kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Haleluya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza maswali ya kijinga. Ingekuwa hivyo, mtume angekuwa hai mpaka Leo. Watu wanaongelea ujinga alioufanya huyo Jecha Zanzibar. Watu wameshakabidhiwa vyeti vya ushindi yeye anaamka na kufuta matokeo. Very stupidKwahiyo maalim seif ni mbaya ??!!! Maana alianza yeye Jecha kafa baadae!
Kama alishindwa kutubu makosa yake ya kufuta Uchaguzi wa Zanzibar 2015 atasamehewa na nani?
Hakuna kitu kama hicho avune alichopanda, tena wamzike haraka asije akazindukaUnaandika upumbavu halafu unasema eti "wabillaahil tawfiyq.??!!"
Unataja jina la Allaah baada ya kuandika maneno ya jeuri na uadui kwa muislamu mwenzio aliyekufa au wewe ni kafiri?!
Wewe muislamu kweli kuendeleza maneno ya visasi na marehem...
Labda na Mwenyekiti wa CCMKama alishindwa kutubu makosa yake ya kufuta Uchaguzi wa Zanzibar 2015 atasamehewa na nani?
Jamaa mzembe kweli. Vitu vidogo vimemshindaAmeshindwa kabisa kufuta kifo jamani
Anaweza akafuta Kifo. Subiri kwanza msianze matangaMzee alituharibia uchaguzi huyu. Anyway Rip
Innalillah wainna ilayhir rajiun. Namuomba ALLAH amsamehe pale alipoteleza na kuwanyima watu haki zao kwa kushinikizwa na watanganyika.Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko.
Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi Zanzibar. Zaidi soma Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu
Aprili 17, 2018 Salim Jecha Salim aling'atuka rasmi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) baada ya kuhudumu katika nafasi hiyo kuanzia Mei 4, 2013. Zaidi soma Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka
Mwaka 2020, Jecha Salim Jecha alichukua fomu ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi(CCM), jambo ambalo lilizua utata ukizingatia mwaka 2015 alikuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar yenye dhamana ya kusimamia chaguzi zote kisiwani humo. Zaidi soma Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar
Mola amsamehe makosa yake alipoteleza.
View attachment 2691725
Picha maarufu ya Jecha Salim Jecha enzi za uhai wake
Hapana aisee,Sasa uso kwa uso na maalim Seif!
Kuna wa kuwasamehe, huyu si miongoni mwaoInnalillah wainna ilayhir rajiun. Namuomba ALLAH amsamehe pale alipoteleza na kuwanyima watu haki zao kwa kushinikizwa na watanganyika.
Mola alimchelewesha sana kufanya yake.Kuna wa kuwasamehe, huyu si miongoni mwao