Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?

Yaani huwa najiuliza kuwa huyu Pascal alisoma kweli Ilboru sekondari au alikuwa msoma magazeti? Hata Mimi niliyesoma shule ya kayumba najua mbivu na mbichi Sasa huyu mchumia tumbo anakuwaje jinga kiasi hiki.

Pascal ni janga la kitaifa yaani tukiwa na wachumia tumbo Kama hawa hta wakiwa wawili ni hatari kwa usalama wetu.

Pascal anatafuta uteuzi kwa damu za watu na ni mzandiki shetani kuliko hata Ibilisi.
Huyu ni mwandishi
Mwanasheria lakini hata uandishi pekee hauvutii anapitwa hata na Bill Lugano a.k.a Kiduku lilo
 
Hata msukuma mwenzako alikuona hamna yani wewe ndio wale wazee wanaozeeka vibaya ndio maana hata ajali yako iliyokulemaza mkono ni kwasababu ya ulevi.
Hapo kwa ajali umetekeza mkuu...hujafa hujaumbika.
Msimange kwa yoote lkn usiingize ajali na ulemavu.
Hivi vitu viko out of control mkuu
 
Wewe mtu wa hovyo Sana, jana ndo umetoa unabii wako wa kijinga, uwezo wa kufikiri huna.

Wewe si a qualified lawyer? Kwa nini wewe sio hakimu? Not all qualified lawyers ni mahakimu, kuna utaratibu, chadema nao wana utaratibu.

Hizi njaa zako zimezidi
akili yake ilimjulisha kuwa ''utachowambia chadema watakusikiliza'' kumbe alikuwa anaingizwa chaka na akili zake za LUMUMBA sasa majibu yametoka muulize analo la kusema!
 
jibu lako hili hapa
Kilichofanyika ni ukangaroo juu ya kangaroo!.
P
 
Tatizo wewe mwenyewe siku hizi umeacha kichwa chako ulichokuwa nacho, umeamua kubeba kichwa cha kangaroo kiasi cha kumwona kila mmoja ana kichwa cha kangaroo kama cha kwako, na hivyo na yeye kawa kangaroo kama ulivyo wewe.
jamaa kapoteza mwelekeo kabisaa yani maamuzi ya chadema yamemuumiza kama anajifungua vilee
 
Hata msukuma mwenzako alikuona hamna yani wewe ndio wale wazee wanaozeeka vibaya ndio maana hata ajali yako iliyokulemaza mkono ni kwasababu ya ulevi.
nimeskia kumbe mkewe wa kwanza aalimuacha akaoa mwengine angekuwa mvumilivu angebembeleza maisha yende lkn uvumilivu umemshinda sasa leo anashauri chdm iwasmehe mbona yy hakusamehe mkewe wa kwanza
 
Eti, walioondoka au kufukuzwa CHADEMA wananawili wakati waliobaki wanapauka.
Kweli Pascal hii ni akili yako? Serikali ya CCM ndo yenye hazina yetu, kwa sababu ya chuki kwa CHADEMA, hutumia hazina hiyo isivyo haki kuwanawilisha watesi wake, hulijui hilo?
Kwanini unapenda kushiriki kazi za shetani namna hii kwa kuzisifu na kushawishi watu kuzitumikia?
Umri wako ungekukumbusha kupenda haki ya Mungu na kuitangaza, kwani huna zaidi ya miongo mitano duniani tena.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi.

hili ni bandiko la swali "Je Wabunge 19 wa Chadema Walijiteau?. Je CC-ya Chadema ni Kangaroo Court?. Je Baraza Kuu Litabariki Ukangaroo Ule?. Likibariki, Karma Itawatafuna!"
Nawatakia wana Chadema, kikao chema cha Baraza Kuu.

Paskali
Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.

Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.

Kama it's a battle, kina Halima have lost the battle, they have nothing more to loose au ni kukubali kufa kikondoo kwa kuisubiria karma iwalipie, au to keep on fighting hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuhamishia mpambano kwenye wiwanja vingine vya Kisheria!.

Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Life goes on
P
 
Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Sijui kilichotokea vikao vya ndani, ninachoweza kusema hapa fursa ya kuthibitisha hilo illikuwepo
1. Walikataa kuhudhuria kikao cha CC
2. Baraza kuu limewapa nafasi wakijua ni kete ya mwisho
Hatukuwahi kuwasikia wakiwa Bungeni, Nje ya Bunge au ndani ya Baraza wakitetea barua iliyowapeleka. Hata pale Spika , NEC waliopotuhumiwa, hakuna mahali walipokanusha

Tuhuma dhidi ya NEC ni nzito sana na zilitosha Msajili wa vyama kuchukua hatua.
Kwa Msajili huyu CDM ingefutwa. Tulichosikia ni Msajili kufuatilia walivyofukuzwa!

Tuhuma dhidi ya Spika na Bunge kutoka chama cha Upinzani ni nzito. Tulitaraji Bunge na kamati zake zingewaita CDM kama zilivyomwita Raia Pascal Mayalla kwa maoni tu ya gazeti
Haikutokea
Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.
Bado ana nafasi ya kufanya hivyo Nje ya BungE, Nje ya chama na Mahakamani
Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Mkuu Pasco mbona unahamisha magoli? Ulianza na Karma tutakkwambia Karma si katiba ya chama na hawa wanawake waliofanya kazi na KM CCM Bushy , JY Ndugai, NEC na Msajili ni wasaliti dhidi ya damu, maisha, na ulemavu wa wenzao. Leo unageukia tena Barua ya forgery si Karma

Hivi unaamini kabisa Halima Mdee aliyekamata boksi la kura feki na Polisi hawakuchukua hatua, Polisi hao hao wanaweza kuchukua hatua kwa tuhma dhidi ya NEC na Spika!

