Je, waandishi wa Biblia hawakuona aibu kufanya ‘Plagiarism’ ya wazi wazi kwenye ‘Vibao vya Sumeria’ na kufanya editing bila aibu kabisa?

Sasa manne sio mengi mkuu,,Qurani si imekamilika kwa nini madhehebu manne.
Na si manne yako mengi sana zaidi ya manne

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mohamad amesema katika Qur'an hiyo hiyo kuwa dini hii itagawanyika katika makundi sabini na mbili, ila kundi moja tu ndio litakuwa sahihi...ni lile litakalo fuata njia sahihi ya Allah!
 
Mohamad amesema katika Qur'an hiyo hiyo kuwa dini hii itagawanyika katika makundi sabini na mbili, ila kundi moja tu ndio litakuwa sahihi...ni lile litakalo fuata njia sahihi ya Allah!
Sawa, hamna andiko kama hilo kwenye Qur'an, hiyo ni hadithi, ni hadithi mashuhuri inayopatikana katika vitabu vingi vya hadithi - haina haja ya kuvitaja, na wasimulizi wa hiyo hadithi pia ni wengi na haina haja ya kuwataja. Siyo makundi 72 kama ulivyoandika ni 73.

"... na Ummah wangu utagawanyika makundi "mapote" 73. Makundi yote hayo yataingia motoni ila "isipokuwa" moja tu ..."

Ni hayo tu.

Halafu mbona kama mada siyo hiyo? Nagusisha mada chini hapa
 
Kweli, naona mko nje ya mada
 
Taarifa kamili ziwe kiganjani vinginevyo mada za kale zitatuchanganya sana
 
Unawezaje kuamini dating ya carbon 14? Au hiyo miaka ya vibao umeijuaje?
Jambo lingine nikusoma lugha ambayo umekiri ni ya zamani na haipo . Ok. Nani sasa alifahamu na kuzisoma hiyo lugha asiyoijua?
Hivi unataarifa kuwa Maandiko yaliyo kwenye yaliandikwa na watu waliotofautiana vipindi vya zaidi ya miaka 1500 na bado yanaulibganifu?
Je unajua kuwa waandishi hao walitofautiana maeneo ya kijiografia kwa umbali mkubwa wala wengine hawakuwahi kuonana?
Je wajua ? Kuwa waandishi hawa walitofautiana elimu na utamaduni kiasi cha kutoweza kufanya c&p?
 
Mkuu amri za Mungu nazo ziliandikwa kwenye mawe je,nikisema amri hizo ziliandikwa kabla ya hadithi hiyo nitakuwa sawa ?
Hauko sawa, maana sumerian society ilikuwepo kabla ya moses,,
Kitu kigine moses anadaiwa kuandika kitabu cha mwanzo, kutoka, kumbukumbu ya torati,,
Lakini zama za moses ni zama ambazo hapakuwa na karatasi, bali maandiko yaliandikwa kwenye tablet za mawe ama udongo,,
Ndo kusema, si kweli amri kumi pekee ndo ziliandikwa kwenye mawe,,
Ina maana ni vitabu vyote vya moses,,
So hapo unajiuliza, zilitumika semi trailer ngapi kubeba hayo maandiko,, je original tablets za kitabu cha Mwanzo, Kutoka, kumbukumbu ya torati, etc ziko wapi?,
Maana kama maandiko ya nyuma ya sumerians yamepatikana, why not maandiko original ya moses?
 
Si kweli,, umbali sio mkubwa kivile,, habari yote imeanzia mesopotamia ikaja caanan,, hakuna umbali mkubwa,, ingeanzia australia, au brazil ungekuwa sawa
 
Wpte tutakufa,,,, ni suala la muda tu😊🤓🙄😌
 
Sio kukimbia, tatizo mnatukana sana watu wanaotaka kuwapa information muhimu.., sasa ya nini mimi niumie kutafuta taarifa, halafu nawaletea hapa kiulaini na kwa lugha yenu ya kizaramo halafu mnanizodoa namna ile..
 
Mimi nimezaliwa kwenye ndoa ya rc na kisabato acha kupotosha
 
Unachekesha kweli. Maandiko ya Biblia ni ya miaka mingi sana - karne na karne na vizazi na vizazi. Hayo maandishi yaliyogunduliwa miaka 1800 ndiyo yaje yatwambie plagiarism kutoka wakati wa uandishi wa Kitabu cha Mwanzo mamilioni ya miaka yaliyopita hadi Ufunuo karne ya 1AD? Hao wataalamu huo utaalamu kwa kujua yaliyotokea tangu enzi za akina Adamu na Eva, huo utaalamu wao waliupata kutoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…