Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

Mama anajiamini sana ndio maana alifika level hiyo aliyofikia
 
Ni ubatiri kwako. Kinachoridhiwa unajifanya hujui?

Nenda kaone yafuatayo
1. Kesi wa uongo zote watu wameachiwa huru.
2. Kutekana kumeisha
3. Wasiojulikana wamepungua.
4. Sasa tunalala kwa amani.
 
MAHAFIDHINA watake Wasitake MAMA SAMIA ATAAMUA KADIRI Busara Hekima na Hofu ya MUNGU inavyomwongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…