PreGE2025 Je utashiriki kupiga kura kwenye uchaguzi 2025 baada ya CDM kutokuwepo kwenye mchakato?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapana kwakweli, ivi ujue inauma kweli huwa kuna process nyingi sana unatumia hadi pesa kutafuta vitambulisho vya taifa...

Mimi hata hayo ma vitambulisho ya mpiga kura sina

Bado kuchoma vyeti vya Elimu tuu
 
Hata kabla ya hapo sikuwa na mpango
 
Hapana kwakweli, ivi ujue inauma kweli huwa kuna process nyingi sana unatumia hadi pesa kutafuta vitambulisho vya taifa...

Mimi hata hayo ma vitambulisho ya mpiga kura sina

Bado kuchoma vyeti vya Elimu tuu
Inaonekana umepitia magumu
 
Hahahaaa unaakili sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ’ฏ

Mimi nilishaapa tokea zamani sitakuja kupiga kura ya aina yoyote.
Bora ninyanyasike na mtu ambaye sijamchagua
Kama kupiga kura ni kupoteza haki yangu ya msingi bora nipoteze kwa kweli.
 
Sasa rasmi chadema hawatashiriki uchaguzi 2025 kwa kutosaini fomu ya maadili. Je hapo ulipo umejiandaa kupiga kura? Wananchi waliokuzunguka hapo ulipo wanasemaje? Unadhani Kuna namna ushiriki utapungua?
Yaani kumbe mwaka huu mwamba angekua naye anaanza kuitwa mstaafu. Siku zinakimbia mno aisee. 10 yrs zinakua kama kulala na kuamka. Yote kwa yote tunamshukuru Muumba kwa uzima na afya.
 
Kama kupiga kura ni kupoteza haki yangu ya msingi bora nipoteze kwa kweli.
Haki gani ya msingi?
Haki yangu ya msingi ni vitu vyangu ninavyomiliki kwa jasho langu, pesa yangu ya halali. Kama hiyo ni haki ya msingi basi hata watoto wadogo wapewe haki yao
 
Nilipiga kura kwa miguu yangu kuelekea Vingunguti njia panda ya Kisarawe na Ulaya tangu enzi za utawala wa Mkapa nikijua chaguzi za Tanzania Magumashi walipotubadilishia kura Dar es salaam nzima mwaka 1995.

Nilishaona haya mafafa yataendelea tu.
 
Mama yangu kila inapofika Uchaguzi saa kumi na mbili kashafika ila nashangaa mwaka huu kasema hatoshiriki amenichekesha sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