Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwandishiYaani huwa najiuliza kuwa huyu Pascal alisoma kweli Ilboru sekondari au alikuwa msoma magazeti? Hata Mimi niliyesoma shule ya kayumba najua mbivu na mbichi Sasa huyu mchumia tumbo anakuwaje jinga kiasi hiki.
Pascal ni janga la kitaifa yaani tukiwa na wachumia tumbo Kama hawa hta wakiwa wawili ni hatari kwa usalama wetu.
Pascal anatafuta uteuzi kwa damu za watu na ni mzandiki shetani kuliko hata Ibilisi.
Hapo kwa ajali umetekeza mkuu...hujafa hujaumbika.Hata msukuma mwenzako alikuona hamna yani wewe ndio wale wazee wanaozeeka vibaya ndio maana hata ajali yako iliyokulemaza mkono ni kwasababu ya ulevi.
Wanaweza kuteuana sawa...Hao wanawake 19 waliteuana.
akili yake ilimjulisha kuwa ''utachowambia chadema watakusikiliza'' kumbe alikuwa anaingizwa chaka na akili zake za LUMUMBA sasa majibu yametoka muulize analo la kusema!Wewe mtu wa hovyo Sana, jana ndo umetoa unabii wako wa kijinga, uwezo wa kufikiri huna.
Wewe si a qualified lawyer? Kwa nini wewe sio hakimu? Not all qualified lawyers ni mahakimu, kuna utaratibu, chadema nao wana utaratibu.
Hizi njaa zako zimezidi
Kilichofanyika ni ukangaroo juu ya kangaroo!.jibu lako hili hapa
Baraza Kuu la CHADEMA laridhia kufukuzwa kwa Halima Mdee na wenzake 18. Asilimia 97.6 waafikiana na maamuzi
HALIMA MDEE NA WENZAKE 18 WAFUKUZWA RASMI CHADEMA Baraza Kuu la #CHADEMA limezitupilia mbali Rufaa za Halima Mdee na wenzake 18 wakipinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya chama hicho kwa kukubali kwenda kuapishwa na kuwa wabunge wa Viti Maalumu bila baraka za chama ====== UPDATE: Halima...www.jamiiforums.com
pammbana na HALI YAKO BROOOOKilichofanyika ni ukangaroo juu ya kangaroo!.
P
Tatizo wewe mwenyewe siku hizi umeacha kichwa chako ulichokuwa nacho, umeamua kubeba kichwa cha kangaroo kiasi cha kumwona kila mmoja ana kichwa cha kangaroo kama cha kwako, na hivyo na yeye kawa kangaroo kama ulivyo wewe.Kilichofanyika ni ukangaroo juu ya kangaroo!.
P
jamaa kapoteza mwelekeo kabisaa yani maamuzi ya chadema yamemuumiza kama anajifungua vileeTatizo wewe mwenyewe siku hizi umeacha kichwa chako ulichokuwa nacho, umeamua kubeba kichwa cha kangaroo kiasi cha kumwona kila mmoja ana kichwa cha kangaroo kama cha kwako, na hivyo na yeye kawa kangaroo kama ulivyo wewe.
Yawezekana hana kazi. Anadhani JF wote ni kama yeye. Anabandiko hayo hayo kila wakati, na nani wa kup9teza muda wake kurudia tuliyokwishayasoma huko nyuma?Uwe una samaraizi..
Uandishi wako hauvutii kusoma.
Badikika
nimeskia kumbe mkewe wa kwanza aalimuacha akaoa mwengine angekuwa mvumilivu angebembeleza maisha yende lkn uvumilivu umemshinda sasa leo anashauri chdm iwasmehe mbona yy hakusamehe mkewe wa kwanzaHata msukuma mwenzako alikuona hamna yani wewe ndio wale wazee wanaozeeka vibaya ndio maana hata ajali yako iliyokulemaza mkono ni kwasababu ya ulevi.
Hivi ni kwanini wasukuma wengi wanaichukia sana CHADEMA?Anajua sana ila ana chuki kubwa sana kwa Chadema kama alivyokuwa yule dhalim aliyeko jehanam sasa
Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.Wanabodi.
hili ni bandiko la swali "Je Wabunge 19 wa Chadema Walijiteau?. Je CC-ya Chadema ni Kangaroo Court?. Je Baraza Kuu Litabariki Ukangaroo Ule?. Likibariki, Karma Itawatafuna!"
Nawatakia wana Chadema, kikao chema cha Baraza Kuu.
Paskali
Sijui kilichotokea vikao vya ndani, ninachoweza kusema hapa fursa ya kuthibitisha hilo illikuwepoSijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Bado ana nafasi ya kufanya hivyo Nje ya BungE, Nje ya chama na MahakamaniTena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.
