Haya twende kazi,
View attachment 3323488
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua maamuzi magumu bila kujali athari zitakazojitokeza huko mbeleni, kifupi hawa watu dizaini hii hawaogopi kitu.
Haya wakuu kazi kwenu.
Hapa ni mapigo na mwendo furaha bila chuki.
Sosi:Kwa msaada wa mtandao.