Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

"Usikute zile jela nyingi nyingi, ni karma, and you never know, hata zile pyu pyu ni karma"

Kulikuwa na sababu yoyote ya kuweka hii dhihaka kwenye bandiko lako?

Unajua ni famila ngapi zinateseka juu ya haya unayofanya nayo mzaha??

Anyway karma atakulipa tu na wewe siku sio nyingi mdomo huo utapinda
 
Hao wabunge ni wasaliti uwepo wao Bungeni ni batili lazima watimuliwe ndio wengine wateuliwe kwa kufuata taratibu za chama
Hii hukumu unaitoa wapi kabla ya Baraza kuu kutoa maamuzi, au humuamini chombo kikuu Cha maamuzi ya chama ?
 
unaambiwa njaa inadhalilisha sana , huyu anawinda matangazo ya sabasaba
 
Pasko mtu wa ajabu sana nahisi anakaribia ukingoni mwa safari yake ingawaje hakuna aijuaye kesho yake lakini pasko anatia huzuni sana na ndio maana amekuwa alcoholic addict.
 
Unaweza kukuta baada ya kuandika huu upupu Pascal Mayalla unajipongeza na kujisifia ulivyo mwandishi nguli, really?

Kwa kweli mtoto wa nyoka ni nyoka…huwezi ukapanda maharage ukavuna nyanya, la hasha, utavuna yale yale maharage.

Kama kaka yako nakupa ushauri, chukua likizo. Karma, kama kweli ipo, wewe unaweza kuwa mfano halisi wa anayevuna alichopanda…chukua tahadhari!
 
Pascal Mayalla wewe ni wa kupuuzwa tu na ni mwanaPOROJO.
Nakuita mpuuzi maana hukumbuki mpuuzi magufuli alilazimisha hata wanachadema wengi kujifanya wanaunga mkono juhudi.
HAPA UNAROPOKA UPUUZI, ukiwa umesahau yule tapeli alivuruga uchaguzi. ACHA UJINGA BROTHER. Tuache na chama chetu.
 
Pascal Mayala ni mtu mwenye uwezo mkubwa, isipokuwa anatumiwa na CCM, na hata uwe na akili kama malaika ukiwa CCM unaweza its maji jiwe.
 
Paskali bandiko zima nasoma inafika point naona unasema waliotoka CHADEMA wamepata ULAJI! Narudi kusoma tena naona waliotoka CHADEMA wamepata ULAJI!
kumbe hampo kuwatumikia wana nchi mpo kupata Ulaji?...hata leo hii wewe ukipewa uteuzi unasema umepata ulaji umetoka kwenye kupauka My Country🤔🤔
 
Kuna tetesi mahali nilizisikia kuwa, kuna Covid-19 mmoja ni chakula ya Pasco, hivyo Pasco ni chawa wake ili waendelee kula ugali.

Sijui kuna ukweli wowote?
 
Mr even devils does good deeds kwani hiyo Qarma inafanya kazi kwa namna ghani,ati kwa siasa tu na ile kwa side moja tu? Monsters wengine ipo mahali haiguswi nayo?
 
Hoja kuntu..
Pascal Mayalla, ebu njoo ujibu huku.
Ukishindwa, ww na wanaokutuma mkae kimya!
 
Hawa COVID 19 siyo kufukuzwa pekee wanatakiwa washitakiwe pia kwa uhujumu uchumi
 
Ungejibu hoja zake ingekuwa vizuri.Kumshambulia mtoa hoja sio hoja bali pinga hoja zake kwa hoja.
 
Kwa hili hata kama CDM walikosea kwa hayo uliyotaja,kwa hili la Covid 19 ili kurudisha heshima ya CDM inapaswa kuwatimua! Wakifanya hivyo watakuwa wamefunika hayo makosa mengine waliyofanya!
Makosa yanatofautiana lakini yapo makosa yenye uzito zaidi ambayo ukiyafanya yanakugharimu zaidi.
Hili la Covid 19 ni mtihani mkubwa kwa CDM! Watanzania wanataka kujua kama bado CDM inaweza kuendelea kubeba matumaini ya waliowengi katika Taifa letu!
 
Mayala, mbona sikuelewi wewe umeandika kisha sisi tukabwabwaja sasa badala ya kujibu viroja vyetu wewe unatupa wote Thanks, yaani tuliyoyaandika ni utumbo! Kwa kutupa shukurani inanifanya nione kama bandiko lako ulipewa na mtu mwingine utuchokoze wabwabwazaji!
Hapa naomba usinipe Thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…