Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,168
Reaction score
8,982
Haya twende kazi,
Screenshot_20250503-104735_Chrome.jpg


1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.

2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.

3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua maamuzi magumu bila kujali athari zitakazojitokeza huko mbeleni, kifupi hawa watu dizaini hii hawaogopi kitu.

Haya wakuu kazi kwenu.

Hapa ni mapigo na mwendo furaha bila chuki.

Sosi:Kwa msaada wa mtandao.
 
Sioni Pua msambao za kaka zangu wa kitanzania hapo, so hakuna uhalisia wa andiko lako😏
izo ni graphics tu labda useme wew ulitaka picha halisi kabisa uweze kulinganisha.

izo hazina ublack uzungu uchina wala uarabu. binadam wote tunafit katika aina moja kati ya hizo apo.

japo kuna subtypes pia lakn hizo ndo aina kuu zilizopo.
 
Haya twende kazi,
View attachment 3323488

1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.

2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.

3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua maamuzi magumu bila kujali athari zitakazojitokeza huko mbeleni, kifupi hawa watu dizaini hii hawaogopi kitu.

Haya wakuu kazi kwenu.

Hapa ni mapigo na mwendo furaha bila chuki.

Sosi:Kwa msaada wa mtandao.
Ungetaja na nationality
 
Back
Top Bottom