Akili na ubongo ujue ni vitu tofauti. Kila kiumbe kina ubongo. Lakini matumizi ya ubongo ndo huitwa akili.Kwani ndoto inatengenezwa kwenye Ubongo au Akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili na ubongo ujue ni vitu tofauti. Kila kiumbe kina ubongo. Lakini matumizi ya ubongo ndo huitwa akili.Kwani ndoto inatengenezwa kwenye Ubongo au Akili?
Imeeleza vizuri lakini Bado hatujapata jibu sahihi Kutoka kwenye Utafiti uliohusisha data Kutoka Kwa kipofu mwenyewe.Kwanza uelewe kitu kimoja. Hao watu walio wengi na walioweza kuelimika,hawana shida na kuwa na macho. Kwa sababu,walishakubaliana na hiho hali,na hawawezi kutamani kitu ambacho hakitakaa kiwezekane katika maisha yao.
Sasa basi,
Wao watakwambia kwamba macho mliyo nayo nyie,ni ya kuona tu vitu vya ovyo hayana umhimu kwenu.
Nakupa mfano wa wazinzi. Mtu akitembea na mwanamke/mwanaume,hawezi kumuota siku hiyo. Ila akimtamani,huweza kumuota. Na wakati mwingine,ataota tu anatongozwa/za, na kugegedana,lakini sura ya aliyemgegeda kamwe haijui.
Sasa,hapo ndo utajua ndoto si picha ya kitu ulichokiona. Bali ni ubongo kurudia matukio ya mda flani ukiwa bize na kuwaza.
Unaweza ukaota demu/mwanaume uliyemuona. Uwezo ulio nao wa kuchagua mwenza, hata wao wanao. Unajua inakuwaje? Wana watu wa karibu. Atakuuliza ulivyomuona,alivyokua amevaa(kama ni kachumbali au kama yuko smart). Kimuonekano. Na yeye atavuta hiyo picha ndo itakayomkaa akilini.
Sasa majibu yako:
1. Ndio, kipofu huota ndoto
2. Aina ya ndoto zao,ni sawa na za kwako. Hapa kwanza,wewe elewa kwamba tofauti yako na yeye ni macho tu.
3. Mfumo wao wa ndoto, ni sawa na mfumo wetu tunaoona.
Si kweli kwamba ndoto ni vitu ambavyo hujawahi viona. Ni mchanganyiko wa maisha tunayoishi. Jiulize mfano gaidi anaota ndoto gani. Kahaba anaota ndoto gani.
Si kuna wakati unaweza jikuta una uoga bila sababu! Hasa kama kuna kitu kimetokea lakini bado hujapewa taarifa? Lakini nafsi itakusumbua na utakosa amani! Na wao ni hivyo hivyo.
Kwanza kuna kitu unaweza kushangaa. Mchanganyie milioni moja ya noti tofauti tofauti. Af muulize ni kiasi gani. Amepewa uwezo wa kujua noti kwa kuigusa tuu.
Kwa waliosona, wana apps ya kuhesabia pesa.
Kwa kifupi, maisha yao ni sawa na yetu. Tofauti tu ni watu ambao wapo makini sana kwa kila kitu
Labda iwe sijajieleza vizuri,sijatafuta data. Binafsi nimewahi kuwa na girfriend mwenye huo ulemavu, hivyo na marafiki zake wenye huo ulemavu nilipata bahati ya kuwa nao karibu na kuwaelewa.Imeeleza vizuri lakini Bado hatujapata jibu sahihi Kutoka kwenye Utafiti uliohusisha data Kutoka Kwa kipofu mwenyewe.
Ahsante.
Hapo sasa umenena.Labda iwe sijajieleza vizuri,sijatafuta data. Binafsi nimewahi kuwa na girfriend mwenye huo ulemavu, hivyo na marafiki zake wenye huo ulemavu nilipata bahati ya kuwa nao karibu na kuwaelewa.
Sasa,ntakosaje kujua mkuu? Mtu umekaa nae miaka kadhaa,utashindwa kujua upande wa ndoto ukoje! Kama ilivyo kwa wengine,hakika utakuwa na shahuku ya kujua kwenye ndoto inakuwaje. Vingi utajionea, vingine utamuuliza. Hapo ni sawa na kuuliza kwamba ikiwa macho hana, utajuaje kama kalala.Hapo sasa umenena.
Naamini kuhusu ndoto hujawahi wauliza,
Tafadhali take some time waulize kuhusu swali hili ,naamini majibu utakayopata yatakuwa deep zaidi.
Kuna kitu una miss, ndoto ni kazi ya ubongo yes ila ndoto inatokana na tariff ambazo zimekuwa stored kwenye ubongo tiali it means sisi tunaoona tunataarifa nyingi za Visual through toka tunazaliwa tunaona so Bongo zetu zinatengeneza Visuals ambazo ni harisi mfano unaweza muota mamayako pia hutengeneza Visuals ambazo si harisi kulingana tiali ubongo una pre-data mfano ubongo unaweza tengeneza image ya shetani lenye mapembe ndotoni lakini huyo shenanigans ujawai kumuona kiuharisia ubongo hapa unatumia data zilizopo za image za vibe uliowai kuona unaunganisha na imagination zako ndio unatengeneza image ya shenanigans ndotoni.🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjui
Wasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.Si lazima itokee picha kamili kutokana na alivyoekezwa ama kujua.. Kwakuwa hata wasio vipofu huota wanyama wa ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna NDOTO aina mbili,Sasa,ntakosaje kujua mkuu? Mtu umekaa nae miaka kadhaa,utashindwa kujua upande wa ndoto ukoje! Kama ilivyo kwa wengine,hakika utakuwa na shahuku ya kujua kwenye ndoto inakuwaje. Vingi utajionea, vingine utamuuliza. Hapo ni sawa na kuuliza kwamba ikiwa macho hana, utajuaje kama kalala.
