TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

99.99% ya viongozi na watawala hasa wa Afrika hawaingii mbinguni. Kwa sababu wakiwa madarakani huwa wanalewa madaraka (hasa wanapokuwa wanazungukwa na mabunduki na kukanyaga zuria jekundu) na kusahau kuwa nao ni wanadamu tu, watakufa tu, watakuwa mavumbi/udongo tu. Na mwisho wa siku watasimama mbele za Mungu kwa hukumu. Poleni wanafamilia.
 
Maisha ni ubatili mtu, walimtumia kama dekio tu.
Shwin alojua fika hakushinda basi tu.
 
Sio Africa tu ni watawala wote Duniani hakuna aliyefaulu kuingia mbinguni
 
Sio Africa tu ni watawala wote Duniani hakuna aliyefaulu kuingia mbinguni
 
Huyu aliharibu sana,bila huyu leo tungekuwa na Tanganyika yetu.Believe me kule CUF ingeshinda 2015,muungano tungekuwa tushausahau.
Umenisaidia sana! Nilikuwa najiuliza sababu ya wabara kucheza Ngoma ya wazanzibari ikawa sielewi kumbe Kuna kugawana faida ikiwa muungano utavunjika!!! Any way nadhani muungano huu ni kwaajili ya kulinda maslahi ya chama tawala upande wa bara na pia znz.
 
Yeye alipokuwa anadhulum alidhani ataishi milele, usituingize kwenye dhambi zake.
Hata wewe hapo una madhambi na bado unaishi!! Kifo na madhambi anayoyapenda mtu havina uhusiano wowote .
Wabaya wanakufa na wazuri wanakufa.
Kwahiyo kufurahia kifo Cha mtu wakati wewe hujui utakufa lini ni upumbavu uliopitiliza.
 
Sio Africa tu ni watawala wote Duniani hakuna aliyefaulu kuingia mbinguni
 

Acha kutetea ujinga. Umedhihaki watu waliouliwa Pemba. Nawe siku yako inakuja. Mjaaa laana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…