Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

Unamsikiliza mtu failure ?
 
Kama ndio hivyo Naymer alikiwa Santos kwa mkopo,akaenda Barca kwa mkopo, Tevez nae alikuwa Man Utd kwa mkopo, City kwa mkopo. Unaweza ukakuta Mayele kaenda Pyramid na still kama Mayele akiuzwa tena Maniema akawa na asilimia zake.

Sometimes msipende kusimuliwa na hawa wacha-MBUZI, fuatilieni sajili kupitia Fabrizio Romano kidogo jamaa anaweza kukupa basic sajili zimazofanyika. Mchezaji kama angekuwa wa mkopo na Maniema ,sizani kama Pyramid wangekuja huku Dar kufanya mazungumzo na Yanga, wangemalizana na Maniema basi.

Kuna timu au watu wana asilimia zao binafsi kila mchezaji anapouzwa kwenda timu husika,hiyo kawaida na sio kwamba timu atakayo uzwa hawana haki na huyo mchezaji.
 
Ulitegemea asemaje on camera?
Chiko Ushindi na Kisinda walikua kwa mkopo ilikua siri? let's say unacho ongea wewe ni sahihi hao Maniema wangeona hio interview ingekuaje? basi tuletee reference ya huo mkopo hapa na mwisho kwanini Pyramid hawakwenda Maniema?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Swali Mkopo wa Mayele kwa yanga ulitoka mamiema fc?
Kwanini wamwibuka mwishoni kama hawahusiki endelea kujiuliza mwisho tutafika hitimisho
 
Swali Mkopo wa Mayele kwa yanga ulitoka mamiema fc?
Kwanini wamwibuka mwishoni kama hawahusiki endelea kujiuliza mwisho tutafika hitimisho
Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Einstein gani ambaye huna akili kwanini unajipa jina ambalo huwezi kulibeba?umepewa mifano ya samatta, Halaand bado huelewi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kula madini πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»


```MMILIKI HALALI WA FISTON MAYELE

Timu ya Jeunesse Sportive Likasi ya DRC Congo ndio inayommiliki Mchezaji Fiston Kalala Mayele kwa taarifa za hizi Documents hapa ni kuwa Mchezaji huyo alipelekwa kwa Mkopo Toka Timu hiyo kwenda As Vita chini ya Rais wa Wakati huo General Amis Gabriel Tango.

Wakati Yanga wanamtaka Mayele toka As Vita ndipo ikatengenezwa Mkataba mwingine ambao ni feki chini ya General Amis Gabriel Tango ambae pia ndio mmiliki wa Mayele aliejificha sababu Kanuni za Soka hazikubaliani na Mtu kumiliki mchezaji hivyo Mkataba ukatengenezwa kuwa Mchezaji ni wa Maniema FC ambayo Amis Gabriel Tango pia ni muhusika na mahusianoa na Maniema FC hii yote ni kuifanya As Vita imtoe Mayele kwa Mkopo bila ya Timu halisi Kujua yaani Likasi hapa As Vita na Yanga wametengeneza nyaraka feki.

Barua za uthibitisho hizo hapo za Toka Likasi kwenda As Vita kwa Mkopo wa Mpaka 02 Julai 2023 ndio mkopo unapoisha na Mchezaji anabaki ni Mali ya Timu ya Jeunesse Sportive Likasi.

Timu ya Likasi imekuwa ikikumbusha kila mara kwa mamlaka zote za soka na Timu zote kuwa wao ndio wameliki halali na mwisho sasa Mchezaji Fiston Mayele Kauzwa sasa Wamekuja kutaka haki za mchezaji wao maana mkopo umeshaisha.

Wametoa Taarifa kuwa kuanzia sasa Mchezaji Fiston Kalala Mayele yupo chini ya Mamlaka yao na kama kuna tinu inataka kumuhitaji basi wao ndio wana haki zote, wamepeleka mashtaka mbele ya Shirikisho la DRC na kuweka Vithibitisho hivyo hapo ingawa vipo kwa lugha ya Kifaransa ila kila Sehemu wamepewa Nakala.

Kwa Uelewa tu ni kuwa Mayele yupo Yanga kwa Mkopo ulitokana na Mkopo ambao umeshaisha sasa hivyo Hata wakimuuza Fedha nyingi itaenda kwa Wamiliki wao Yanga watapata Kiduchu tu maana Mchezaji ameuzwa baada ya Mkataba kwisha pia ila pia hawana umiliki halali bali walikuwa nae kwa mkopo na kwa nyaraka zisizo halali.

Hawa ndio Wachezaji wa Kicongo walivyo wengi wanamilikiwa na Watu hasa wanaotokea nchini kwao Ugopa sana bora waliotoka nje muda sio hawa ndio kwanza wanatoka lazima nyuma ana mtu Mwamba, Tatizo kubwa sio Yanga kumkosa Mayele bali pia Yanga kupata sehemu ndogo ya fedha za mauzo hii ndio Viongozi wameanza Kampeni kwa Chawa wao kuwa Bora aondoke Ofa ni kubwa sana Yanga itaingiza fedha kuficha ukweli wamesahau ya Tuisila Kisinda hakuna fedha iliyoingia Yanga wakati ule na haijaonyeshwa hata kwenye vitabu vya hesabu kwenye bajeti sasa mengine ndio haya mapya Watu wamefuata mtu wao katika ngazi za mamlaka hii ngoma Wacongo wanajua sana kuzicheza na wote wapo Kitu kimoja.

KUMBE SIO WETU HII NIMELIA SANA
 
Sikiliza nikwambie Einstein uise na akili mchezaji hawezi kuwa miliki ya timu asie kua nayo, t hayo maelezo mengi kaa nayo ni ujinga tu, sasa hivi mmiliki wa Mayele ni Pyramid

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sikiliza nikwambie Einstein uise na akili mchezaji hawezi kuwa miliki ya timu asie kua nayo, t hayo maelezo mengi kaa nayo ni ujinga tu, sasa hivi mmiliki wa Mayele ni Pyramid

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa kawaulize keshokutwa kwenye mkutano mkuu wakuoneshe mapato na mtumizi ya fedha ya Mayele ndio utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…