Hii si kweli mkuu. Japo wewe unaona mengi,wao kitu wanachokifanya,huuliza mazingira ya maisha yalivyo.Kuna kitu una miss, ndoto ni kazi ya ubongo yes ila ndoto inatokana na tariff ambazo zimekuwa stored kwenye ubongo tiali it means sisi tunaoona tunataarifa nyingi za Visual through toka tunazaliwa tunaona so Bongo zetu zinatengeneza Visuals ambazo ni harisi mfano unaweza muota mamayako pia hutengeneza Visuals ambazo si harisi kulingana tiali ubongo una pre-data mfano ubongo unaweza tengeneza image ya shetani lenye mapembe ndotoni lakini huyo shenanigans ujawai kumuona kiuharisia ubongo hapa unatumia data zilizopo za image za vibe uliowai kuona unaunganisha na imagination zako ndio unatengeneza image ya shenanigans ndotoni.
Sasa kipofu yeye hana hizi data za image kwenye ubongo wake sio rahisi kumuota shetani kwasababu ubongo wake hauna stored image za viumbe wala imagination za kipofu mwenyewe hivyo ngumu kuota shetani labda iwe kimiujiza zaidi.
Hii number 2 sijakuelewa. Nieleweshe vizuri tafadhaliKuna NDOTO aina mbili,
1. Zitokanazo na shughuli za Kila siku katika mwili.
2. Zitokanazo na mtu wa ndani Kutoka ndani ya MWILI, while akiunganishwa na silver code/ Kamba ya Fedha.( Mhubiri 12:6).
Aina ya pili amewahi kukusimulia na anaona nini Hasa, na akikusimulia Kwa jinsi asivyo na macho kuelezea vinavyoonekana, ulielewaje?
Unamaanisha Ubongo wa kipofu unaweza kutengeneza image za imagination?Wasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.
Upended wa kipofu hakuna data kabisa ya image yoyote ile wala imagination kwasababu pia huwezi imagine kuwa shetani ana mapembe na making ikiwa hizo pembe na majino hujawai kuyaona yaani ubongo hauna data hii inafanya kuwa ngumu kipofu kuota kiumbe harisi mpaka hiko cha ajabu.
Kifupi, ndoto ni kama AI GENERATED IMAGE AND VIDEO, Ai inability ilishwe data kwanza ndio huweze ku prompt image unayoitaka.
Kwamba kipofu ndoto zake huota akisikia sauti tu,Hawezi kuota ranging ikiwa ajawai kuona rangi labda aote Sauti mtu akimwambia hio ranging fulani
Unaweza imagine Ghost, Monster nk kwasababu ubongo wako tiali una BASE ya kutosha ya data za image, mpaka hapo ulipo ubongo wako una Billions of stored image, una Billions of information kuhusu Ghost, Monsters Mfano unataarifa nyingi kuwa Shetani ana mapembe, meno, mweusi nk sasa inachofanya ubongo inaunganisha Image zilizopo kwenye store+Infomation zilizokuwa stored kuhusu shetani+Imagination yako ndipo inaleta end product kuota huyo shetani au kiumbe wa ajabu.🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?
Ndoto ni rewind ya ubongo sio ya machoSalaam, shalom!!
Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine,
Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto?
Karibuni[emoji120]
Ukielewa mfumo wa fahamu ndio utaelewa kipofu hana data zygote zile za image unless awe alikuwa anaona zamani.Kwamba kipofu ndoto zake huota akisikia sauti tu,
Kwa maana mfumo wa picha ulioungwa na macho haufanyi KAZI?
Yaani tungekuwa tumeungwa na kipofu tunachat naye angetujibu majibu deep zaidi.
NDOTO ni tukio katika Ulimwengu wa pili, Ule wa Roho.Hii number 2 sijakuelewa. Nieleweshe vizuri tafadhali
Ubongo umeungwa na macho ujue kupitia wiring ujue!!Ndoto ni rewind ya ubongo sio ya macho
Hahahahaahahahah hapana mkuu. We kwa hawa watu,elewa tu kwamba walichokosa ni macho tu. Vitu vingine wako sawa na sisi. Mkikaa sehemu tulivu,wewe labda unaona jua linazama,unasikia sauti za ndege, yeye kasolo tu kuiona,ila anajua mida furani jua likizama inakua hivi na hivi,hiyo picha anaivuta na yeye. Kwa hiyo,kiroho hawanantofauti na sisi.NDOTO ni tukio katika Ulimwengu wa pili, Ule wa Roho.
(Mhubiri 12:6 ) Suleiman,aliiona silver code/ Kamba ya fedha, pia wanaotoka ndani ya MWILI kupitia meditation au kupitia Maombi wanakijua kitu hicho.
Ndipo najaribu kutaka kujua ikiwa upofu wa mwili pia Huwa ni upofu wa Roho pia.