Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

“[Hiki] kilikuwa ni kipindi kigumu kidogo. Lakini tulisimama kidete, kwa utulivu mzuri, kama jeshi, tukitimiza wajibu wetu kwa mujibu wa Katiba, kuilinda nchi yetu [na] kuilinda Katiba.
Hongera Sana Venance Mabeyo kwa hili
 
Nadhani anastahili pongezi badala ya dhihaka.

Asingesimama kidete hakika hii Tanzania tunayoiona leo na kufurahia amani ingekuwa nyingine kabisa.

Hongera CDF Mabeyo [emoji437]
Huyu mnafiki alizidiwa kete na kina JK, ndo maana akasimama kidete, mbona alikuwa anapeleka wajeda kusafisha barabara
 
Utata upi? Ugonjwa wa moyo ndio utata?
 
jinga kubwa wewe. kila kitu mnaingiza siasa.
Wewe unatoa.matusi,uliwahi kuona general yupi kwenye nchi.hii kila kukicha anatafuta mahali pa kuongea...?

Hapa kuna tatizo kwa muhusika.
Kuna watu hawajiamini kama ni wazee na wanahitaji kipumzika na wawapishe vijana.

Huko nyuma kuna mzee.alipoambiwa anakalibia kustaf siku hiyo ilibidi avae kikomando.amekimbia kutoka upanga hadi ikulu kumuulia nyerere kua kama.yeye.ni mzee na anatakiwa astaf..nyerere alihofia ujio ule.ilibidi amwambie kua yeye bado kijana achapekazi.

Wenzetu huko kustafu ni furaha anajua napunzika sasa na anawaza nitembelee nchigani kila mwaka kutalii. Sisi waafrika kustafu tunaona kama kudhalilishwa.

Hili ni tatizo.akili zetu sisi waru weusi bado zina ukungu mzito.
 
cdm wagombea
mbowe -2005
dr slaa 2010
lowasa - 2015
lisu -2020

Naweza kurekebishwa km nimekosea
Kuna wengine humu mwaka huo wa 2005 hata chekechea hawajaanza.unahangaika kuusumbua kichwako bulu mkuu.muache siku akimuuliza babu yake akiambiwa ukwelu ataona aibu atarudi.kufuta uzi wake.
 
Alichofanya alizuia maccm yaliyotaka kumpindua Samia kisa Hana degree kama Sheria inavotaka wakati Mzee magu amedanji. Lakini ccm kila siku wanavunja Sheria yeye ameufyata. Asituchuze
Mkuu Ni kweli kuwa mama samia Hana degree? Hiyo masters yake aliyonayo kaipate sasa?? Tuache uzushi
 
Wapuuzi tu hawa , hiyo katiba walikuwa wapi kuilinda Kule Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu huyo kengevwao alipokuwa anawatumia kama condom kuua wapinzani na kuvuruga uchaguzi 2020 Zanzibar na Bara ?
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, raisi akipita kwa wizi wa kura mbona hawaingilii kati na kutangaza uhalisia? Wizi na ufisadi mkubwa unapofanyika na kulipotezea taifa rasilimali zake huwa wanakuwa off kazini au! Tena kazi yao ni kulinda nchi na mipaka yake yote, twiga, Tanzanite na vitu vyote vilivyomo ndani yake.

Maamuzi aliyoyafanya yalikuwa kwa maslai yake ya baadae zaidi, in Tanzania nobody really cares about anybody to that extent, a wise man once said pretenders are worse than murders.

Kazi zao ni za siri na ziishie sirini, asitafute ujiko mbuzi, hizo mbanga za wasanii tena wa Bongo fleva na wanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…