Tegeta Sec School ndo ajue kiingereza kweli.Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Endelea kuvuta tu kama inavyoonekana picha yakoMchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka
Mfuasi wa jiwe weweEndelea kuvuta tu kama inavyoonekana picha yako
Kaa kimya mambo mengine kama huyajui!!mtu toka chekechea hadi form six amesomea shule za kingereza tu,leo useme hajui kingereza?!!Anajua kiingereza? Hajui kiingereza kabisa anachojua kiswangish,hayo mambo ya nani kufungwa tusubiri mpira ukiisha
Yanga anakula 4 - 1, mpende msipendeNilikuwa nafanya mathematical analysis nikagundua uwezekano wa Yanga kushinda ni asilimia 87.5
Dah! Alafu yupo serious kweli kumbe mashudu tupuYeah ofcoz we ni hater na unaumizwa kwa kiasi kikubwa na mafanikio ya Yanga.
Upende Usipende Yanga inaenda fainaliView attachment 2623098
Kaongeza kupitia ya takwimu haya mtakwimu ..lete hizo takwimu za kufanya yang afungwe tatu bila...Mnapenda ku catch feelings kwenye vitu vidogo.
Mchambuzi anaongea kupitia takwimu na sio kuridhisha upande eti kwasababu ni timu ya nyumbani au namna gani.
Hakuajiriwa kwa kazi hiyo na isingependeza boss wake kuona kila siku unajadili mlengo mmoja tu wa kimaoni.
Huyo Geaf Leah ni mshabiki mkubwa wa Mayele tena sana na anamuelezea kwa namna ya kiukubwa sana pengine tofauti na wachambuzi wengine wote ambao mimi nimewasikiliza chambuzi zao.
Hapo umem attack kupitia tittle tu ya uzi lakini naimani hujasikiliza sababu za msingi kwanini yeye ameona hivyo.
Huwa nashangazwa sana sometimes unakuta matokeo yamekuja kinyume na wachambuzi walivyobashiri basi kila mtu anaanza kuwarudia kuwatukana.
Hiyo sio fair na ukitaka kuona jaribu kufatilia tu hata hapo studioni wanakuwa wachambuzi wenyewe kwa wenyewe wanatofautiana maono.
Lakini angalia namna wanavyo argue kisomi kukosoa maoni ya mchambuzi mwezake kwa kutoa sababu za mashiko kuonesha namna gani mwezake hayupo sahihi.
Huwezi kukuta wanatukanana kwa hiki kiwango ambacho sisi mashabiki tumekuwa tukiwafanyia.
Watu walisema na ilifaa tuwaheshimu maoni yao.
Vile vile kuna watu waliwahi kusema na matokeo yakaja vile vile kama walivyosema, hatuwezi tukachukua hiyo kama fimbo ya kuanza kuwatusi.
BTW mimi niliwakataa Rivers United mapema siku ile ile ilipotolewa draw.
Fanya na biological analysisNilikuwa nafanya mathematical analysis nikagundua uwezekano wa Yanga kushinda ni asilimia 87.5
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Uto wakiingia fainali tutateseka sana
Ee Mungu fanya utabiri wa Jeff kuwa kweli
Ahahahaha hapo weka mbali kubeba ndoo maana mtakufa kwa jinsi watu watakavyoongea 🤣🤣Uto wakiingia fainali tutateseka sana
Ee Mungu fanya utabiri wa Jeff kuwa kweli