MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
amelambishwa na MAMBUZZI etieeeAsali mkuu,
Njaa ikihamia tumboni unaweza kumuamkia hata mtoto uliemzaa mwenyewe.
Mangi kashalambishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amelambishwa na MAMBUZZI etieeeAsali mkuu,
Njaa ikihamia tumboni unaweza kumuamkia hata mtoto uliemzaa mwenyewe.
Mangi kashalambishwa.
Alieleza kuwa wajibu wa Jeshi la Polisi ni kuilinda mikutano hiyo Ili ifanyike Kwa amani na wala siyo kuipiga marufuku isifanyike.
Rais aliendelea kueleza kuwa wao kama watawala, wangependa Sana kukosolewa, kwani ni Kwa njia hito inayoweza kuwafanya wajirekebishe na kuwatendea mambo mazuri watanzania, Kwa lengo la kuwapatia maendeleo.
Ni ubatiri kwako. Kinachoridhiwa unajifanya hujui?Hii kitu maridhiano ni upumbavu mtupu, kwanza wanaridhiana kuhusu nini??? Hapa ilichotakiwa kupewa kipa umbele ni katiba mpya basi, maana haya yanayoitwa maridhiano mpaka 2025 watakua bado wanajadiliana tu na matokeo yake ni haya;
Winner = CCM aka Chama Cha Mambuzi
Loser = Upinzani ie CDM.
wapinzani wangeingia 2025 bila huu utumbo wa maridhiano matokeo yangekua haya:
Winner = CDM
Loser = CCM ila ndio hivyo wapinzani wamedanganyika wamauvaa mkenge...kwisha habari yao maana hio kuruhusu mikutano wamepangiwa na cha kuongea la sivyo mkong'oto utawapata toka kwa chawa wa Hangaya, na hao chawa ni Polisi na ma TISS..
Mangi sijui kapotea wapi hadi kapigwa changa la macho namna hii.
Hawa ni miamba mitatu wamepindua kile kikosi kazi cha watu wa majalalani.![]()
huyu ndio mwamba
MAHAFIDHINA watake Wasitake MAMA SAMIA ATAAMUA KADIRI Busara Hekima na Hofu ya MUNGU inavyomwongozaNimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini.
Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na utulivu na vyama vyote vya kisiasa, kwani ndiyo nguzo kuu ya kutuletea maendeleo endelevu ya kudumu.
Alieleza zaidi kuwa hatuwezi kuujenga umoja huo kama tutaendelea kutowafanyia haki Kwa kutowatendea haki vyama vya upinzani, Kwa kuendelea kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa.
Jambo moja ninalojiuliza, ni Kwa vipi mtangulizi wake Hayati Magufuli, aliamua kuzivunja Sheria za nchi, ambazo zinaruhusu mikutano hiyo ya hadhara kwenye nchi hii ya mfumo wa vyama vingi vya kisiasa?[emoji41]
Alieleza kuwa wajibu wa Jeshi la Polisi ni kuilinda mikutano hiyo Ili ifanyike Kwa amani na wala siyo kuipiga marufuku isifanyike.
Rais aliendelea kueleza kuwa wao kama watawala, wangependa Sana kukosolewa, kwani ni Kwa njia hito inayoweza kuwafanya wajirekebishe na kuwatendea mambo mazuri watanzania, Kwa lengo la kuwapatia maendeleo.
Lakini ingawa uamuzi huo ameutoa kama Rais na wakati huo huo kama Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM, ninaamini kabisa kuwa ndani ya chama chake Kuna wahafidhina wachache ambao Bado wanaunga mkono maamuzi ya Hayati Magufuli ya kuipiga marufuku mikutano hiyo hawatapenda maamuzi hayo na wangependa kuendeleza malumbano na kutotenda haki dhidi ya vyama vya upinzani
Kwani wahafidhina hao wanaamini kuwa Kwa kuruhusu mikutano hiyo ya hadhara Kwa vyama vya siasa, maovu yao yatawekwa hadharani na hivyo kuzifanya nafasi zao za kiutendaji Serikalini ziwe katika hati hati[emoji2]