Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

Mbona Ulimwengu sisi tumesham delete kwenye vichwa vyetu kwa sababu yeye hata siku moja hakuna zuri linalofanyaika ndani ya Tanzania ? Tokea ameonja joto la utawala wa Mkapa anahasira kama mbwa aliyejruhiwa .
 
Kama objective ni kusifu tu mamlaka basi bora asiwe hivyo unavyotaka wewe
Na pia kuwa objective siyo kukosoa tu mamlaka...ukiwa na grudges huwezi kuwa objective ...huyo Ndugu yenu Ana grudges na mamlaka...wakati Mkapa anatangaza Nia ya kuwania urais kwa Mara ya Kwanza mwaka 1995 yeye ni miongoni mwa watu wachache waliomsindiza kwenye kutangaza Nia hiyo...alipopata urais Mkapa hakumteua kwa nafasi yoyote...Sasa huyo Ndugu akaanza kukosoa mamlaka ...wakati Fulani akaambiwa siyo raia..whether baadaye alirudishiwa uraia wake au alipewa wa kuandikishwa siyo hoja yangu hapa...hoja yangu ni pale alipogeuka kuwa mkosoaji wa mamlaka...uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa fair na wapinzani walishindwa kihalali na uchaguzi uliendeshwa vizuri kuliko hata wa Marekani...
 
Tutarajie wakati wowote kupimwa mkojo, na kuulizwa uraia wake
 
Eti ccm wanashangilia ushindi wakati Mneiba.sijui hiyo dhambi ntaitubu wapi kwani toba pekee ni kurudia uchaguzi
 
Baada ya hiyo kauli yake inabidi awe mwangalifu yasijetokea yale baada ya kusema demokrasia imerudi nyuma miaka ishirini (angalia picha hapo chini).

 
Uchaguzi feki ,Kura feki,rais feki,wabunge feki,madiwani feki

Hiyo ndiyo Tanzania ya suchu
 
What about America USA?
ambako ndio tunachukua kama mfano wa demokrasia....
tunaambiwa uchaguzi umechakachuliwa...
kumbe nao ni wale wale tu kama Africa
uko sahihi, aliekuwa madarakani ndio analia kuibiwa kura kwako hiyo inasaundi vipi? hapa afrika inawezekana hiyo mfano magu alie kaibiwa kura?
 
Hivi sifa kuu ya kuwa ccm ni lazima ujitoe ufahamu au!!!!!
 
Huyu muhutu , uchaguzi wa Tanzania unamhusu nini?
Mmeshindwa kuwalipa mawakala wenu, wakaamua kisusa na kuobdoka vituoni mnasingizia NEC!
Jipangeni upya, maana malalamiko yenu kola uchaguzi tumeyazoea
Ila tafuteni mgombea mzarendo huyu shoga atazidi kuwanyima kura
 
Jenerali amesema kura feki zilizagaa kote nchini jee anao ushahidi kwamba alizoziona ni kura feki kweli? Jee unakumbuka Mnyika alitaka kujua kampuni gani imechapisha karatasi za kura kwanza akasingizia Jamana printers unajua kwa nini alitaka kujua? Kura feki zilitengenezwa na chama kimoja cha upinzani
 
Sio mwaka huu hata miaka yote ilopita hakukuwah kuwa na uchaguzi huru
 
Hana ushahidi huo...Huyo Ndugu yetu anaropoka tu ....halafu eti anaitwa ni mwandishi wa habari mwenye weledi....ni weledi gani kwa kutangaza Mambo ya uzushi...akiambiwa atoe ushahidi atazungusha macho tu...huyo Ndugu Ana chuki na mamlaka tangu enzi za Mkapa..yeye ni mwandishi wa habari?! Wanaomtetea watuthibitishie alisomea chuo gani Cha uandishi..kumiliki magazeti Haina maana wewe no mwandishi wa habari kitaaluma...siwapendi watu wanaojificha kwenye taaluma na kukosoa wengine kwa sababu ya chuki binafsi..
 
Ktk umri wa kumtegemea baba akikutendea hovyo hutamsema utaridhika tu,!
 
Kweli upumbavu ni mzigo
 
Aangalie asije akanyang'anywa tena Uraia maana huyu ni mwanafunzi wa yule muasisi wa kuvuana uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…