Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Umekazana kuutetea Uzi wako bila reference yoyote...unayoandika yote unatoa akili mwako...toa reliable source of your info and not otherwise!!! Ni kama unataka uaminiwe kwa kitu ambacho ni vigumu pasipo evidence.
uthibitisho wa kitu waweza kupatikana pia kwa hoja na data zinazofahamika na public. nikikwambia fuatilia sherehe au maonyesho ya kijeshi ya nchi za EAST & CENTRAL AFRICA utaona wazi ninayosema kuwa ni kweli. achana ni mawebsite na malink mbalimbali yanakudanganya kwani yako kisiasa. pia jeshini kuna usiri mkubwa ila unaweza kuujua ukifuatilia na kujiongeza mwenyewe. narudia tena ndege iliyozinduliwa mwaka jana pale taifa tunayo sisi na SOUTH AFRICA tu, maana yake ikitumiwa kwa sasa majirani hawana pakwenda. jamani tuache chuki au kutoiamini nchi yetu pale inapoweza.
 
nawe umelalia upande mmoja? mbona huelezi kuwa Waganda walisaidiwa na Libya? kama hofu yavwazungu ni kufa, mbona MAREKANI na ULAYA wako vitani dhidi ya ISIS. hata AFGHANISTAN na IRAQ ni wazunguvwanapigana?
Hio kweli nakubali kama Uganda ilisaidiwa na Libya. Kuhusu Wamarekani na Ulaya kupigana vita. Ujuwe hio nchi wanayopigana nayo lazima iwe na maslahi na mataifa yao juu ya hela na wataweka kambi katika nchi hio. Sio sisi mpaka wazungu watugaiye pesa ndio tuna wapeleka majeshi wetu wakubwa wavimbe matumbo.
 
nakubali vita vyote huwa ni kwa sababu ya maslahi. thanx kwa point hii, maana hata huko Uarabuni najua mafuta yanaanzisha au walau kuchochea vita
 
Hio kweli nakubali kama Uganda ilisaidiwa na Libya. Kuhusu Wamarekani na Ulaya kupigana vita. Ujuwe hio nchi wanayopigana nayo lazima iwe na maslahi na mataifa yao juu ya hela na wataweka kambi katika nchi hio. Sio sisi mpaka wazungu watugaiye pesa ndio tuna wapeleka majeshi wetu wakubwa wavimbe matumbo.
hongera sana jwtz, lakini wananikera wanavyotupiga raia
 
yanalinda amani kwa kuangalia tu? yako kamili na vifaa vya kisasa vya kijeshi. tunapoombwa twende ni kwa sababu ya uwezo wetu mkubwa. tumeombwa sehemu nyingi na tuna uwezo. mkuu tafakari hayo usingoje website zikuambie wakati mpaka sasa kila moja ina data zake tofauti. hiyo miwebsite inatumiwa kisiasa nyie fungukeni!

Sie tumefanya kazi huko vifaa vilivo vingi vinatolewa na UN nimeona kwa UNAMID( United nations african mission in Darful)

UNMIL(United nation mission in Liberia kama hujui UN hua inaomba wanachama wake wajitolee majesh kwa ajili ya Kulinda amani Kama mna vifaa na mko fiti Why hamkuenda kule Somalia kwenye Amisom (africa Union Mission in Somalia)...???
Au angalia ishu ya Central Africa UN iliomba wajeshi South africa na Rwanda wamejitolea ile misheni ya MISCA-Mission internationale de soutien à la Centrafrique sous conduite africaine.
Kwahiyo kuhusu Jeshi letu kua poa au sio Poa haipimwi kwa misheni Za Kulinda amani.
DRC kule sioni kama walienda Kupambana mana waasi wenyewe wale sijui walikua hata 1000 hawafiki af walikua n kama unapambana na majambazi mana hawako full combat pia kulikua na Jeshi la Monusco ambalo ndo lilisupply lOgistics zote kuanzia vifaa mpka mchoro.
 
hizo takwimu nani kasema ni reliable ziadi? hujui zaweza kutumiwa na watu kwa maslahi yao? fuatilia hoja zangu kisha ipe changamoto hoja moja baada ya nyingine. mf. nimeongelea chuo cha MONDULI na nimesema majirani tunawafunza ujeshi hapo. inawrzekanaje mwanafunzi akamzidi mwl. wake?
Hivi haujui kua majeshi huwa yanatabia ya kushirikiana kwenye mafunzo??

Jaribu kugoogle
 
hongera sana jwtz, lakini wananikera wanavyotupiga raia
na mimi hapa nakosoa tabia ya baadhi ya wanajeshi ya kupiga raia. japo hii sio sera ya jeshi. ni ya wachache na inakemewa na jamii yote hata jeshi lenyewe huchukuaga hatua!
 
Mimi nilishawahi sikia kitu kama hicho.

