Je, vipofu huota ndoto?

Je, vipofu huota ndoto?

Kwanza uelewe kitu kimoja. Hao watu walio wengi na walioweza kuelimika,hawana shida na kuwa na macho. Kwa sababu,walishakubaliana na hiho hali,na hawawezi kutamani kitu ambacho hakitakaa kiwezekane katika maisha yao.
Sasa basi,
Wao watakwambia kwamba macho mliyo nayo nyie,ni ya kuona tu vitu vya ovyo hayana umhimu kwenu.
Nakupa mfano wa wazinzi. Mtu akitembea na mwanamke/mwanaume,hawezi kumuota siku hiyo. Ila akimtamani,huweza kumuota. Na wakati mwingine,ataota tu anatongozwa/za, na kugegedana,lakini sura ya aliyemgegeda kamwe haijui.
Sasa,hapo ndo utajua ndoto si picha ya kitu ulichokiona. Bali ni ubongo kurudia matukio ya mda flani ukiwa bize na kuwaza.
Unaweza ukaota demu/mwanaume uliyemuona. Uwezo ulio nao wa kuchagua mwenza, hata wao wanao. Unajua inakuwaje? Wana watu wa karibu. Atakuuliza ulivyomuona,alivyokua amevaa(kama ni kachumbali au kama yuko smart). Kimuonekano. Na yeye atavuta hiyo picha ndo itakayomkaa akilini.
Sasa majibu yako:
1. Ndio, kipofu huota ndoto
2. Aina ya ndoto zao,ni sawa na za kwako. Hapa kwanza,wewe elewa kwamba tofauti yako na yeye ni macho tu.
3. Mfumo wao wa ndoto, ni sawa na mfumo wetu tunaoona.

Si kweli kwamba ndoto ni vitu ambavyo hujawahi viona. Ni mchanganyiko wa maisha tunayoishi. Jiulize mfano gaidi anaota ndoto gani. Kahaba anaota ndoto gani.
Si kuna wakati unaweza jikuta una uoga bila sababu! Hasa kama kuna kitu kimetokea lakini bado hujapewa taarifa? Lakini nafsi itakusumbua na utakosa amani! Na wao ni hivyo hivyo.
Kwanza kuna kitu unaweza kushangaa. Mchanganyie milioni moja ya noti tofauti tofauti. Af muulize ni kiasi gani. Amepewa uwezo wa kujua noti kwa kuigusa tuu.
Kwa waliosona, wana apps ya kuhesabia pesa.
Kwa kifupi, maisha yao ni sawa na yetu. Tofauti tu ni watu ambao wapo makini sana kwa kila kitu
Imeeleza vizuri lakini Bado hatujapata jibu sahihi Kutoka kwenye Utafiti uliohusisha data Kutoka Kwa kipofu mwenyewe.

Ahsante.
 
Imeeleza vizuri lakini Bado hatujapata jibu sahihi Kutoka kwenye Utafiti uliohusisha data Kutoka Kwa kipofu mwenyewe.

Ahsante.
Labda iwe sijajieleza vizuri,sijatafuta data. Binafsi nimewahi kuwa na girfriend mwenye huo ulemavu, hivyo na marafiki zake wenye huo ulemavu nilipata bahati ya kuwa nao karibu na kuwaelewa.
 
Labda iwe sijajieleza vizuri,sijatafuta data. Binafsi nimewahi kuwa na girfriend mwenye huo ulemavu, hivyo na marafiki zake wenye huo ulemavu nilipata bahati ya kuwa nao karibu na kuwaelewa.
Hapo sasa umenena.

Naamini kuhusu ndoto hujawahi wauliza,

Tafadhali take some time waulize kuhusu swali hili ,naamini majibu utakayopata yatakuwa deep zaidi.
 
Hapo sasa umenena.

Naamini kuhusu ndoto hujawahi wauliza,

Tafadhali take some time waulize kuhusu swali hili ,naamini majibu utakayopata yatakuwa deep zaidi.
Sasa,ntakosaje kujua mkuu? Mtu umekaa nae miaka kadhaa,utashindwa kujua upande wa ndoto ukoje! Kama ilivyo kwa wengine,hakika utakuwa na shahuku ya kujua kwenye ndoto inakuwaje. Vingi utajionea, vingine utamuuliza. Hapo ni sawa na kuuliza kwamba ikiwa macho hana, utajuaje kama kalala.
 
🤣🤣Kwani we ukifunga macho ukawaza labda ghorofa la gold hio picha inatoka wapi... we jamaa ndogo ni kazi ya ubongo elewa bac hii ni Sayansi la darasa la 4 cjui
Kuna kitu una miss, ndoto ni kazi ya ubongo yes ila ndoto inatokana na tariff ambazo zimekuwa stored kwenye ubongo tiali it means sisi tunaoona tunataarifa nyingi za Visual through toka tunazaliwa tunaona so Bongo zetu zinatengeneza Visuals ambazo ni harisi mfano unaweza muota mamayako pia hutengeneza Visuals ambazo si harisi kulingana tiali ubongo una pre-data mfano ubongo unaweza tengeneza image ya shetani lenye mapembe ndotoni lakini huyo shenanigans ujawai kumuona kiuharisia ubongo hapa unatumia data zilizopo za image za vibe uliowai kuona unaunganisha na imagination zako ndio unatengeneza image ya shenanigans ndotoni.

