiwango cha kutisha tena kwa kutumia majeshi ya kukodi kutoka Burundi hiyo siyo rabsha bali ni crime against humanity.Na mbaya zaidi mauaji yaliyotokea Zanzibar yana viashiria vya mauaji ya kimbari!
 
Ndege zipi mkuu wakati hta aligoma manunuzi yake kufanyiwa auditing!! Pia mfuko wa Rais huwa haukaguliwi so fungu likiwekwa huko no one is authorised kulifuatilia sio CAG wala FIU!!

JPM ana mazuri yake lakini tusimfanye malaika fulani kuna ujinga mwingi aliuacha uendelee ilihali alijiita mzalendo.

Hivi unawezaje ''mpangia" bajeti CAG kutoka 80B mpaka 40B!! Sasa hutaki kukaguliwa hku ni msafi??
Mkuu hayo mazuri ya JPM ni yapi? Mtu anapimwa kwa vision, integrity, honesty, intelligence, cognisance na compassion. Kwa yote aliyokuwa akifanya, wapi unaona hizo elements?

Sidhani kama tunahitaji kuonyesha “some balance” tunapozungumzia character ya JPM kama ilivyo nadra kusikia balance ya “mema na mazuri” ya Iddi Amin, Mobutu, Macias Nguema, n.k.
 
Kuua watu tena kwa kiwango cha kutisha tena kwa kutumia majeshi ya kukodi kutoka Burundi hiyo siyo rabsha bali ni crime against humanity.Na mbaya zaidi mauaji yaliyotokea Zanzibar yana viashiria vya mauaji ya kimbari!
Ndio imeshatokea sasa tufanyeje
 
Kodi za ajabu ajabu hazikuwepo ... Miamala wanachukua ... Kuongeza salio wanachukua na TANESCO ukiweka Luku wanachukua ...
 
Ndio imeshatokea sasa tufanyeje
Wahusika wote waliofanya hiyo crime against humanity akiwa ni pamoja na mwendakuzimu wanatakiwa watambuliwe rasmi ili kuweka kumbukumbu za historia vizuri na walio hai washtakiwe ili walipe gharama za uovu wao waliotenda.
 
Back
Top Bottom