Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

Toa facts na data za kukataa kwamba Mayele hakuwa Yanga SC kwa mkopo, kuna kesi gani hapo kukopa ni kesi?au tatizo lako ni muda wa mkopo?
Fact ipi unayotaka? Mayele, wakala wake walithibitisha kua yanga kwa mkataba wa miaka miwili aiya we fact gan kwa upande wake inayoisha alikua yanga kwa mkopo
 
Sasa shida iko wapi hapo mnafanana Kila mtu abaki na lake bila ushahidi yote ni mawazo na hisia tu na haina ubaya haisaidii Mayele kaondoka ndio basi Yanga wasubiri atararudi 2025

Ahaha mfano tuseme Aucho yupo yanga naa tunajua amebakisha miaka miiwili so kwa kujua hilo haitoshi then jemedar aseme yupo kwa mkopo inabd tumuamini au sio?
 
Sasa shida iko wapi hapo mnafanana Kila mtu abaki na lake bila ushahidi yote ni mawazo na hisia tu na haina ubaya haisaidii Mayele kaondoka ndio basi Yanga wasubiri atararudi 2025
Dunia ya sasa hivi unaweza kuficha taarifa za mchezaji? nmekutolea mfano wa Kisinda na Chiko Ushindi taarifa zao za mkopo zilikua wazi iweje Mayele ziwe kificho, pili wachezaji waliokuja na Mayele season ya 21/22 kutoka AS Vita walikua Moloko, Bangala, Djuma, wote hao walikua kwa mkopo au ni Mayele peke yake?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Fact
 
Kama sio kweli si upuuze tu au Yanga watakulipa🤣🤣🤣
 
Kasome Tena utamwelewa. Mbona mm nimesoma hapo na nimeelewa? Ila wee inaleta story tofauti ilimradi tu uonyeshe na wewe chuki dhidi ya mwamba sna Bin Kazumari.

Namkubali sana mwamba huwa anapiga spana na kukaza kwelikweli!

Jitahidi kumpenda utafurahia maandiko yake Ila utumie ubongo siyo makalio.
 
Sasa hapo chuki iko wapi. Kukopa ni dhambi ukiambiwa umekopa na hujakopa unachukia nini na hujafanya
 
Umemuelewa bn
 
Dunia ya sasa hivi unaweza kuficha taarifa za mchezaji? Nmekutolea mfano wa Kisinda na Chiko Ushindi taarifa zao mbona zilikua zina fahamika what so special kwa Mayele mkopo wake uwe siri let's say alikua kwa mkopo ni wa mda gani,? na kwanini Pyramid hawakwenda Maniema ?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kuwa shabiki wa yanga mzee, lakini pia sinaga ushabiki maandazi wa kutetea kitu ili mradi mtu huyo ameegemea simba au anaiponda yanga.
Kwangu nyeusi nyeusi, nyeupe nyeupe, haijalishi iko wapi.
Siku zote tunajuana sisi Yanga nawe umo. Leo unasema wewe Simba?
 
Huyo mtaalamu hua hapindishi yeye huwa anafyeka tu kama mzee wa jambia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…