Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Burundi kwetu
 
nakumbuka jiwe wakati anahutubia alisema yeye anachojua ni kuwa 2+2=4 au 2+2=5-1 nothing less nothing more.
 
Sasa Jk afanye Je ?!. Uliona majuzi tu kabla ya uchaguzi anakabidhiwa hekalu na 80% ya acting
 
Shetani ametamalaki Tz kiasi kwamba wastaafu wako kimya, watumishi wa madhabahu wako kimya tena wengine wakishangilia na KUSIFU BILA AIBU
 
Jakaya alisema tutamkumbuka na kwakweli anakumbukwa sana,sasa tz amegeukia utawala wa mabavu,tz imepata raisi Mungu/mtu/malaika huwa hakosei yuko sahihi kwenye kila jambo na mkimpinga jiandae kwa nguvu ya dola.
 
Haha hahahah njooni tena 2025..nendeni mkajipange na kujifunza upya...tuambie ni role ya mawakala wenu ilikuwa nini labda...Je mliwaruhusu washirikiane na ccm kufanya unayolala mikia. Tuambie ni tuelewane basi
Mawakala walitolewa nje na wengine hawakuruhusiwa kuingia kabisa vituoni. Na hayo tumeyaona kwa macho yetu.
 
Nakufahamu wewe na kelele zako za I'd ya October na kuita watu dogo. Uchaguzi umeshaisha kelele humu hazisaidii.

Kelele haziishii labda ww ndio uache kufuatilia kelele, kwa taarifa yako ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Tunakaaje kimya kwa mfano?
 
Sijawahi kuona uchaguzi huru na wa haki kama uchaguzi wa 2020
 
Siye tunaendelea na safari
 

Hata Mugabe, Elbashir, Hosni Mubaraka nk walikuwa wanashinda uchaguzi kwa 80%+, yote hiyo haikuwa ridhaa vya wananchi bali kupitia madaraka yao. Huko nako wapambe wao kama ww walikuwa wanasema viongozi hao ni bora mara 40 ya washindani wao. Ila ushenzi, unyama, ukatili na uhayawani wa wazi kama wa uchaguzi huu, ulikuwa unaonekana na wananchi. Lakini siku wananchi uoga ulipowaisha, viongozi hao madhalimu walibaki wenyewe bila wapiga kura maana hawakuwa nao.
 
sisi uoga hautakaa uishe mkuu...upo kwenye damu
 
Nawe Vaa viatu vyake uone, familia imeshaangaliwa vyema hataki bughudha.

Hata Mzee Ally Hasan ukimuuliza atakwambia "naomba mniache please".
Uko sahihi, every human being wants to live in a comfort zone.
 
Kelele haziishii labda ww ndio uache kufuatilia kelele, kwa taarifa yako ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Tunakaaje kimya kwa mfano?
We piga tu kelele humu si tatizo ila kwenye ulimwengu wako halisi wa majina yako matatu endelea kutii sheria bila shuruti na kulipa kodi kwa serikali ya ccm.
 
Unatatizo la msingi mkuu, sema huwezi kujijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…