Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mama aliaminiwa na Hayati aliyeweza na alikuwa sehemu ya mema na mabaya ya Awamu iliyopita.Mama hawezi.
Sio kuyamudu haya pekee, lakini sioni atakavyoweza kuondoa uozi mwingi sehemu mbalimbali serikalini na kwenye mashirika yake.
Mama hana uthubutu na sina uhakika kama anajua ni kipi akifanye kuyaondoa haya na hayo mengi yaliyozagaa kila upande serikalini na kwenye mashirika.
Siyo ajabu, yeye mwenyewe ndiye atakaye yachochea yaongezeke zaidi na zaidi.
Aina ya utendaji ni tofauti na kipindi hiki hiyo inayoitwa mifumo ndio ipo kazini.