Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Tegeta Sec School ndo ajue kiingereza kweli.Mchambuzi nguli mwenye kujua vizuri kiingereza Goeff Leah kutoka sports headquarters Efm amesema ana uhakika Marumo atashinda tena goli kuanzia 3-0 na Yanga hatofuzu na hivyo ndoto za ubingwa zitaishia hapo.
Mimi kama mjumbe siuwawi, njooni mtoe ya moyoni, mtiririke na kuserereka