startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
H yupo zake kuongoza malaika hii ndo ilikuwa legacy yake ya mwisho nayo wamepita nayoKwani hao ndio waliozuia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
H yupo zake kuongoza malaika hii ndo ilikuwa legacy yake ya mwisho nayo wamepita nayoKwani hao ndio waliozuia?
Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini.
Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na utulivu na vyama vyote vya kisiasa, kwani ndiyo nguzo kuu ya kutuletea maendeleo endelevu ya kudumu.
Alieleza zaidi kuwa hatuwezi kuujenga umoja huo kama tutaendelea kutowafanyia haki Kwa kutowatendea haki vyama vya upinzani, Kwa kuendelea kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa.
Jambo moja ninalojiuliza, ni Kwa vipi mtangulizi wake Hayati Magufuli, aliamua kuzivunja Sheria za nchi, ambazo zinaruhusu mikutano hiyo ya hadhara kwenye nchi hii ya mfumo wa vyama vingi vya kisiasa?😎
Alieleza kuwa wajibu wa Jeshi la Polisi ni kuilinda mikutano hiyo Ili ifanyike Kwa amani na wala siyo kuipiga marufuku isifanyike.
Rais aliendelea kueleza kuwa wao kama watawala, wangependa Sana kukosolewa, kwani ni Kwa njia hito inayoweza kuwafanya wajirekebishe na kuwatendea mambo mazuri watanzania, Kwa lengo la kuwapatia maendeleo.
Lakini ingawa uamuzi huo ameutoa kama Rais na wakati huo huo kama Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM, ninaamini kabisa kuwa ndani ya chama chake Kuna wahafidhina wachache ambao Bado wanaunga mkono maamuzi ya Hayati Magufuli ya kuipiga marufuku mikutano hiyo hawatapenda maamuzi hayo na wangependa kuendeleza malumbano na kutotenda haki dhidi ya vyama vya upinzani
Kwani wahafidhina hao wanaamini kuwa Kwa kuruhusu mikutano hiyo ya hadhara Kwa vyama vya siasa, maovu yao yatawekwa hadharani na hivyo kuzifanya nafasi zao za kiutendaji Serikalini ziwe katika hati hati😃
Yaani ni ajabu watu hawaoni kua ccm ndio watanufaika na hii kitu, mbinu ni ileile wagawe uwatawale!!! Hapo kila mpinzani ataona ana nafasi ya kuwa kinara wa upinzani halafu ndani ya ccm mchezo umeisha tayar mama tunae hadi 2030!! Walah ccm wametusoma hadi alama za unyayo zetu wanazijua!!🙌🙌Utakuwa unaota wewe ukiona wamekubali ujue Kuna plan B
Nadhani tangu mwaka 1992 mikutano ya hadhara ya kisiasa ilikuwa imeruhusiwa mpaka hapo 2016 ndipo ilipopigwa marufuku kinyume na katiba ! Lakini Ccm bado mwisho wao haujawahi kufika 🙄. Tusubiri labda huu utabiri 😅Ndo mwisho wa CCM unakuja
Na huo ndio ukweli mchungu !! It’s business as usual !! Twende kazi !!!Yaani ni ajabu watu hawaoni kua ccm ndio watanufaika na hii kitu, mbinu ni ileile wagawe uwatawale!!! Hapo kila mpinzani ataona ana nafasi ya kuwa kinara wa upinzani halafu ndani ya ccm mchezo umeisha tayar mama tunae hadi 2030!! Walah ccm wametusoma hadi alama za unyayo zetu wanazijua!!🙌🙌
Kwani hao ndio waliozuia?
