Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

Mkuu kwa teuzi tengua hizi unadhani hata waziri wa Elimu tunamjua?......Watanzania wengi washaacha kufatilia mambo haya.

Kwa kweli hata mimi zaidi ya Waziri Mkuu, Mwigulu na Ummy, mawaziri wengine wote waliosalia siwajui kivile...
 
Kwa hiyo kumbe wakati anapewa tuzo na Chadema( Mbowe) waliamua kwamba mlinzi wa Mbowe atajiju?

Kwa hiyo wakati Mbowe anatoa jasho kumsifia Samia akiwa Mwanza alisahau kwamba mlinzi wake alipotezwa?
 
Kwa kweli hata mimi zaidi ya Waziri Mkuu, Mwigulu na Ummy, mawaziri wengine wote waliosalia siwajui kivile...
Ummy anafanya kazi gani kwenye hiyo wizara
 
Cammilius na Ramadhan wamepwaya sana kwenye nafasi zao na utendaji wao ni kama wanapingana na 4R za boss wao.
Mh Rais,ni lazima aelezwe hili!!

Ndani ya Jeshi,akitaka kumpata IGP mzuri ni lazima ashuke chini kuanzia mwenye cheo Cha SP, SSP na ACP!!

Kumtoa IGP kutoka kwa kwenye vyeo SACP, DCP na CP ni kujidanganya!!,Hawa wengi wao wanakuwa wanakaribia kustaafu na akili zao Mara nyingi zinakuwa zimechoka Sana!!

Mh.Rais atafute IGP ambaye ni Kijana ambaye atakuwa naye kwa muda mrefu,ni risk Sana unapokuwa na CPs ambao karibia wote wanatarajia kustaafu ndani ya miaka miwili au mitatu kufika muda wa kustaafu!!
 
Kwa hiyo kumbe wakati anapewa tuzo na Chadema( Mbowe) waliamua kwamba mlinzi wa Mbowe atajiju?

Kwa hiyo wakati Mbowe anatoa jasho kumsifia Samia akiwa Mwanza alisahau kwamba mlinzi wake alipotezwa?

..walitegemea atawalipa wema, lakini anawalipa ubaya.

..kwani Samia alipotangaza 4R ulidhani hatutaelezwa hatma ya Azory Gwanda, na wengine?
 
..walitegemea atawalipa wema, lakini anawalipa ubaya.

..kwani Samia alipotangaza 4R ulidhani hatutaelezwa hatma ya Azory Gwanda, na wengine?
Toka siku ya kwanza sijawahi kumwamini huyu bibi,4R ni kitu ambacho yeye mwenyewe hakielewi ukimwambia akuelezee kwa undani kila R atashindwa. Ni mtu asiyekuwa na sifa ya kuwa angalau group leader kwenye group discussion.
 
"negative mindset"
 
Kaganda nimemfuatilia anafanya kazi kwa weredi. Awadh atamharibia nchi na kimataifa. He is not an intelligent police officer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…