Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

Labda huyo raisi asiwe mwafrika. Mwafrika hata akiwa kwenye koma bado anatetea kiti
Yap. Sio rahisi kwa mwafrika. Mtu amepata kiti kwa njia ya damu harafu aachie hivi hivi, sio rahisi kama tunavyofikiria
 
Yawezekana lkn siyo Barani Africa!
 
Nikisema Sisi namaanisha sisi Wazalendo.
P


Kwa jinsi ulivyoipokea hii tetesi ya kificho wewe mzee,

1) Possibility ya kuwa kweli ni 80%
2) Umeonesha unapenda sana litokee ASP.

NB. Maneno ya hekima hadharani hutuliza nyoyo zilizoghadhibika. Watu hawawashi taa na kuificha kwenye chungu bali huwashwa na kuwekwa juu ya kiango iangaze kote na kufukuza giza.

Usiwe mzalendo wa gizani, tutaitambuaje hekima yako ukiitolea uvunguni?
 
Binafsi natamani sana huyu mjane hata leo atuachie Tanganyika yetu, ila simuamini hta kidogo huyo Ndenjembi, nahisi ni zao la hao hao wana mtandao as long as ameshafanya kazi GSM. Ongopa sana hilo genge lina mizizi mirefu sana, na hawajamchagua kwa bahati mbaya kuwa VP.
 
Inanibidi niseme, kwa vile sasa nimesoma yote yaliyoandikwa humo.

Jambo linalosikitisha kwa mada za aina hii, na hasa mwelekeo wa mleta mada za aina hii, ni kama hakumbuki kabisa kwamba hili ni taifa lenye watu wenye akili na wanaolitakia taifa lao mafanikio.

Hii 'mentality' ya kulichukulia taifa hili kama mali ya watu /kundi, hii akili imetoka wapi?

Unajuwa wazi hawa unaowazungumzia kila mara humu, si viongozi wanaotokana na ridhaa ya wananchi. Haiwezekani hata siku moja ukafikiri kwa kuweka matakwa ya wananchi mbele badala ya wapumbavu hawa na chama ambacho kimegeuka kuwa takataka?

Mnataka tuzungukie kwenye upuuzi wa namna hii hadi lini kama taifa kwa ushabiki tu wa namna hii; kuwashabikia watu, na si taifa.

Inaudhi sana.
 
ok.πŸ’
 
Toka Nchimbi ajiuzuru na kuwekwa kitimoto, huwa una comment kwa adabu sana, unajua namna gani CCM inavyojua kiwa suprise machawa wake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
binafsi ni mtu wa maadili tangu kuzaliwa kwangu. Ni mtumishi wa wananchi mchapakazi hodari, mwaminifu na mwenye kujali utu wa kila mTanzania. Nina adabu mbele ya jamii ya wanaonipinga na wanaoniunga mkono.

Ninamfahamu vizuri sana kwamba siasa ni sayansi. Na ninaelewa kwamba political dynamics haiepukiki na hiyo ndio asili yake.

One should not be confused by that,
and every professional politician must be flexible.

So,
siwezi kuacha kua na adabu katika kufanya siasa kwasababu siasa inahitaji discipline ya kiwango cha juu sana.
Waambie na wenzako kuhusu hili πŸ’
 
Naunga mkono hoja, wewe ni baraka, umebarikiwa na utaendelea kubarikiwa sana.
P.
 
Umejieleza sana weka no uokoteπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…