Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

Kama ikiwa kuna watu watano tu wazalendo waliobaki kwenye nchi basi Jenerali ni mmojawapo.
Nilisita sana kuku'quote', lakini nimejikuta nikilazimika, kwa sababu ya hilo neno "Mzalendo".
Sijui kwa nini tunapenda sana kutumia hili neno hovyo hovyo tu!
 
Yule mzee ana matatizo sana. Hilo la dharau kejeli na majivuni nimemuona nalo mara kadhaa, hasa katika maeneo ambayo ataalikwa kutoa maada. Mzee Jenerali anapaswa kupewa funzo, lazima atuje kutumia ulimi wake vyema.
 
Wewe hauna akili
 
Usimchafue kabisa huyu ni moja ya wazalendo wachache waliobaki kwenye taifa letu bwana mdogo
 
[QUOTE="JUAN MANUEL, post: 43159195, member: 32575

Ila tangu Samia ameingia,Huyu mwamba hampopoi kwa mawe Yale aliyoyatumia kumpopoa JPM,Swala la ngorongoro,Loliondo Wala haligusi kabisa,when it comes to Samia,he is very biased,and I wonder why!!!

This guy is Muslim,and now we have a Muslim prezoo,hawezi mpa makavu,hata Shangazi fatma,tune yake ya kukosoa imebadirika sana tangu tupate,Rais Mzenj&islam
[/QUOTE]
Acha ushamba wa udini Jenerali alimsapoti sana Mkristu Nyerere na kumponda Muislam Kikwete pia
 
Ni nini ulitaka kusema?
 
Nonsense!..acha kuogopa watu wenye akili!
 
jenerali Ulimwengu sio manafiki na sio muoga na nimtu mzalendo wa hali ya juu so sishangai vibaraka kama wewe mkijaribu kumchafua

Yeye ni muoga tangu awali. Kama hakuwa muoga kwa nini alibadili jina akiwa mwanafunzi, pale Tabora Boys. Ni muoga sana, na ndiyo maana awamu iliyopita alikuwa hasikiki utafikiri alikuwa kahama au kafa.
 
Kwamba wewe umfundishe General Ulimwengu lugha ya kistaarabu, hapana huwezi.

Ulimwengu anaongea ukweli usio na ukakasi, wengi mnaogopa kuambiwa ukweli.

Mwache tu aseme

Kama huyu hawezi kumfundisha mzee Twaha ustaarabu, basi unamaanisha yeye ndiyo ustaarabu. Yaani, ni kwamba Twaha = Ustaarabu.
Kama akili yako ni hivyo, basi kuna shida mahali.
 

Sasa mtazamo wako na mzee twaha ndiyo ujengewe sanamu!!? Yachapisheni kwenye miimo ya milango ya nyumba zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…