chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
mmh hata ningekuwa naitwa Rwanda haikuondolei tatizo la kukosa info...u are not informed that is very obvious so jina halina maana sana hapa...au unapoza machungu ya kuropoka?
Nimekuambia hivi wewe si unamchukia kagame? Njoo basi umuondoe madarakani or shut your hole that is spewing sewage here. Dimwit. Nilishakuambia kuwa utakachoambulia kwa kumchukia raisi wetu ni kitu kimoja tu. Vidonda vya tumbo.
Hawa jamaa ni JASUSI la kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof. Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa. Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.
Inamana serikali ya Tanzania imelala kwa hili au inalifuatilia.??
Natabiri PK atakufa kifo cha risasi tena na walinzi wake kama alivyouawa kabila
Hawa jamaa ni JASUSI la kimataifa, tena baadhi ya mafunzo ameyapatia hapa Tz. Tangu wamuue Prof. Juan Timoth Mwaikuwa aliyekuwa wakili wa utetezi wa baadhi ya watu waliohusishwa na mauaji ya kimbari huko Rwanda, inaonyesha jinsi gani pia wanavyojua kufanikisha shughuli zao za kijasusi kwa ustadi mkubwa. Hawa jamaa waliingia hadi Dar nyumbani kwa huyu Prof (RIP), wakammiminia risasi na wakaondoka bila kushikwa na yeyote.
Jibu hoja, kwanini ninyi watu wabaguzi tofauti na wahutu damn.....mbona hvyo!!!!!
Ni kweli majasusi wa Kagame walimua Prof Juan kwasababu alikuwa akiwatetea wahutu kwenye mahakama ya kimataifa UNICTR - Arusha.Tatizo ni pale serekali ya Kikwete iliposhindwa kuichukulia hatua Rwanda walau hata kuilaumu.Kagame kuona hivyo akavimba kichwa akajua Tanzania hawana lolote akamtisha hadi Rais wa nchi.
Hiyo habari Si kweli!
wewe pamoja na chokochoko zako hauko hata kwenye mawazo yakeKatika kuonyesha Meja Paul Kagame ni kinara wa tasinia ya kijasusi katika Afrika, nyumba ya Gen Kayumba Nyamwasa inayolindwa vikali na polisi ya Afrika kusini ilivamiwa usiku wa kuamkia jana na kuharibu kila kitu. Akihojiwa na BBC Nyamwasa amekiri kutafutwa na watu ambao hawatoki nchi yoyote ispokuwa Rwanda. Amekiri pia kuwa nyumba yake inalindwa na polisi wa A. Kusini na kuwa kilichomwokoa ni kwamba yeye hakuwepo wakati wa uvamizi huo.
My take: Nchi kama South Afrika lazima wawe na mifumo bora ya kiulinzi, inakuwaje Kagame anaweze kupenyeza watu wake na wakaenda kushambulia eneo linalolindwa namna ile?
Kumbuka alisema kwa kinywa chake kwamba wasaliti wa nchi yake hawako salama na kuwa it's a matter of time!
Sisi wenye chokochoko naye tuko salama kiasi gani?
hii sui generis type of reaction inaonesha ulivyokerwa na kilichotamkwa. Na haikosi jf hii ina watutsi na huyu naye ni mtutsi wa masimao mkali. Huwezi ukakomaa msuli wa kumkashifu mkapa bado ukajiita mtanzania wewe. Nenda kwenu rwanda mnakoendeleza ubabe dhidi ya mataifa na raia wa nchi jiranikwa ujinga wako limwili minyama uzembe kama mkapa unadhani ndio afya bora? Muulize komba mateso ya mwili minyama uzembe akueleze.
Poor thinking capacity.
Nini cha ajabu hapo!!!???? Unapoambiwa ni operesheni za kijasusi na kama kweli ina baraka ya mkuu wa nchi basi jua watu kweli wapo kazini overtly or covertly!!!!!!!!!
Na kama anamaanisha alichosema if at all he said it basi kazi ni mbichi hiyo!!!!!!
Kulindwa is one thing, unalindwa na nani!!!!???? Ndio issue hapo na kama ni kweli inalindwa na "polisi" basi jamaa hakika atakufa ni suala la muda tu!!!!!
Na ndio maana kasema kilichomuokoa ni "absence" sababu yeye ametafsiri tukio kwa undani na uelewa wa undani wa medani, he is a general mind you!!!!!!
Watz wenzangu tuachane na ya Kigali. Hayatuhusu. Kuuwawa kwa mwanasheria wa Tz sio kwamba hatujui tunajua ni serikali ya kigali lakni hatuwezi kwenda vita au kulipiza kisasi juu ya mtu mmoja. Kama mwanasheria yule angetaka ulinzi kuhofia maisha yake,then hapo ingekuwa kitu kingine. Lakini katika public stage its was majambazi wamevamja case closed.
Kuhusu JK au Tanzania kuigopa Rwanda au Kigali huo ni ujinga na uwongo uliotukuka. Tunaheshimiana na kila nchi ipo tayri muda wowote kulinda interest zake. Hakuna anayetaka vita.Zipo habari za chini chini tunasikia kuhusu kagame znatoka ndani ya inner circle yake. Huzo zinafanyiwa kazi. Lazima iweleweke Tanzania haina chuki na watusi wala wahutu. Binafsi ukiniuliza mbaya central africa na east ni kagame and he should be ousted. Tanznaja hatuna papara tunafanya kazi. Nawakilisha[/QUOTE
Nope, it's time to strike back at Kagame regime, is totally inconceivable to see a snake rattling at our own backyard
una hakika gan?? facts.
mukarasimba ati Karegeya alikufaje??
Au alijiuwa mwenyewe to seek attention!!