Je wajua kwamba Allah kwenye Quran anasema anahitaji kunusuriwa?

Wa id'u ila sabeeli rabbika bil hikmati wal mau'idhati alhasanati wajadilhum bil lati hiya ahsanu."
Huu ujinga ambao siutaki, na ndio maana tunasema nyie ni wapumbavu mlioshikiwa akili, Kwani wewe muarabu wa wap?,halafu mm nimekuuliza vizur tuu allah kuitwa fala kwanini uumie au ndio kumsaidia kwenyewe
 
Hizi dini hazikuanza kama dini . Zilianza kama falme. Na zamani mfalme sio tu alikuwa kama kiongozi bali watu waliamini kuwa anauwezo wa kuwasiliana na Mungu wa juwa ,Mungu wa anga, na Mungu wa aridhi. Sasa ikitokea ukame au mafuriko au uhaba wa chakula basi mfalme alikuwa nauwawa. Maana amepoteza uwezo wa kuwasiliana na Mungu ndio maana maafa yanakumba watu wake. Sasa ukiona Allah anaomba kunusuliwa ujuwe watu walitaka kumumaliza baada ya disaster.
 
na inatufundisha jinsi ya kujadiliana kwa njia ya heshima na busara na hayo ndiyo mafundisho ya manabii wote ninao wafahamu.
Hao manabii umewafahamia wap 🙄?
Unaelewa tofauti ya
Kufahamu na
Kuamini?
 
Nimecheka sana hii, ina maana Allah alishindwa kazi ikabidi aundiwe tune ya kumaliza au sio!
 
Katika Sura ya Fatiha Allah anaswali na kusema:
Sisi tunakuabudu na sisi tunakuomba msaada, tuongoze katika njia iliyonyooka 😂😂
Allah anachekesha sana Wallahi
Mnusuruni Allah la sivyo hatoki
 
Nimecheka sana hii, ina maana Allah alishindwa kazi ikabidi aundiwe tune ya kumaliza au sio!
Kabisa. Hata kwenye bible kuna story nyinge El akilalamika na kunungunika. Hata yesu aliye akiomba akiepuke kikombe. Yellowi mbona amemuacha.
 
Huu ujinga ambao siutaki, na ndio maana tunasema nyie ni wapumbavu mlioshikiwa akili, Kwani wewe muarabu wa wap?,halafu mm nimekuuliza vizur tuu allah kuitwa fala kwanini uumie au ndio kumsaidia kwenyewe
Kujifunza lugha nyingine inakuwaje ujinga,usijifunge katika lugha uliyo zaliwa nayo pekee kuwa huru kujifunza lugha nyingine na ndiyo mawasiliano yapekee katika maisha .
 
.huyu allah ana Mungu juu yake yeye ni mdogo
 
Allah huyo anaswali

AL-FAATIH'A - 1
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
AL-FAATIH'A - 2
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
AL-FAATIH'A - 3
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
AL-FAATIH'A - 4
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
AL-FAATIH'A - 5
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
AL-FAATIH'A - 6
Tuongoe njia iliyo nyooka,
AL-FAATIH'A - 7
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
..........
Mnusuruni Allah enyi watu na majini mlio amini:
Allah anataka kuongozwa njia iliyo nyooka:
Na ana ahidi kumwabudu na kumwomba msaada Mungu wake:

Watakuja humu na kusema "hizo Aya ukisoma kwa Kiarabu hazisemi hivyo, hapo anaye zungumza ni Jibrili au Muhamadi, kwa Kiarabu nao wanatumia nafsi ya uwingi ( sisi tunakuabudu)
Hapo walikuwa Gibrili na Muhammadi"
Kwa taarifa yako
 
M
Mungu WA Israel ndo anaetengeneza B-2, f35, David sling, arrow 3, Au niwatu Tena kutoka USA,
Hao USA wengi ni Wayahudi kama hukulijua na ndio maana kama mnataka muifute Israel, mtangulie kufuta USA na baadhi ya mataifa ya Ulaya, la sivyo mtakua mnachezea kipigo muda wote kama ilivyotokea juzi.
 
