Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

yaani ndio nazidi kuamini wewe ndio sababu ya mdogo wako cute b kunikimbia!!

Hahahaaaaa!! Nilikuwa namhurumia mnooo mdogo wangu jamani, watu wanaukimbia umasikini yeye anaukimbilia, na ana mkosi kweli.

Yaani hapa labda nikuitie loveissweet aje akupe maneno ya kukutia moyo maana kwangu umenoa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…