Jenerali Mabeyo amuaga Rais Mwinyi. Ajiandaa kustaafu June 2022


Kwa idadi ya Wazanzibari waliomo jeshini vs Watanganyika waliomo jeshini, hata wakipita 10 generals (wote kutoka bara) ndipo anatokea 1 general kutoka Zanzibar haiwezi kustahili kupewa label ya systemic bias. Kujaribu kulazimisha idadi sawa (au karibu sawa) ya generals kutoka kila upande ndiyo kuingiza bias ya wazi.
 

Hii argument ya nurse vs CDF nadhani haina kichwa wala miguu. TPDF ina kila fani, including fani ya manesi. Mnataka kusema nurse mwenye cheo cha captain anastahili retirement benefits bora kuliko za CDF au mnaona civilian nurses ndio manesi zaidi kuliko waliomo jeshini?
 
Alifanya kazi nzuri kuzuia vibaka wafuasi wa yule dikteta kufanya uhuni baada ya boss wao kufariki.
 

..ni argument kati ya umuhimu wa mdunga sindano vs mdunga risasi.

..manesi wote ni muhimu. Na wanajeshi wote ni muhimu.

..pia kuna umuhimu wa kuboresha retirement benefits za kada zote. Kusiwepo ubaguzi kuwa hawa ni wanajeshi, manesi, etc.
 
Tunategemeana japo majukumu siyo sawa
 
Mara magaidi, mara upinzani waliuawa, mara CCM sijui imefanya nini,

Wewe ni punda unayejichanganya
 
Mkuu during that time ilikua ni one say tu hakuna kugeuka kushoto au kulia sio mbele wala nyuma.

Nina marafiki zangu waliokua karibu na ile meza sio wote walikua wakifurahia madhila yaliyokua yakitokea ila walikaa kimya kosa lao ni kukaa kimya tu ila rohoni sio wote walikua wakikubaliana na yule mtu.
..mbona haku-deal na vibaka wakati boss wao yuko hai?
 
..ni argument kati ya umuhimu wa mdunga sindano vs mdunga risasi.

..manesi wote ni muhimu. Na wanajeshi wote ni muhimu.

..pia kuna umuhimu wa kuboresha retiment benefits za kada zote. Kusiwepo ubaguzi kuwa hawa ni wanajeshi, manesi, etc.

Sema kuboresha retirement benefits za watumishi wote. Hakuna sababu ya kuwataja wanajeshi na manesi. Humo jeshini kuna manesi pia na fani zingine karibu zote!
 

..i am sorry kwamba hao jamaa ni rafiki zako. but they are not good ppl at all. wana tofauti ndogo sana na waovu waliokuwa wakidhulumu watu wetu.
 
Sema kuboresha retirement benefits za watumishi wote. Hakuna sababu ya kuwataja wanajeshi na manesi. Humo jeshini kuna manesi pia na fani zingine karibu zote!
..asante kwa ushauri wako, nimeupokea.

..nilikuwa namjibu mchangiaji aliyetaja taaluma moja akiikweza dhidi ya nyingine.
 
Mara magaidi, mara upinzani waliuawa, mara CCM sijui imefanya nini,

Wewe ni punda unayejichanganya

..mimi sio punda ni mwanadamu kama wewe.

..nakusihu ujitahidi kutokutumia lugha zisizo nzuri au na heshima kwa wachangiaji wenzako bila kujali kama unakubaliana nao au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…