Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Ebu soma vzr ulichoandika yaan unajihukumu mwenyewe kwenye bandiko lako
 
Mkuu! Kama hujui kilichofanyika,busara ni kunyamaza. Tunaojua kilichofanyika tunabaki na maumivu yetu moyoni maana nyeusi iliitwa nyeupe na ikawa hivyo mpaka leo.
Ucmjibu huyo katumwa kapiga kura peke yke et anasema wananch
 
Ridhiwani Kikwete atapewa Uwaziri au unaibu waziri na JPM

JK anajua kilichofanyika ila atakuja kuleta maneno ya kuomba radhi na kujirudi kwa wananchi miaka ya baadae akishachoka zaidi kama ilivyokuwa kwa Mkapa.
 
Huyu jamaa aliyeandika sredi hii ni mzima wa afya ya akili kweli?
 
Ridhi anaweza kuja kuwa rais Kama mchezo mchezo
 
Tuanzie hapo kwanza, kwani JK enzi hizo anashinda uchaguzi ulikua huru na wa haki?!
 
Mkuu,
Jamaa aliiba kwa jeuri ya wazi kabisa, kwa kujuwa kwamba hakuna mdudu hata mmoja wa CCM wataweza kumnyooshea kidole.
Ni hivi; tofauti wa wizi wa JPM na wizi wa CCM uliopita ni ufundi tu wa kufanyia huo wizi wenyewe. JK atawezaje kumwambia wakati wanajuana mitindo yao? Tatizo walimsusa, hawakumpa mikoba ndio maana jamaa akaenda mchomo!
 
Mbona Jakaya ameshasema........
Tatizo vyombo vya Habari havitangazi na hata vikitangaza wengi tunakua hatuelewi maana anatumia lugha za kiungwana sana
 
Nimekuelewa sana mkuu.
 
Mzee mwinyi na JK mnawaonea bure
Hawataki bughudha
Je wajua Jakaya ameshawahi kutatizwa na jiwe?
Jiwe hana adabu mwinyi akikenua anaweza kujikuta segerea
Kama aliwaambia wastaafu wanawashwawashwa sasa unataka nini?
 
Kwahiyo wewe unabishana na katibu wako mwenezi (Polepole) aliyetangazia dunia kuwa chadema walichapisha kura fake?
 
Nawe Vaa viatu vyake uone, familia imeshaangaliwa vyema hataki bughudha.

Hata Mzee Ally Hasan ukimuuliza atakwambia "naomba mniache please".
Ukiangalia nchi kama US utasikia wanazungumzia "our fore fathers" then wanawataja akina Washington, Lincoln... wanasifia kazi zao. Naona huku kwetu Jamaa wataendelea kutukanwa na kuchukiwa kwa miaka 200 ijayo.
 
Uchaguzi Huru na Haki duniani kote hakuna, labda Mbinguni tu, Generali naona hili bado hajui vizuri.
 
Hilo ni tabaka tawala,mfumo unamnufahisha yeye na familia yake,ndugu zake,hakuna awamu iliyokuwa na majambazi(yaliyovaa suti)Kama ya Kikwete,wizi wa mabenki mchana kweupeee,
 
Hakika! Ingawa hapa mie ni kama namkumbusha JK kuwa "akili za kuambiwa ........................?" Tunamsubiri asifie ushindi!
Kujipekeza kabudi hakufikii, umeamua kujitoa ufahamu , ina maana Leo mama Salma na Riz1 siyo CCM wait wamepata kura halali ila wengine wameiba kura?
Basi chadema leteni orodha ya waliopata kura halali na walioiba kura siyo ukiwa na njaa yako unaanza kujikomba kwa JK.
 
kwa niliyosoma kutoka katika thread hii nimeamini upinzani wa Tanzania unawatu wenye shida katika akili zao yani wanateseka hawana amani wala matumaini tena .

hata katika maisha ya kawaida ukiona mtu ameshikilia Sana mambo yaliyopita ujue afya yake ya akili haiko sawa.

sawa uchaguzi haukuwa huru na wahaki so what? mnachoweza kubadilisha ni kipi sasa JPM . ameshaapishwa mkae mtulie mjue hakuna tena marudio wala huruma itakayowaona nyinyi kila mtu ameshawasahau na kuwapuuza

Askari hanaga mwangwi vitani pigeni mbiu kusonga mbele tambueni madhaifu yenu, yafanyieni kazi mapungufu mliyoyaona waacheni mbwa waliokimbia nchi na kwenda kubweka huko nje hawanga'ti ni mbwa koko.

eti vikwazo vikwazo mkae mkjua kila mtu katika hii nchi anauwezo wa kuwa kiongozi vipi chadema bila lisu, mdee , mbowe nyarandu, lema haiwezekani?

mkiendelea na huu ujinga wenu huku mitandaoni mtaendelea kuwa kituko. magufuli alikuwa bora mara 10 zaidi ya upinzani ndiyo maana akashinda kwa kishindo.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tunahitaji kupigana vita na genge ccm ni balaa kwa nchi yetu.
 
Id ya october 2020, hii ni moja wapo kati ya Id nyingi za mwaka huu humu mitandaoni, na lengo lake ni kutetea ushindi wa shetani.
Nakufahamu wewe na kelele zako za I'd ya October na kuita watu dogo. Uchaguzi umeshaisha kelele humu hazisaidii.
 
Utachoshwa na mkimbizi hawa wenye uraiya kuungaunga huwa wanamatatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…