Kijana utakuwa ni mgeni humu ,haya unayosema hapa ni yale ambayo Huwa mnakaririshwa ,sasa Mimi nitakupiga maswali nitaomba uyajibu ili twende sawa

Kama Uislamu ni amani, kwa nini Qur'an inasema:
"Pigeni vita wale wasioamini..."
Surah At-Tawba 9:29
"Piganeni na wale wasioamini katika Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho..."

.Je, wauaji wa kigaidi kama ISIS nao walikuwa wakijisalimisha kwa Mungu kwa amani?

Kama mtu akijisalimisha kwa mamlaka ya polisi kama huko Buza au Segerea, je naye ni Muislamu kwa sababu "amejisalimisha"?

Kwa nini Qur'an inaruhusu vita (jihad) kwa masharti, kama kweli Uislamu ni wa amani tu?
Surah Al-Baqarah 2:216
"Imewafaradh kenu kupigana, ijapokuwa mnakichukia kitu hicho..."

Ikiwa kujisalimisha kwa Mungu ni sifa kuu ya Uislamu, kwa nini Shetani hakuitwa Muislamu alipokubali uumbaji wa Mungu lakini akakataa tu kusujudu kwa Adam?
Surah Al-Baqarah 2:34
"Na tulipowaambia Malaika: Msujudieni Adam, walimsuju
dia isipokuwa Iblis..."
 
Kwanza inaonekana dini yako huijui , CHATGPT itakupoteza, halafu kabla hujamzushia Yesu na manabii wengine kuwa walikuwa dini ya waislamu,twende taratibu ,nimeona hapo unatumia Biblia kutaka kupotosha ,Vema ...., kabla sijaingia kwenye majibu ya hoja zako, nataka nikuulize swali moja rahisi

Je, unaamini Biblia kama Neno la Mungu?

Kama jibu lako ni ndio,maana umetumia hapo kupotosha , basi tutatumia Biblia kama msingi wa kuelewa Yesu ni nani, alifundisha nini, na kama kweli alikuwa Muislamu au la.

Sasa tuje kwenye hoja zako

Kwanza Uislamu si jina la imani ya mitume wote, bali ni dini iliyoanza karne ya 7 A.D.,ni dini iliyokuja na Muhammad,kabla ya hapo hakuna na hakukuwahi kuwepo dini au imani ya Uislamu,kama unabisha leta ushahidi wa kihistoria,kiakolojia au kimaandiko ..

Ni kweli mitume waliomtangulia Muhammad walimwabudu Mungu mmoja Tena aitwaye YWHW.

Lakini hilo halimaanishi kwamba walikuwa Waislamu, kwa maana ya kufuata dini ya Uislamu kama tunavyoifahamu leo.

Biblia haijawahi kumuita Abrahamu, Musa au Yesu kuwa "Waislamu" kwa jina hilo,kama una Aya au maandiko yaweke hapa

Dini ya Uislamu ulikuja na Muhammad, hivo huwezi kuwaita waliomtangulia kwa jina ambalo halikuwepo wakati wao.
Huo ni upotoshaji wa kihistoria.


Yesu hakuwahi kufuata Uislamu, bali alifuata sheria za Kiyahudi na kumtaja Mungu kama Baba., hii ni kwa Mujibu wa maandiko ambayo yapo kabla ya Muhammad kuja na uislamu

Nimeona umenukuu Yohana 20:17 “Ninapanda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”


Ndugu yangu, hapa Yesu anaonesha uhusiano wa karibu sana kati yake na Mungu anamuita Baba, kitu ambacho Uislamu unakikataa kabisa.

Qur’an inasema:
"Hapana mtoto wa Mungu..." (Surah Al-Ikhlas 112:3)

Uislamu unamkataa Mungu kuwa Baba wa mtu yeyote. Lakini Yesu alifundisha mara kwa mara kumuita Mungu Baba,Umeona ulivyojichanganya ,unatumia Biblia kutaka kupotosha

Mathayo 6:9: Yesu anasema “Baba yetu uliye mbinguni...”
Yohana 14:9 Yesu anasema “Aliyeniona mimi amemwona Baba.”

Kwa hiyo, Yesu alikuwa na mafundisho tofauti na ya Kiislamu aliyokuja nayo nabii wa uongo Muhammad kuhusu asili ya Mungu.


