Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

So Mayele alikua na mkopo wa mda gani?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yule bwana Ni mpuuz Ni kinyesi nakuambia I don't know how amepewa kipasa sauti

Ni kitambo Sana ameweka chuki na yanga

Mpuuze na mm huwa siwez sikiliza redio ya majizo
 
Wapi inaonyesha kazumari anachuki ametoa facts za fiston kuwa club mbili nawe toa zako kusema nii adui wa club hii
 
Hapo ameongea ubaya upi
Ubaya wake ni kuwa mayele hakuWA Yanga Kwa mkopo...yeye anadhan kwakuwa TIMU ya zaman imehusishwa katika mauzo ya mayele ANAJUA Yuko Kwa mkopo...KUMBE INAWEZEKANA KUNA KIPENGERE WALIKIWEKA KUWA AKIUZWA WAPEWE ASILIMIA.FULANI...HILI HUYU MPUMBAVU HALIJUI?
 
Wapi inaonyesha kazumari anachuki ametoa facts za fiston kuwa club mbili nawe toa zako kusema nii adui wa club hii
Fact zipi? Kwamba kisa maniema wamefaidika na pesa za mayele ndo tuseme alikua kwa mkopo?
 
Yanga mwenzangu umehamia Simba kwa mkopo
 
Habari utopwinyo wasizo penda kuzisikia[emoji23]
 
Waongopee mazuzu wa kariba yako, umeanza kupuyanga kwa taarifa za Nonda Shaabani. Kama Nonda alitoroshwa kwenda kucheza Vaalprofesional pale south Africa na ICT yake nayo ili toroshwa? Aliwezaje kucheza ligi ya South bila ICT? Yaani mnaona watu woote mazuzu kama nyinyi!!
Nonda aliuzwa mwaka 1995 chini ya mwenyekiti mpondela kwa dola 10,000/= kwenda Vaal professional nao 1996 wakamuuza dola 150,000/=kwenda fcZurich ya uswiss, nao waka muuza dola 900,000/=kwa Renees ya france nao waka muuza dola milioni 25 kwa Monaco n.k sass tusiongopeane.
 
ngoja nikamtie kwenzi za nguvu mpuuzi huyu. Nitamfuata huko huko studioni kwake nikantie kwenzi za utosini bila huruma.
 
Mbona hili halihitaji hata akili ya uwakala?
Bin Kazumari ni MBUMBUMBU na anaiwakilisha vyema bendera yao. Hivi umesahau kuwa alikula zero kwenye mtihani wa uwakala wa wachezaji wanaotambuliwa na FIFA? Kwahiyo alivyo bin Kazumari ndivyo walivyo wanasimba wote.
 
Unapinga kwa ushahidi upi acha mihemko toa facts na data
 
Wewe ni jemedari chawa wa moooo
 
Unapinga kwa ushahidi upi acha mihemko toa facts na data
Sasa umwekewa hapo hadi nukuu yake hio moja, pili kanukuu chanzo kimoja kinachosema pesa aliyouzwa mayele maniema wamepata mgao lakini ameconclude kwamba ni kweli alikua yanga kwa mkopo jaman huo ni mkopo wa aina gani? Je hakuna wachezaji ambao hua wanauzwa ila timu yake mama bado inakua inafaidika na mgao? Je hio ndo tuseme mchezaji huyo anakua ni wa mkopo kweli?
 
Bin Kazumari ni MBUMBUMBU na anaiwakilisha vyema bendera yao. Hivi umesahau kuwa alikula zero kwenye mtihani wa uwakala wa wachezaji wanaotambuliwa na FIFA? Kwahiyo alivyo bin Kazumari ndivyo walivyo wanasimba wote.
🤣🤣🤣Hajielew na nashangaa sana wachezaji wanaomwamini kuwasimamia
 
Toa facts na data za kukataa kwamba Mayele hakuwa Yanga SC kwa mkopo, kuna kesi gani hapo kukopa ni kesi?au tatizo lako ni muda wa mkopo?
 
Nenda post no. 29 sikiliza hio interview

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa ubongo wake una funza. Et nitoe fact utafikri uyo anayemtetea naye ana fact au hio data. Fact kwetu tosha ni mayele kuhudumu yanga kwa mkataba wa miaka miwili akibakisha mwaka mmoja. Sasa sijui anataka data gan tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…