Jenerali Ulimwengu: Hakukuwa na Uchaguzi huru na haki

1. Upuuzi gani?

2. Na lini mimi nimeushabikia?

3. Weka ushahidi wa hilo dai lako.
Ngabu mimi nimeanzia Tanu youth League 1975 . Nimekuwa chipukizi wakati Ccm inaanzishwa 1977. Nimecheza halaiki mwaka wa tatu Ccm Kirumba 1980.

Hatukuwahi kuwa na uharamia huu wa 2020 . Nyerere aliwahi kushiriki uchaguzi wa marudio huko mbulu na Tanu ilishindwa alikiri kushindwa . Hiki kilichotokea safari hii , nafasi ya wananchi kuchagua viongozi wao iko wapi ?!. Naona safari hii ni mtawala anataka nani awawakilishe wananchi !!. Tunajidanganya kukubalika.

Leo hii na sisi ni miongoni mwa wanaompongeza Joe Biden !!. UNAFIKI MTUPU
 
Sasa mimi ninashabikia upuuzi gani kama ulivyodai?
 
haina madhara kwa wakati huu
 
JK ninafahamu your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM.

Hata hivyo - Kaka JK hivi ni kweli na wewe unaamini Uchaguzi huu ulikuwa murua? Ukweli ninakusubiri kwa hamu sana siku nikikusikia unasifia Uchaguzi huu ulivyofanyika. Siku hiyo si ajabu nikakusikia unamung'unya maneno na kusifia kwa kifupi sana isivyo kawaida.

May be utakumbwa na mzizi wa fitina ukasifia kwa ajili ya your wife na son Ridhiwani. Ila utajichora sana kaka mjomba!
 
Mzee uchaguzi umeisha, narudia tena; uchaguzi umeisha
Hauja isha kabisa, "kisasi" kilichokwenye mioyo ya watu/fundo la kudhulumiwa hukijui na utakijua "opportunity" ikitokea ya kuonyesha "kisasi"/kutoridhika
 
Walikuwa wanakamilisha matokeo tu, hakukuwa na uchaguzi

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mioyo ya watu wangapi ina fundo la kudhulumiwa?! Mimi naona mamilioni ya watanzania hawana fundo Hilo...
Hauja isha kabisa, "kisasi" kilichokwenye mioyo ya watu/fundo la kudhulumiwa hukijui na utakijua "opportunity" ikitokea ya kuonyesha "kisasi"/kutoridhika
 
JK ninafaham your wife kala shavu. Sina shaka kuwa yeye yawezekana kapata kura halali - mwanao Ridhiwani pia. Ninahisi kati ya wife au mwanao wataweza kuingia kwenye Baraza la JPM...
Mkuu uchaguzi ushaisha na raisi ashaapishwa. Kinachosubiriwa kwa sasa ni kuteuliwa kwa baraza jipya la mawaziri, ili serikali ya awamu ya pili ya raisi Magufuli ianze kutekeleza kile ilichoahidi kukifanya kwa wananchi.

Mambo ya kulalamikia uchaguzi ambao umeshapita, hayatokusaidia kitu zaid ya kuendelea kujiongezea msongo wa mawazo. Labda kwa vile wengi wenu huwa mnatumiwa bando na vocha za bure na viongozi wa vyama vya upinzani ili mje kuandika utumbo wa kui chalenge serikali
 
Mioyo ya watu wangapi ina fundo la kudhulumiwa?! Mimi naona mamilioni ya watanzania hawana fundo Hilo...
Wewe wasema kwa vile uko kwenye madaraka au unanufaika na dhuluma! Ubarikiwe, heri wenye kufaidi kwa maumivu ya wenzao maana ufalme wa shetani ni wao!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…