Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mama aliaminiwa na Hayati aliyeweza na alikuwa sehemu ya mema na mabaya ya Awamu iliyopita.Mama hawezi.
Sio kuyamudu haya pekee, lakini sioni atakavyoweza kuondoa uozi mwingi sehemu mbalimbali serikalini na kwenye mashirika yake.
Mama hana uthubutu na sina uhakika kama anajua ni kipi akifanye kuyaondoa haya na hayo mengi yaliyozagaa kila upande serikalini na kwenye mashirika.
Siyo ajabu, yeye mwenyewe ndiye atakaye yachochea yaongezeke zaidi na zaidi.
Ushabiki upi sasa?hata kipindi cha jiwe pesa inakuwa ikiliwa tu, lakini nani alikuwa na uwezo wa kusema?kwani sasa ukiibuka upigaji utasikia "wapigaji wameanza"!!! Kwani waliisha lini?wapigaji wapo tu na wataendelea kupiga kutokana na mfumo wa kulindana uliopo ndani ya ccm.Naona hapa umeleta ushabiki na uzandiki
Ukimsikiliza Majaliwa, anazungumza kwa mipaka. Hasemi lolote juu ya Katibu mkuu, hasemi juu ya Waziri, why? Ndo PM tuliyenaye. Enzi ya Sokoine angelala nao mbele.Wewe uwe Rais anayokuja. Utawanyoosha kweli kweli. Mama Samia delegate most everything to Majaliwa.
Ingekuwa ni huko China wote wangepigwa risasi, na wengine wengijiua wenyewe kuliko 'aibu' ya kuuawa na serikali...Kwa wakulima wa mahindi na mpunga, tunaelewa uharibifu wa nyani na tumbili na ndege. Huwa tunaanza kuweka matambala na kichwa cha bandia ili wanyama hawa waamini huyo ni mlinzi.
Wanyama polepole huanza kuzoea na kugundua kwamba hayo ni matambala na hakuna kichwa, ni chungu cheusi. Hapo sasa mazao huanza kuliwa.
Tumeanza kuona wizi na ulaji wa hovyo. Tena ndani ya wizara mama yenye kushikilia hazina ya taifa na nchi. Wizara ya Fedha wanaanza kuiokomba nchi kweupeee! Hisia yangu hawa ni nyani waliogundua kwamba hatuna tena mlinzi wa fedha ya umma. Rais wetu utajua mwenyewe! Kama nawe una maneno yale ya kusema nchi hii utaiacha kama alivyoiacha Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli. Aliyesema simtaji.
Kabisaaa,Huyu anaonekana ni mtendaji wa serikali kabisaaaTumewashtukia tumbili, kama hatutawaua kwa bunduki basi kwa sumu.
Mnapigia kelele mkisifu haiba ya mama kumbe mna malengo yenu.
Sent from my INE-LX1r using JamiiForums mobile app
Achana na Mambo ya 'mwendazake'...tunajadili wizi ulioanza Sasa...halafu mauaji mitaaniTilion 1.4 chini ya mwenda zake ziliyeyuka yeyuuuu
Jizi hili,Hawa ndo walitaka aondoke JPM ili wapigeWw jizi nini?!??
Mmh..huu utaratibu uko serikalini miaka na miaka..waje wabishe...Hizi hela zilitumika mara tu mwendazake alipofariki..
Unaandika kama mtu asiyejua sababu ya JPM kuchukiwa na waajiliwa wa serikali. Tangu siku yake ya kwanza JPM aliwafinya Wizara ya fedha na BOT. Bandarini na makontena, TRA, nk. Sasa kama upigaji ulikuwepo ni sawa, kwamba haukuonekana, lakini hadithi za kuzuiwa kuusema ni hisua zako binafsi bila ushahidi.Ushabiki upi sasa?hata kipindi cha jiwe pesa inakuwa ikiliwa tu, lakini nani alikuwa na uwezo wa kusema?kwani sasa ukiibuka upigaji utasikia "wapigaji wameanza"!!! Kwani waliisha lini?wapigaji wapo tu na wataendelea kupiga kutokana na mfumo wa kulindana uliopo ndani ya ccm.
Sasa hivi "MIFUMO" inafanya kazi; eti Eeeh Bhwanah!Mama aliaminiwa na Hayati aliyeweza na alikuwa sehemu ya mema na mabaya ya Awamu iliyopita.
Aina ya utendaji ni tofauti na kipindi hiki hiyo inayoitwa mifumo ndio ipo kazini.
Hayati aliufahamu vyema usindikizaji wake kuanzia 2015. Dharau zetu kwa jinsia ya like haziwezi kutufikisha popote.Sasa hivi "MIFUMO" inafanya kazi; eti Eeeh Bhwanah!
Mama alikuwa ni msindikizaji tu wakati wa hayati, kama anavyoonekana kuwa msindikizaji tu wakati huu hiyo "MIFUMO" unayoongelea ikimwendesha.
Tukuweke wewe Uwe Rais, tupe mikakati yako.Ukimsikiliza Majaliwa, anazungumza kwa mipaka. Hasemi lolote juu ya Katibu mkuu, hasemi juu ya Waziri, why? Ndo PM tuliyenaye. Enzi ya Sokoine angelala nao.
Huenda pia PM anaelewa katibu mkuu na Waziri wana nafasi ipi kwenye furaha ya rais. Tuko kwa Viongozi wanaodeka kwa urafiki binafsi.
Sasa hapa nashindwa kukuelewa.Hayati aliufahamu vyema usindikizaji wake kuanzia 2015. Dharau zetu kwa jinsia ya like haziwezi kutufikisha popote.
Tumpe muda Mama afanye kazi, kuliko kumjazia negativity zetu za kila siku.Sasa hapa nashindwa kukuelewa.
"Dharau zetu kwa jinsia ya kike"?
Nani amedharau, hayati? Kwa nini iwe "zetu". Unanihusisha nami pia kwenye hiyo 'zetu'?
HaaaahaaaaWeka vizuri sentensi mkuu, inaogofya
Huyu jamaa kamaa anatoka Babati basi itakuwa ni goroha.Hakiamungu!
Kwa hiyo tunyamaze ndipo kazi itafanyika..., tukimjazia 'negativity' hatafanya kazi?Tumpe muda Mama afanye kazi, kuliko kumjazia negativity zetu za kila siku.