Sasa kipofu yeye hana hizi data za image kwenye ubongo wake sio rahisi kumuota shetani kwasababu ubongo wake hauna stored image za viumbe wala imagination za kipofu mwenyewe hivyo ngumu kuota shetani labda iwe kimiujiza zaidi.
 
Si lazima itokee picha kamili kutokana na alivyoekezwa ama kujua.. Kwakuwa hata wasio vipofu huota wanyama wa ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.

Upended wa kipofu hakuna data kabisa ya image yoyote ile wala imagination kwasababu pia huwezi imagine kuwa shetani ana mapembe na making ikiwa hizo pembe na majino hujawai kuyaona yaani ubongo hauna data hii inafanya kuwa ngumu kipofu kuota kiumbe harisi mpaka hiko cha ajabu.

Kifupi, ndoto ni kama AI GENERATED IMAGE AND VIDEO, Ai inability ilishwe data kwanza ndio huweze ku prompt image unayoitaka.
 
Sasa,ntakosaje kujua mkuu? Mtu umekaa nae miaka kadhaa,utashindwa kujua upande wa ndoto ukoje! Kama ilivyo kwa wengine,hakika utakuwa na shahuku ya kujua kwenye ndoto inakuwaje. Vingi utajionea, vingine utamuuliza. Hapo ni sawa na kuuliza kwamba ikiwa macho hana, utajuaje kama kalala.
Kuna NDOTO aina mbili,

1. Zitokanazo na shughuli za Kila siku katika mwili.

2. Zitokanazo na mtu wa ndani Kutoka ndani ya MWILI, while akiunganishwa na silver code/ Kamba ya Fedha.( Mhubiri 12:6).

Aina ya pili amewahi kukusimulia na anaona nini Hasa, na akikusimulia Kwa jinsi asivyo na macho kuelezea vinavyoonekana, ulielewaje?
 
Kuna kitu una miss, ndoto ni kazi ya ubongo yes ila ndoto inatokana na tariff ambazo zimekuwa stored kwenye ubongo tiali it means sisi tunaoona tunataarifa nyingi za Visual through toka tunazaliwa tunaona so Bongo zetu zinatengeneza Visuals ambazo ni harisi mfano unaweza muota mamayako pia hutengeneza Visuals ambazo si harisi kulingana tiali ubongo una pre-data mfano ubongo unaweza tengeneza image ya shetani lenye mapembe ndotoni lakini huyo shenanigans ujawai kumuona kiuharisia ubongo hapa unatumia data zilizopo za image za vibe uliowai kuona unaunganisha na imagination zako ndio unatengeneza image ya shenanigans ndotoni.

Sasa kipofu yeye hana hizi data za image kwenye ubongo wake sio rahisi kumuota shetani kwasababu ubongo wake hauna stored image za viumbe wala imagination za kipofu mwenyewe hivyo ngumu kuota shetani labda iwe kimiujiza zaidi.
Hii si kweli mkuu. Japo wewe unaona mengi,wao kitu wanachokifanya,huuliza mazingira ya maisha yalivyo.
Kwa hiyo,kusikia mtoto analia,tayari wanajua.
Kusikia watu wanazozana au wanagombana, kawaida sana.
Akipita,anasemwa,hivyo anajua yeye ni mtu gani.
Akipanda gari,hizo stori anasikia.
Kama ilivyo kwako,ndoto zako haziwezi kufanana na za mtu mwingine,hivyo hata wao ni hivo hivo. Masikini nantajiri,maisha tofauti,ndoto tofauti. Muimba kwaya mhuni na mlevi,ndoto zao tofauti.
Hapa jiulize,mwanamke mchamungu akikuhadithia ndoto za mme wake anaejifanya mchungaji huku anaikologea zege, ndo utajua kila mtu ana yake kichwani. Kwa hiyo,ndoto zao usifikili ni za kundi lao. Hapana.
 
Kuna NDOTO aina mbili,

1. Zitokanazo na shughuli za Kila siku katika mwili.

2. Zitokanazo na mtu wa ndani Kutoka ndani ya MWILI, while akiunganishwa na silver code/ Kamba ya Fedha.( Mhubiri 12:6).

Aina ya pili amewahi kukusimulia na anaona nini Hasa, na akikusimulia Kwa jinsi asivyo na macho kuelezea vinavyoonekana, ulielewaje?
Hii number 2 sijakuelewa. Nieleweshe vizuri tafadhali
 
Wasio vipofu wanauwezo wa kuota wanyama wa ajabu kwasababu kwenye ubongo tiali kuna data za kutosha za image za viumbe mbalimbali, inachofanya ubongo unachukua hizo image na kujumuisha na imagination za mtu ndio intergenerational hio image ya kiumbe so kuota huyo kiumbe inahitaji uwe na data kwenye ubongo.