Kuwa Jeshi la Tanzania ni Moto wa kuotea mbali, Afrika Mashariki na Kati
 
Sie tumefanya kazi huko vifaa vilivo vingi vinatolewa na UN nimeona kwa UNAMID( United nations african mission in Darful)

UNMIL(United nation mission in Liberia kama hujui UN hua inaomba wanachama wake wajitolee majesh kwa ajili ya Kulinda amani Kama mna vifaa na mko fiti Why hamkuenda kule Somalia kwenye Amisom (africa Union Mission in Somalia)...???
Au angalia ishu ya Central Africa UN iliomba wajeshi South africa na Rwanda wamejitolea ile misheni ya MISCA-Mission internationale de soutien à la Centrafrique sous conduite africaine.
Kwahiyo kuhusu Jeshi letu kua poa au sio Poa haipimwi kwa misheni Za Kulinda amani.
DRC kule sioni kama walienda Kupambana mana waasi wenyewe wale sijui walikua hata 1000 hawafiki af walikua n kama unapambana na majambazi mana hawako full combat pia kulikua na Jeshi la Monusco ambalo ndo lilisupply lOgistics zote kuanzia vifaa mpka mchoro.
hongera kwa kufanya kazi UN ila tambua: mara nyingi hao UN hawasupply vifaa vyote bali wanatutaka tutumie vyetu kisha watulipe. tena wameshalalamikiwa na nchi nyingi kutolipa kwa wakati.tafuta kauli ya CDF Mwamunyange alipowaaga wajeda walioenda CONGO DRC. pili jiulize kwanini mission nyingi tuombwe sisi wakati wengine wapo? ni kwa sababu ya uwezo! hata kama vifaa ni vya UN maana yake tunajua kuvitumia vizuri na kwa lugha nyingine tunavyo kama hivyo ndo maana tunachaguliwa sisi zaidi. tatu mission nyingine hatuendi kwa sababu hatuwezi kujigawa sehemu zote zenye migogoro. tuko LEBANON, DARFUR na CONGO bado twende na kwingine, kwetu atalinda nani?
 
Unasema hawalipwi kwa wakati vipi ishu iko Hiv UN wanatoaga pesa bila longolongo ishu n kua ela zinatoka zinaenda Dsm kule wale wakubwa wanaanza kuleta mapicha picha kuwalipa wale wanajeshi.ushaidi ninao kama unataka kuombwa jombaa unaweza kubali au kataaa Tz ni wazuri kwenye Kulinda amani mana kwa mfano Ukanda Huu mana ni Non-alignment huwezi peleka jeshi La Rwanda au Burundi au uganda kulinda amani congo kwa sababu ya ukaribu kuna ishu za maslahi na uungaji mkono waasi au serikali katika nchi taja hapo au huwezi omba jeshi la Iran kulinda amani iraq UN wana plan zao juu ya mambo ya Mission zao kwa mfano Monuc(united nation mission in congo) ile Misheni ya congo iliongia mwaka 2001 n weng wajeda toka bangladesh Brazil na philipines hakuna Jesh Lolote la nchi za africa au ukanda wa maziwa makuu wanalinda amana Pale. Hili ambalo Tz ipo n intervesion jesh la kuingilia kati mapigano au Monusco wanaita kwa sasa ambalo Tz sauz na malawi wapo coz n non alignment kwa nchi husika.
 
Hiyo ni kwa mujibu wako sijui ni msemaji wa jeshi au sheata wa kujitolea hila kumbuka ni kosa kubwa kutoa siri za jeshi.
 
Hivi haujui kua majeshi huwa yanatabia ya kushirikiana kwenye mafunzo??

Jaribu kugoogle
mafunzo ya namna hiyo huchukua muda mfupi sana pengine wiki moja au mbili. lakini tambua kuwa hatupelekagi wajeda wetu kwa majirani kwa kozi ndefu maana sisi ndo walimu wao. mbona wabishi wafau?
 
sina data ya magari ya washawasha, labda tunaongoza pia ila kuhusu JWTZ habari ndo hiyo!
Kwa nchi maskini kama yetu, ambayo raia wake wengine kutoboa milo mitatu ni shughuli pevu, hicho ulichosema kina msaada kweli?
 
  • Thanks
Reactions: B40
niwakumbushe tu kuwa jeshi letu lina mikataba maalum ya muda mrefu na CHINA na ndiyo maana tunapata mafunzo ya pekee sana ambayo majirani hawapati. vifaa vingi sasa vinatoka huko. kama mnakumbuka mwaka jana CHINA ilituletea meli za kisasa za kivita. pia kutoka INDIA tulinunua magari mengi ya kivita. jamani nchi yetu iko fit hata mkikataa hili liko wazi.
 
Kwa nchi maskini kama yetu, ambayo raia wake wengine kutoboa milo mitatu ni shughuli pevu, hicho ulichosema kina msaada kweli?
uzi wangu unahusu JWTZ. faida ya jeshi lililo fit ni uhakika wa mipaka yake na kulinda interest zake hata nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom