Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

Nadharia zisizo na uhalisia.
Zina uhalisia 💯%

Ila kwa kuwa watu hubadilika na kujidogodesha na kuachana na viburi tumetahadhalishwa tusitumie hii kwa sana, lakini haibatilishi uhalisia

Ni vema ukafuzu kwanza kwenye kusoma moyo wa mtu kabla ya hukumu ya maumbile kama Huna uwezo huo uthithubu kuhukumu watu kimaumbile utafeli sana

Moyo unazungumza sana kwa lugha kubwa mno, kabla ya kanwa kuachama na kupiga mayowe yanayoitwa maneno

Ni vema tuwe very emphathical sana kuliko ng'anyung'anyu za LomoLomo
 
Namba 3 imefanya nikuamini. Kwasababu hata kabla ya kusoma maelezo nilipoiona tu akili yangu ikawaza umafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…