Upended wa kipofu hakuna data kabisa ya image yoyote ile wala imagination kwasababu pia huwezi imagine kuwa shetani ana mapembe na making ikiwa hizo pembe na majino hujawai kuyaona yaani ubongo hauna data hii inafanya kuwa ngumu kipofu kuota kiumbe harisi mpaka hiko cha ajabu.

Kifupi, ndoto ni kama AI GENERATED IMAGE AND VIDEO, Ai inability ilishwe data kwanza ndio huweze ku prompt image unayoitaka.
Unamaanisha Ubongo wa kipofu unaweza kutengeneza image za imagination?

Unaelimu kuhusu Silver code/ Kamba ya Fedha sawasawa na (Mhubiri 12:6)
 
Hawezi kuota ranging ikiwa ajawai kuona rangi labda aote Sauti mtu akimwambia hio ranging fulani
Kwamba kipofu ndoto zake huota akisikia sauti tu,

Kwa maana mfumo wa picha ulioungwa na macho haufanyi KAZI?

Yaani tungekuwa tumeungwa na kipofu tunachat naye angetujibu majibu deep zaidi.
 
🤣🤣🤣🤣Bro hunaga imagination au... hujawahi imagine kitu ambacho hakipo au hujawahi kuona...let's say a ghost, linyama la ajabu au malaika au gari linalopaa...mbona unanitisha mental work yako?
Unaweza imagine Ghost, Monster nk kwasababu ubongo wako tiali una BASE ya kutosha ya data za image, mpaka hapo ulipo ubongo wako una Billions of stored image, una Billions of information kuhusu Ghost, Monsters Mfano unataarifa nyingi kuwa Shetani ana mapembe, meno, mweusi nk sasa inachofanya ubongo inaunganisha Image zilizopo kwenye store+Infomation zilizokuwa stored kuhusu shetani+Imagination yako ndipo inaleta end product kuota huyo shetani au kiumbe wa ajabu.

Kwa kipufu hana yoote haya yaani hana BASE hawezi ku imagine kiumbe wa ajabu, Mfano uki imagine shetani kwanza Body Structure ya shetani utaiweka ya mtu sio kuku 😀😀 then ndio atakua na features nyengine za shetani sasa cha ku-note hio Structure ya shape ya mtu kwa kipofu hana kwenye ubongo wake kabisa....Something Complex.
 
Salaam, shalom!!

Twende haraka kwenye mada, nimekuwa nikipost mada za intelligence ya Mbinguni katika jukwaa hili na zinahamishiwa majukwaa mengine,

Leo tuanze mwaka na swali hili, Je vipofu wa Kuzaliwa huota ndoto?

Karibuni[emoji120]
Ndoto ni rewind ya ubongo sio ya macho
 
Kwamba kipofu ndoto zake huota akisikia sauti tu,

Kwa maana mfumo wa picha ulioungwa na macho haufanyi KAZI?

Yaani tungekuwa tumeungwa na kipofu tunachat naye angetujibu majibu deep zaidi.
Ukielewa mfumo wa fahamu ndio utaelewa kipofu hana data zygote zile za image unless awe alikuwa anaona zamani.
 
Hii number 2 sijakuelewa. Nieleweshe vizuri tafadhali
NDOTO ni tukio katika Ulimwengu wa pili, Ule wa Roho.

(Mhubiri 12:6 ) Suleiman,aliiona silver code/ Kamba ya fedha, pia wanaotoka ndani ya MWILI kupitia meditation au kupitia Maombi wanakijua kitu hicho.

Ndipo najaribu kutaka kujua ikiwa upofu wa mwili pia Huwa ni upofu wa Roho pia.
 
Ndoto ni rewind ya ubongo sio ya macho
Ubongo umeungwa na macho ujue kupitia wiring ujue!!

Sasa kipofu wiring zake hazitumi picha kama sisi,

So ikiwa ndoto ni imagination ya Ubongo, kipofu anaona nini katika imagination hizo, au ni sauti tu ndo hujirudia?
 
NDOTO ni tukio katika Ulimwengu wa pili, Ule wa Roho.

(Mhubiri 12:6 ) Suleiman,aliiona silver code/ Kamba ya fedha, pia wanaotoka ndani ya MWILI kupitia meditation au kupitia Maombi wanakijua kitu hicho.

Ndipo najaribu kutaka kujua ikiwa upofu wa mwili pia Huwa ni upofu wa Roho pia.
Hahahahaahahahah hapana mkuu. We kwa hawa watu,elewa tu kwamba walichokosa ni macho tu. Vitu vingine wako sawa na sisi. Mkikaa sehemu tulivu,wewe labda unaona jua linazama,unasikia sauti za ndege, yeye kasolo tu kuiona,ila anajua mida furani jua likizama inakua hivi na hivi,hiyo picha anaivuta na yeye. Kwa hiyo,kiroho hawanantofauti na sisi.
 
Back
Top Bottom