Je, Vyoo vya Shule za Serikali vinajengwa hivi?

Sifa ya Kwanza ya Eng aliyepewa kazi lazima awe Mwanaccm. Mengine yatafata.
 
Hata inspection chembers hakuna!!!
 
Kazi z watu lkn kw mach tu y kawaid.. ujenz haukuzingatia uweledi kamil.. kun namna bor zaid ingfanyika kwny uo ujenz apo.
 
Hapo utamsikia mwehu mmoja anasema Rais samia amejenga matundu miambili ya vyoo....
 
Huyu mjenzi ni muhuni.... an short cut badala ya kufuata taratibu za ujenzi.
 
Acha kukatwa jua la miezi 6 tu kwishney
 
Hongera Fosi Akaunti.
Mama Umi juuu!
 
Hata mimi ndio nilivyokuwa nafikiri, hapo ni kama kujenga Vyoo vya shimo kwa mtindo tofauti.

Wakati nasoma kwenye shule moja kongwe ya serikali tulikuwa na Vyoo vya aina mbili, vile vya kuflash na vile vya shimo ambavyo tulivipa jina na kuviita 'mapambano'....kutokana na changamoto ya maji ilikuwa ni salama na rahisi zaidi kutumia choo cha mapambano.
 
Hapo sio kukata na msumeno tu hata ukikanyaga teke moja tu kwisha
 
Tatizo siyo kufukia pekee. Hakuna chemba ndogo za kupokea mzigo na kuunganisha kwenye chemba kubwa. Hapo harufu itawasumbua sana na ikitokea kumeziba sijui watayakata hayo mabomba kuzibua na kuyaunga tena?

Mitano tena kwa mkandarasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…