Yesu pia alifundisha kwamba yeye ni zaidi ya nabii alidai Uungu.,Yesu sio nabii tu, Kwanza tofautisha Yesu na tapeli Issa wa Quran ,

Katika Yohana 10:30, Yesu alisema:
“Mimi na Baba tu umoja.”
Wayahudi walipoisikia hiyo, walitaka kumpiga kwa mawe kwa sababu alijifanya sawa na Mungu. (Yohana 10:33)

Je, nabii wa kawaida au Muislamu angeweza kusema hivyo? NAJUA HUWEZI KUJIBU HILI

Pia Yohana 1:1,14 inasema
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Neno akafanyika mwili...”

Huu ni ushahidi wa wazi kwamba Yesu ni Mungu aliyefanyika mwili jambo ambalo Uislamu hulikataa kabisa.


Kuhusu Marko 12:29 Yesu alithibitisha Mungu ni mmoja, lakini si kwamba yeye hakuwa Mungu.

Umoja wa Mungu (Tauhidi) haupingani na Utatu Mtakatifu.
Katika Ukristo, Mungu ni mmoja, aliye katika nafsi tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.

Hii ni tofauti na “Tauhidi” ya Kiislamu inayomkana Yesu kuwa Mungu.

Yesu kufundisha Mungu mmoja haimaanishi yeye hakuwa Mungu – bali alikuwa sehemu ya huo Umoja mmoja wa Kimungu (Divine Unity).

.Yesu hakuwahi kufuata nguzo za Uislamu kama Shahada, Swala ya Kiislamu, Saumu ya Ramadhan, Zaka ya Kiislamu, wala Hija.,kama una ushahidi wowote weka hapa

Hizi nguzo tano za Kiislamu zilikuja baada ya Yesu, na hazikuwahi kufundishwa naye.
Yesu alifundisha kutubu dhambi, kupenda adui, msamaha na msalaba. Hakuwahi kufundisha kupigana vita kwa jina la dini.

Ertugrul Bey naomba uje ujibu hoja sio kukimbia hoja ,
 
Ertugrul Bey nakusihii kasome Tena dini yako ,ni wazi huijui na kama unaijua basi umefundishwa uongo mwingi

Unapokuja kujadili na Mimi ,kwanza jipange ,

Hii hoja kwamba mitume wote walikuwa Waislamu kwa sababu walijinyenyekeza kwa Mungu mmoja ni dhaifu na ya kulazimisha, ni hoja ambayo hata kina Mazinge walishaiacha ,nimeshangaa wewe Bado umekaririshwa .

Hakuna ushahidi wowote wa kihistoria wala wa maandiko unaothibitisha kuwa dini ya Uislamu, kwa jina, mfumo na mafundisho yake (kama Shahada, Swala mara tano, Saumu Ramadhani, Hija, n.k), ilikuwepo kabla ya Muhammad katika karne ya 7 A.D. Wala hakuna maandiko ya Biblia yanayomwita Ibrahim, Musa au Yesu kuwa Waislamu. Hawa wote walikuwa Wayahudi, waliomwabudu Mungu kwa mujibu wa agano la kale, na Yesu akafundisha Agano Jipya.

Kujinyenyekeza kwa Mungu mmoja si kigezo cha kumfanya mtu kuwa Muislamu. Kama ni hivyo, basi hata Wakristo na Wayahudi wote ni Waislamu, jambo ambalo halikubaliki kiimani wala kihistoria. Yesu hakuwahi kufundisha Shahada ya Kiislamu, hakuswali kwa rakaa tano, wala hakufunga Ramadhani.

Hata Qur’an inasema wazi katika Surah Al-Ma’idah 5:3 kwamba

“Leo nimekukamilishieni dini yenu...”,

ikimaanisha kwamba Uislamu haukuwa umekamilika kabla ya Muhammad.

Kwa hiyo, kusema mitume wote walikuwa Waislamu ni tafsiri ya kulazimisha isiyo na msingi wa kweli. Ni sawa na kumpachika mtu uraia wa nchi ambayo haikuwepo wakati wake.
 
Nafikiri, tunakimbia kujibu anachoomba ufafanuzi...

JF ya sasa' ni changamoto, Mtoa thread kaomba apate ufafanuzi ili aondoe doubt iliyopo akili mwake...

Mjibuni ili nasi tupate maarifa na uelewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…