Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

Sure.... Hizi dini na vitabu vya waliomsurubisha mwana wa mtengeneza sofa zina utapeli sana uongo wa mda mrefu ...watu wana mambo yao
Cha ajabu wana theology tofauti na waliko chukua Hiyo Imani hata Hao wayahudi wenyewe wanashangaa hawa wametoa wapi hayo Maneno wanayoyasema
 
Ila ndoa ni chanzo cha utumwa kwetu wanaume. Ndio chanzo cha kutumaliza hata tusiishi miaka mingi duniani. Ndio chanzo cha msongo wa mawazo na tuzeeke vibaya
 
I feel you bro..
Basi niambie Yakobo,Yusufu, simoni na yuda pamoja na dada zake walikuwa ni wa Mama yupi?

Kingine unafahamu Yusuf alikuwa ana miaka mingapi kipindi anamuoa mariam?

Tuanzie hapo kwanza ili nisije nikakubebesha mzigo mzito!
Yusuph anayemuongelea Proved ni WA AGANO jipya, aliyemchumbia Mariam ambaye alimzaa Yesu,

Wewe unaongelea Yusuph mwana wa Yakobo ambaye ambaye mamaye aliitwa Rachel wa AGANO la kale.

So ni ngumu kuelewana.
 
Yusuph anayemuongelea Proved ni WA AGANO jipya, aliyemchumbia Mariam ambaye alimzaa Yesu,

Wewe unaongelea Yusuph mwana wa Yakobo ambaye ambaye mamaye aliitwa Rachel.

So ni ngumu kuelewana.
Hapa ndo nimeamini huna unalojua kuhusu Biblia..

Ukitaka kuanzisha mada hakikisha una elimu nayo..

Proved hebu msaidie ndugu yako maana mimi kuongea na watu wasio na elimu huwa siwezi..

Nimekuona wewe unaelimu sana
 
Ndo uone watu wanadanganywa.
Mungu alijua utazaliwa jambaz utakufa jambaz alafu atakufufua nakukuchoma moto jehanam .... Je huyu n mungu wa namna gani?? [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu katili sana ... Kiufup n sawa ipo km kuna uungu flan ambao ndio nguvu ya mungu na ndiye mungu mwenyewe lakin bado kuna question mark. Yawezekana hata km yupo basi si muweza wa kila kitu kuna mahali anafeli.
 
Hapa ndo nimeamini huna unalojua kuhusu Biblia..

Ukitaka kuanzisha mada hakikisha una elimu nayo..

Proved hebu msaidie ndugu yako maana mimi kuongea na watu wasio na elimu huwa siwezi..

Nimekuona wewe unaelimu sana
Naelewa vizuri sana,

Sikujua mjadala wenu ulianzia wapi, maana ninyi Islam Mariam na Miriam dada wa Musa kwenu ni mtu mmoja.
 
Naelewa vizuri sana,

Sikujua mjadala wenu ulianzia wapi, maana ninyi Islam Mariam na Miriam dada wa Musa kwenu ni mtu mmoja.
Mkuu mimi sio mwislam na sijafungwa na kifungo cha Upofu wa aina yoyote..
Nimewahi kuwa Mkristo kwa muda mrefu mpaka kuwa mchungaji....

Nimewahi kuwa muslimu for 7 years
Kuwa Myahudi (Judaism) for more than 5 years ...
For Now its better to be with no doubt than have doubt and blindly believe...

How could You have Faith where there is no HOPE?
So i know christian theology (Very much)
Kidogo Naujua uislamu
Kidogo uyahudi kwa asili mia zake

Ila kwa sasa Ni.ewasoma wote na wote ni waongo
 
Mkuu mimi sio mwislam na sijafungwa na kifungo cha Upofu wa aina yoyote..
Nimewahi kuwa Mkristo kwa muda mrefu mpaka kuwa mchungaji....
Nimewahi kusa muslimu for 7 years
Kuwa Myahudi (Judaism) for more than 5 years ...
For Now its better to be with no doubt than have doubt and blindly believe...
How could You have Faith where there is no HOPE?
Sorry bro. Asaiv umesimama kwny iman gan ya kidini hususan kwny ibada
 
Agano la kale ni kivuli cha agano jipya yaani agano jipya ndio halisi.
Agano la Kale ndio halisi. Agano jipya ni matokeo ya Agano la kale lililochakachuliwa kwa utashi wa kibanadamu kwa msaada wa hila za ibilisi.

Unaniambia katika Agano la kale ilikuwa sawa mume mmoja kuwa na wake wengi, kwenye agano jipya ikawa batili?! Nini kilibadilika?! Mungu alibadili mawazo?

Ikiwa dhamira ya ndoa ni kuzaliana, habu niambie, kati ya mume mwenye wake 3 na yule mwenye mke mmoja, katika kipindi cha mwaka, kama factors zingine za kibinadamu zitakuwa sawa, ni yupi atakuwa na watoto wengi?
 
Uongo na utapeli wa hizo dini.... Wanawake wanapaswa kuolewa wawili wawili na zaidi.

Hayo makanisa na vitabu vyake vya uongo khs ndoa wana ajenda zao khs ndoa na wanawake kw ujumla. Ndio maana wanapinga nakuaminisha watu mke n 1 tu
Acheni tamaa muoe.
 
Agano la Kale ndio halisi. Agano jipya ni matokeo ya Agano la kale lililochakachuliwa kwa utashi wa kibanadamu kwa msaada wa hila za ibilisi.

Unaniambia katika Agano la kale ilikuwa sawa mume mmoja kuwa na wake wengi, kwenye agano jipya ikawa batili?! Nini kilibadilika?! Mungu alibadili mawazo?

Ikiwa dhamira ya ndoa ni kuzaliana, habu niambie, kati ya mume mwenye wake 3 na yule mwenye mke mmoja, katika kipindi cha mwaka, kama factors zingine za kibinadamu zitakuwa sawa, ni yupi atakuwa na watoto wengi?
Mungu alipoagiza mkaizaje Dunia hakukuambia uijaze Dunia pekeako Kwa Kuoa wake wengi, la hasha!!

Aliposema enendeni mkaijaze Dunia, maana yake ni Kila Mwanaume aliyefikia umri wa Kuoa aoe mke mmoja na Azae watoto kupitia mke mmoja.

Dunia tunaijaza Kwa pamoja, Si Kwa wewe mmoja Kuoa wake wengi.
 
Back
Top Bottom