Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Anadhani uislamu hatuujui , uislamu umekuja duniani watu wanaouona ,umekuja umekuta Kuna dini zilishatangulia ,umekuta vitabu na teknolojia ishaendeleaHawa NI mabinti WA Nani?
Al lat
Al uzzal
Al manat.
Acha kujitoa akili wewe historia ipo wazi.ππΈπΈπΈπΈ
Unaamini huu ujinga ? Fanya research, Ibrahim hajawahi kufika hapo ,Expert wangu chill twende taratibu
Ngoja kwanza nikwambie asili kwanini watu wanaabudu masanamu
Iko hivi asili ya watu kuabudu masanamu imetokana na watu kuwapenda huenda watu wao wa zamani,wakaamua kuwajengea masanamu,awali si kwa lengo la kuwaabudu,lakini kadri muda unavyoenda kizazi kipya ambacho hakijui ufahamu kwanini hayo masanamu yalikuwepo ndio huanza kuyaabudu
Kwa taarifa yako tu, washirikina wa Makka by that time walikuwa wana miungu 365,kwa maana kila siku fulani ina Mungu wake
Kwahiyo hao miungu wao uliowataja wakawanasibisha kwamba ni mabinti wa Allah kitu ambacho si kweli
Tukija kwenye ibada ya kuzunguka al kaaba,kwanza lile sio jiwe jeusi bali ni kama mfano wa chumba ambacho kimefunikwa na pazia jeusi,ingawa katika moja ya kona kipande kidogo cha jiwe ambacho legend inasema kilikuwa cheupe kutoka peponi ila kimekuwa cheusi kutokana na kushikwa kwa wanadamu,kutokana na madhambi yao
Kwahiyo washirikina,kabla ya Mtume Muhammad swalla aallahu alayhi wa sallamu,walikuwa wanafanya ibada za kishirikina,ila awali kabisa ilikuwa ni nyumba ambayo wenye kumuamini Allah walikuwa wanafanya ibada baaada ya kujengwa kwa mara ya pili na nabii Ibrahim
Baada ya ujio wa Muhammad swalla aallahu alaihy wa sallamu ndio ikarudishwa kwenye ibada sahihi,ambapo mpaka leo waislamu wanatekeleza ibada zao
kumnusuru maan yake nini. Tuanzie hapo kwanzaKwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Nakazia hapo mstari wa mwisho.Allah is a Satan 100%,false religionMuhamadi alivyo toka kule pangoni, alivyoulizwa na mkewe hadija kuwa nini kimekutokea mume wangu kipenzi ?
Muhamadi akajibu nilitokewa na mashetani na wakanizuga na kunipiga sana:
Ili kumpoza mkewe akamwambia " hapana, sio hivyo, yule alikuwa Malaika Gabrieli na kuanzia leo wewe ni mtume wa Allah:
Sasa tumwamini Muhamadi mwenyewe au mkewe Hadija ambaye hakuwepo kule pangoni:
Na wakashusha Aya:
[ AN-NISAAI - 79 ]
Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
.....
Wakashusha nyingine tena ya kuthibitisha:
[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
......
Poleni wasio Waarabu mnao ikubali hii Dini:
Tuli ingizwa tu kwa kutawaliwa na Waarabu:
Allah is a Satan 100%
Kaburini kuna kuulizana maswali sio?inaulizwa maiti isiyojua chochote,hamtumii akili hata kidogo kujua maiti haiwezi kufanya lolote,nyie kobazi mnaamini kila kitu tuNyie fanyeni mzaha na maneno ya Mwenyezi Mungu hapa duniani, lakini nawaambia kila mmoja wenu atayajutia haya maupuuzi anayoyafanya pale tu roho itakapoachana na mwili.
Endeleeni kutiana moyo hapa duniani na endeleeni na mizaha na mambo ya Mwenyezi Mungu, lakini jua fika kuwa kaburini utaingia peke yako na kuulizwa utaulizwa peke yako, hautakuwa na msaada wala kutiana moyo kama mnavyofanya hapa duniani.
Haya niliyo waambia hapa ipo siku mtayakumbuka, hopefully it will be too late
Tabirikama hapo haujanywa pombe, siku ukinywa itakuwaje?
Haijakosewa ila kusudio ni rehema,kama huelewi sio tatizo languKwamba imekosewa ilikusudiwa iwe rehma bahati mbaya ikawa swala.we jamaa kama jambo huna ilmu nalo nyamaza unazidi kukufuru
Sioni cha kujadili na wewe hapa,naona ni mtu ambaye ana mihemko yake tuUnaamini huu ujinga ? Fanya research, Ibrahim hajawahi kufika hapo ,
Unaamini ujinga lile jiwe jeusi limekuwa hivo sababu ya dhambiπππ
Kabla ya Uislamu mwaka 600sAD , una ushahidi wowote ,mitume wa Mungu ambao 99% ni Jews waliwahi kufika au kujihusisha na ibada za hilo jiwe jeusi ?
Sipo hapa kukulazimisha kuelewa kama hutaki kuelewaNdugu mambo mengine hata hayahitaji ubishani kweli, ila kusema kumtii Mungu ni kumnusuru hiyo nahitaji unielekeze labda nitakuelewa.
Huna majibu ,umekimbia kijanja ,nimeweka hoja hapo ,huwezi kuzijibuSioni cha kujadili na wewe hapa,naona ni mtu ambaye ana mihemko yake tu
Akili zikikukaa sawa nitag
Unapenda kukimbia hojaSipo hapa kukulazimisha kuelewa kama hutaki kuelewa
Asante
Yesu ndiye ufufuo na uzima ,Nyie fanyeni mzaha na maneno ya Mwenyezi Mungu hapa duniani, lakini nawaambia kila mmoja wenu atayajutia haya maupuuzi anayoyafanya pale tu roho itakapoachana na mwili.
Endeleeni kutiana moyo hapa duniani na endeleeni na mizaha na mambo ya Mwenyezi Mungu, lakini jua fika kuwa kaburini utaingia peke yako na kuulizwa utaulizwa peke yako, hautakuwa na msaada wala kutiana moyo kama mnavyofanya hapa duniani.
Haya niliyo waambia hapa ipo siku mtayakumbuka, hopefully it will be too late
Huna majibu ,kabla ya Muhammad hakuna ushahidi hata wakuokoteza paliwahi kuwepo uislamu,Sioni cha kujadili na wewe hapa,naona ni mtu ambaye ana mihemko yake tu
Akili zikikukaa sawa nitag
Ukiona Mungu anasikia Lugha moja tu ujue huo ni mzimu wa hilo kabila:Yesu ndiye ufufuo na uzima ,
Allah ni mungu wa kiarabu achana nae
Kwa upande wangu nimeshangaa sana kuona Mungu Allah anahitaji wanadamu wamnusuru. Kwa yeyote anayejua naomba msaada wa kuielewa hii Aya,
47:7
Enyi mlioamini! Mkimnusuru Mwenyezi Mungu naye atakunusuruni na ataithibitisha miguu yenu.
Allah ana matatizo gani ambayo anahitaji wanadamu wamnusuru?
Kwenye mambo gani anahitaji tumnusuru! Tuelekezane wakuu namna ya kumnusuru Allah.
Hawawezi kukujibu πππUmetuasa vizuri sana, na mimi ndo nimeanza hivo. Nimesoma hiyo aya sijaielewa. Vipi umeelewa nifahamishe?