Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Inawezekana maana exceptions huwa hazikosekani popote pale.2. Straight
Ila uvumilivu sina hasa sehemu kukiwa hakuna hela
izo ni graphics tu labda useme wew ulitaka picha halisi kabisa uweze kulinganisha.Sioni Pua msambao za kaka zangu wa kitanzania hapo, so hakuna uhalisia wa andiko lako😏
piga picha tuwekee apa kiongozi tukupe mwongozoMbona hapo pua yangu haipo au ndio sina pua?
piga picha tuwekee apa kiongozi tukupe mwongozo
Aisee!
Picha ya pua yako tafadhali?Kwani Mimi hapo pua number ngapi?
Itakuwa number 2Picha ya pua yako tafadhali?
Picha ya pua yako?Itakuwa number 2
Ungetaja na nationalityHaya twende kazi,
View attachment 3323488
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua maamuzi magumu bila kujali athari zitakazojitokeza huko mbeleni, kifupi hawa watu dizaini hii hawaogopi kitu.
Haya wakuu kazi kwenu.
Hapa ni mapigo na mwendo furaha bila chuki.
Sosi:Kwa msaada wa mtandao.
Kama ya baba levo na jaymond bila kusahau mume wa Vanessa mdee asee wanamapua makubwaSioni Pua msambao za kaka zangu wa kitanzania hapo, so hakuna uhalisia wa andiko lako😏