Mkuu Pasco mbona unahamisha magoli? Ulianza na Karma tutakkwambia Karma si katiba ya chama na hawa wanawake waliofanya kazi na KM CCM Bushy , JY Ndugai, NEC na Msajili ni wasaliti dhidi ya damu, maisha, na ulemavu wa wenzao. Leo unageukia tena Barua ya forgery si KarmaHalima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Bwana P. Umezingumzia sana kuhusu Karma. Na umeonyesha wengi wa waliofukuzwa ktk Cdm kwa makosa mbalimbali walivyokumbatiwa na serkali na ccm kwa kuzawadiwa nyadhifa mbalimbali au ulaji, na umetabali na hao Covid 19 nao watazawadiwa udc,Rc na hata ubalozi na nafasi nyinginezo, KWAKO UNAONA NI KARMA INAWALIPA HUKU UKISAU KUWA ALIYEKUTUMA KUTENDA UOVU KWA MAKUBALIANO ATAKUPA VIPANDE 30 MLIVYOKUBALIANA, WEWE HUO KWAKO NI USHUJAA. Nimesikitishwa sana nawewe ulisaliti hapo uko unasubilia uteuzi, . Huo ni ubinafisi. Watazawadiwa lakini Cdm wamelinda heshima ya chama Chao. Wabinafsi kama wewe na hao COVID 19 hamfai, endeleeni kusubili VIPANDE 30Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.
Kama it's a battle, kina Halima have lost the battle, they have nothing more to loose au ni kukubali kufa kikondoo kwa kuisubiria karma iwalipie, au to keep on fighting hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuhamishia mpambano kwenye wiwanja vingine vya Kisheria!.
Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Life goes on
PA Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?
Wanabodi, Mimi kama kawaida yangu ni mtu wa maswali na hapa nauliza tuu, ila tuanze na kitu kinachoitwa first thing first Kwanza, Kikao cha Baraza Kuu la Chadema, ni kikao, halali, hivyo maamuzi yaliyofikiwa na kikao hicho, yamefikiwa kihalali kwa kufuata utaratibu, ila uamuzi huo ni uamuzi...www.jamiiforums.com
Bwana P. Umezungumzia sana kuhusu Karma. Na umeonyesha wengi wa waliofukuzwa ktk Cdm kwa makosa mbalimbali walivyokumbatiwa na serkali na ccm kwa kuzawadiwa nyadhifa mbalimbali au ulaji, na umetabali na hao Covid 19 nao watazawadiwa udc,Rc na hata ubalozi na nafasi nyinginezo, KWAKO UNAONA NI KARMA INAWALIPA HUKU UKISAU KUWA ALIYEKUTUMA KUTENDA UOVU KWA MAKUBALIANO ATAKUPA VIPANDE 30 MLIVYOKUBALIANA, WEWE HUO KWAKO NI USHUJAA. Nimesikitishwa sana nawewe ulisaliti hapo uko unasubilia uteuzi, . Huo ni ubinafisi. Watazawadiwa lakini Cdm wamelinda heshima ya chama Chao. Wabinafsi kama wewe na hao COVID 19 hamfai, endeleeni kusubili VIPANDE 30Bwana P. Umezingumzia sana kuhusu Karma. Na umeonyesha wengi wa waliofukuzwa ktk Cdm kwa makosa mbalimbali walivyokumbatiwa na serkali na ccm kwa kuzawadiwa nyadhifa mbalimbali au ulaji, na umetabali na hao Covid 19 nao watazawadiwa udc,Rc na hata ubalozi na nafasi nyinginezo, KWAKO UNAONA NI KARMA INAWALIPA HUKU UKISAU KUWA ALIYEKUTUMA KUTENDA UOVU KWA MAKUBALIANO ATAKUPA VIPANDE 30 MLIVYOKUBALIANA, WEWE HUO KWAKO NI USHUJAA. Nimesikitishwa sana nawewe ulisaliti hapo uko unasubilia uteuzi, . Huo ni ubinafisi. Watazawadiwa lakini Cdm wamelinda heshima ya chama Chao. Wabinafsi kama wewe na hao COVID 19 hamfai, endeleeni kusubili VIPANDE 30
Jaribu ku_connect dots,Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Ndugu P, Najua kuwa unajua kuwa kama Taifa tulipitia wakati mgumu sana.Waliwezaje kumtoa Nusrat Hanje jela?
Nusrat Mtuhumiwa amefanya miujiza mikubwa inayopaswa kuandikwa kwenye mbao mbalimbali, ndani ya saa ishirini na nne amekuwa na hadhi tatu muhimu ambazo ni binadamu wachache wamewahi kuzipata Duniani. Hadhi hizo Ni;
1. Hadi tarehe 23/11/2020 jioni alikuwa Mtuhumiwa wa makosa yasiyo na dhamana akiishi mahabusu.
2. Tarehe 23/11/2020 usiku akatoka gerezani akiwa Mwananchi huru asiye na hatia na kuelekea nyumbani kuoga na kuchagua nguo ya kuvaa siku iliyofuata. Natumai hakulala.
3. Tarehe 24/11/2020 asubuhi akaibuka kwenye viunga vya Bunge na kushika msahafu kisha kuapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano ya Tanzania yaani Mheshimiwa huku akiwa na kinga ya kibunge.