Yaani ni ajabu watu hawaoni kua ccm ndio watanufaika na hii kitu, mbinu ni ileile wagawe uwatawale!!! Hapo kila mpinzani ataona ana nafasi ya kuwa kinara wa upinzani halafu ndani ya ccm mchezo umeisha tayar mama tunae hadi 2030!! Walah ccm wametusoma hadi alama za unyayo zetu wanazijua!!🙌🙌
Akili kubwa 💪Yaani ni ajabu watu hawaoni kua ccm ndio watanufaika na hii kitu, mbinu ni ileile wagawe uwatawale!!! Hapo kila mpinzani ataona ana nafasi ya kuwa kinara wa upinzani halafu ndani ya ccm mchezo umeisha tayar mama tunae hadi 2030!! Walah ccm wametusoma hadi alama za unyayo zetu wanazijua!!🙌🙌
Ile familia ya watu wazuri hawafi iko kwenye tafakuri kubwa sana leo Samia amewaacha njia pandaNimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini.
Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na utulivu na vyama vyote vya kisiasa, kwani ndiyo nguzo kuu ya kutuletea maendeleo endelevu ya kudumu.
Alieleza zaidi kuwa hatuwezi kuujenga umoja huo kama tutaendelea kutowafanyia haki Kwa kutowatendea haki vyama vya upinzani, Kwa kuendelea kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kuitisha mikutano ya hadhara ya kisiasa.
Jambo moja ninalojiuliza, ni Kwa vipi mtangulizi wake Hayati Magufuli, aliamua kuzivunja Sheria za nchi, ambazo zinaruhusu mikutano hiyo ya hadhara kwenye nchi hii ya mfumo wa vyama vingi vya kisiasa?😎
Alieleza kuwa wajibu wa Jeshi la Polisi ni kuilinda mikutano hiyo Ili ifanyike Kwa amani na wala siyo kuipiga marufuku isifanyike.
Rais aliendelea kueleza kuwa wao kama watawala, wangependa Sana kukosolewa, kwani ni Kwa njia hito inayoweza kuwafanya wajirekebishe na kuwatendea mambo mazuri watanzania, Kwa lengo la kuwapatia maendeleo.
Lakini ingawa uamuzi huo ameutoa kama Rais na wakati huo huo kama Mwenyekiti wa chama chake Cha CCM, ninaamini kabisa kuwa ndani ya chama chake Kuna wahafidhina wachache ambao Bado wanaunga mkono maamuzi ya Hayati Magufuli ya kuipiga marufuku mikutano hiyo hawatapenda maamuzi hayo na wangependa kuendeleza malumbano na kutotenda haki dhidi ya vyama vya upinzani
Kwani wahafidhina hao wanaamini kuwa Kwa kuruhusu mikutano hiyo ya hadhara Kwa vyama vya siasa, maovu yao yatawekwa hadharani na hivyo kuzifanya nafasi zao za kiutendaji Serikalini ziwe katika hati hati😃
kweli nimeamini ukiwa MBUZZI 🐮 🐮 huwezi jitambuaSio jazba huo ndio ukweli...haya maridhiano utumbo Winner ni CCM na Loser ni hayo mapinzani uchwala.
Asali mkuu,Hii kitu maridhiano ni upumbavu mtupu, kwanza wanaridhiana kuhusu nini??? Hapa ilichotakiwa kupewa kipa umbele ni katiba mpya basi, maana haya yanayoitwa maridhiano mpaka 2025 watakua bado wanajadiliana tu na matokeo yake ni haya;
Winner = CCM aka Chama Cha Mambuzi
Loser = Upinzani ie CDM.
wapinzani wangeingia 2025 bila huu utumbo wa maridhiano matokeo yangekua haya:
Winner = CDM
Loser = CCM ila ndio hivyo wapinzani wamedanganyika wamauvaa mkenge...kwisha habari yao maana hio kuruhusu mikutano wamepangiwa na cha kuongea la sivyo mkong'oto utawapata toka kwa chawa wa Hangaya, na hao chawa ni Polisi na ma TISS..
Mangi sijui kapotea wapi hadi kapigwa changa la macho namna hii.