JokaKuu
 
Kikao cha Baraza Kuu Chadema, kimelazika, limebariki ule Ukangaroo uliofanywa na CC ya Chadema, uamuzi wa Baraza Kuu Chadema ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.

Tena kiukweli, Halima Mdee ni mwanamke wa shoka kweli kweli nilidhani mbele vya kikao cha Baraza Kuu Chadema angesimama na kuyasema ukweli wa barua yao ya uteuzi, wajumbe wangebaki midomo wazi!.

Kama it's a battle, kina Halima have lost the battle, they have nothing more to loose au ni kukubali kufa kikondoo kwa kuisubiria karma iwalipie, au to keep on fighting hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limwagike kwa kuhamishia mpambano kwenye wiwanja vingine vya Kisheria!.

Halima anamjua aliowasainia barua ya uteuzi, ili kumlinda, waliamua kunyamaza kwa imani kuwa atawaombea msamaha, kumbe... kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.

Life goes on
P
Bwana P. Umezingumzia sana kuhusu Karma. Na umeonyesha wengi wa waliofukuzwa ktk Cdm kwa makosa mbalimbali walivyokumbatiwa na serkali na ccm kwa kuzawadiwa nyadhifa mbalimbali au ulaji, na umetabali na hao Covid 19 nao watazawadiwa udc,Rc na hata ubalozi na nafasi nyinginezo, KWAKO UNAONA NI KARMA INAWALIPA HUKU UKISAU KUWA ALIYEKUTUMA KUTENDA UOVU KWA MAKUBALIANO ATAKUPA VIPANDE 30 MLIVYOKUBALIANA, WEWE HUO KWAKO NI USHUJAA. Nimesikitishwa sana nawewe ulisaliti hapo uko unasubilia uteuzi, . Huo ni ubinafisi. Watazawadiwa lakini Cdm wamelinda heshima ya chama Chao. Wabinafsi kama wewe na hao COVID 19 hamfai, endeleeni kusubili VIPANDE 30
 
Bwana P. Umezungumzia sana kuhusu Karma. Na umeonyesha wengi wa waliofukuzwa ktk Cdm kwa makosa mbalimbali walivyokumbatiwa na serkali na ccm kwa kuzawadiwa nyadhifa mbalimbali au ulaji, na umetabali na hao Covid 19 nao watazawadiwa udc,Rc na hata ubalozi na nafasi nyinginezo, KWAKO UNAONA NI KARMA INAWALIPA HUKU UKISAU KUWA ALIYEKUTUMA KUTENDA UOVU KWA MAKUBALIANO ATAKUPA VIPANDE 30 MLIVYOKUBALIANA, WEWE HUO KWAKO NI USHUJAA. Nimesikitishwa sana nawewe ulisaliti hapo uko unasubilia uteuzi, . Huo ni ubinafisi. Watazawadiwa lakini Cdm wamelinda heshima ya chama Chao. Wabinafsi kama wewe na hao COVID 19 hamfai, endeleeni kusubili VIPANDE 30
 
Sijasikia popote juhudi zozote za kumtafuta aliyesaini barua ya uteuzi, sijasikia popote Chadema wakisema kuna forgery au kuripoti popote forgery ile, hivyo hoja za bandiko hili zinasimama, wabunge hao 19 wa Chadema, hawakujiteua wenyewe, waliteuliwa na kiongozi wa Chadema aliyesaini barua yao ya uteuzi!. Hakuna forgery yoyote iliyofanywa kwenye uteuzi wao ndio maana Chadema hawajaripoti forgery popote!.
Jaribu ku_connect dots,

Kwa hoja hii hapa ya mdau👇
Waliwezaje kumtoa Nusrat Hanje jela?
Ndugu P, Najua kuwa unajua kuwa kama Taifa tulipitia wakati mgumu sana.
Rejea hili bandiko: Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi
===
Je ndugu P, Je hadi sasa ni kweli eti hujui walifikaje Bungeni?? ,Wakati kila kitu kilikuwa wazi.
Nusrat Mtuhumiwa amefanya miujiza mikubwa inayopaswa kuandikwa kwenye mbao mbalimbali, ndani ya saa ishirini na nne amekuwa na hadhi tatu muhimu ambazo ni binadamu wachache wamewahi kuzipata Duniani. Hadhi hizo Ni;
1. Hadi tarehe 23/11/2020 jioni alikuwa Mtuhumiwa wa makosa yasiyo na dhamana akiishi mahabusu.

2. Tarehe 23/11/2020 usiku akatoka gerezani akiwa Mwananchi huru asiye na hatia na kuelekea nyumbani kuoga na kuchagua nguo ya kuvaa siku iliyofuata. Natumai hakulala.

3. Tarehe 24/11/2020 asubuhi akaibuka kwenye viunga vya Bunge na kushika msahafu kisha kuapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano ya Tanzania yaani Mheshimiwa huku akiwa na kinga ya kibunge.
 
P tujaribu kuheshimu maamuzi hata kama hatuyapendi na tunajua Job Ndugai alikuwa anafanya yale ili kumridhisha Bwana wake japo ukweli alikuwa anaujua kama ambavyo wewe unalijua ukweli lakini kwakuwa hii ni siasa unaweza kufanya chochote ili kubomoa maana zima yakilichofanyika
 
Back
Top Bottom