MASWALI YALIOPO MEZANI NI HAYA:Mtu akishakuja na anachokiamini ni ngumu kukuamini kma yule anokaribia kutapeliwa
{ وَعِبَادُ ٱلرَّحۡمَـٰنِ ٱلَّذِینَ یَمۡشُونَ عَلَى ٱلۡأَرۡضِ هَوۡنࣰا وَإِذَا خَاطَبَهُمُ ٱلۡجَـٰهِلُونَ قَالُوا۟ سَلَـٰمࣰا }
[Surah Al-Furqān: 63]
Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema ni wale wanao tembea ulimwenguni kwa staha, na wajinga wakiwasemeza hujibu: Salama!
Kwaheri
Kwani ni wewe umeitwa fala hadi uchukie?,au ndio kumnusuru allah kwenyewe?Tujadiliane kwa maneno mazuri kama huwezi hama huu mtaa/jukwaa usifungue mlango wa matusi.
Hapa kuna tatizo naliona miongoni mwenu,mnashindwa kutofautisha Uislamu na UarabuHio pepo ya waarabu unaitafuta kwa tabu sana
Hizi tunaita ni hekima za abunuasi 😂
Mtajinasibisha nao lakin kamwe hamtakua kama wao
Wahuni wachache wakimtumia mudyImetungwa na nani?
Yesu alitumwa kwa ulimwengu , Israel ni alipoanzia ,jielimisheHapa kuna tatizo naliona miongoni mwenu,mnashindwa kutofautisha Uislamu na Uarabu
Ebu nichangamshe akili yako kidogo, Yesu alitumwa kwa watu wa Israel,je wakristo wa leo watakuwa wanaiga au kutaka kuwa kama waisrael?
Imani lazima ipimwe ,unaaminije ujinga kuwa jiwe jeusi limekuwa vile sababu ya dhambi za wanadamu ,Hizo sio hoja ni upuuzi,umesha declare kwamba huamini,sasa tutajadili nini?
Uislamu ni dini aliyokuja nayo Muhammad,kabla ya Muhammad hapakuwahi wala kuwepo dini au taratibu za dini ya UislamuUnaelewa nini kuhusu uislamu
Kuna mtu alinicomend nijadiliane na wewe,baada ya mpuuzi mmoja kushindwa mjadala
Ngoja nione je,nawe ni tofauti au ndio kama wapuuzi wengine
Yesu alitumwa kwa Wana wa Israeli* linapatikana katika Injili ya Mathayo 15:24, ambapo Yesu anasema wazi:Yesu alitumwa kwa ulimwengu , Israel ni alipoanzia ,jielimishe
wrong answerUislamu ni dini aliyokuja nayo Muhammad,kabla ya Muhammad hapakuwahi wala kuwepo dini au taratibu za dini ya Uislamu
Uislamu ni mchanganyiko wa
Ngano za Waarabu
Story za vitabu vya apokrifa vya wayahudi na wakristo waasi
Tamaduni za dini ya wasabai
Ukitaka tujadili karibu
Ni kwamba tayari una majibu yako uliyokalilishwa madrasa?wrong answer
Halafu unataka tujadili nini,kama intro tu umefeli
Jielimishe zaidi kisha urudi tena mezaniImani lazima ipimwe ,unaaminije ujinga kuwa jiwe jeusi limekuwa vile sababu ya dhambi za wanadamu ,
Kafanye research kuhusu upagani wa alkaaba kabla ya Muhammad hajaja na uislamu na baada ya kuja na uislamu,
Yesu alianza huduma yake kwa Waisraeli kwa sababu walikuwa watu wa agano la kwanza (Warumi 1:16), lakini mpango wa Mungu tangu mwanzo ulikuwa wokovu kwa watu wote kupitia Kristo. Hivyo, Mathayo 15:24 haifuti ukweli kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya ulimwengu mzima.Yesu alitumwa kwa Wana wa Israeli* linapatikana katika Injili ya Mathayo 15:24, ambapo Yesu anasema wazi:
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." (Mathayo 15:24)
Naomba andiko kwamba katumwa kwa watu wote
Nilikuuliza unaelewa nini kuhusu Uislamu?Ni kwamba tayari una majibu yako uliyokalilishwa madrasa?
Najua huwez kujibu wala kujadili hoja ,umeonesha toka mwanzo ni mtu wa kukimbiakimbiaJielimishe zaidi kisha urudi tena mezani
Uislamu ni dini ya MuhammadNilikuuliza unaelewa nini kuhusu Uislamu?
Unaelewa maana ya Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa IsraelYesu alianza huduma yake kwa Waisraeli kwa sababu walikuwa watu wa agano la kwanza (Warumi 1:16), lakini mpango wa Mungu tangu mwanzo ulikuwa wokovu kwa watu wote kupitia Kristo. Hivyo, Mathayo 15:24 haifuti ukweli kwamba Yesu alikuja kwa ajili ya ulimwengu mzima.
Yesu alitumwa kwa watu wote – Andiko kuu:
Yohana 3:16
"Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
lengo la Mungu kwa kumtuma Yesu ni kwa ajili ya ulimwengu wote, si Israeli pekee.
Kuna mtu alinicomend kwako kwa mijadala kumbe ndio wale waleNajua huwez kujibu wala kujadili hoja ,umeonesha toka mwanzo ni mtu wa kukimbiakimbia
Njoo mezani uujue uislamu,wewe umefichwa upande wa pili wa uislamu
Jielimishe kwanzaYesu alitumwa kwa Wana wa Israeli* linapatikana katika Injili ya Mathayo 15:24, ambapo Yesu anasema wazi:
"Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli." (Mathayo 15:24)
Naomba andiko kwamba katumwa kwa watu wote
"Wala hatukumtuma mtume yeyote ila kwa lugha ya watu wake ili apate kuwabainishia..."
wrong answer tenaUislamu ni dini ya Muhammad
Nimekupa Aya kuwa huduma ilianzia Israel ,maana hao kwanza ndio waliochaguliwa ,then huduma inatoka nje ya YerusalemuUnaelewa maana ya Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa Israel
Hapa Yesu anasisitiza kwamba si jamii nyingine ila waisrael tu!