Jenerali Ulimwengu: Rais Samia aelewe kwamba hii nchi ni ngumu

Nadhani ulimi wa general uliteleza. Hayo ndio matokea ya kuachia jazba iongoze akili.
 
Hana njaa Kama zenu Mataga,anaweza akawafuga ukoo wenu wote.
 
Mkuu ni Lugha gani umeandika hii?
vihana,hamhuri nk?
 
Teteeni familia zenu na maisha yenu. Mnajikomba kwa Samia Samia, vitu vingine ata havina maana. Mzee kasema anamuomba aielewe nchi hii nchi ni ngum. Sasa hapo katukana nn au kavunja sheria zipi?
Humu wengi vilaza kuelewa hoja ya ulimwengu ni ngumu sana.
 
Vipi Mzee Jenerali, unataka uteuliwe kama mshauri?

Maana kila utawala unaoingia madarakani ni shida kwako.
Kuna watu walizaliwa kupinga tu kila jambo la wengine.

Sasa huyu nenda kwenye kaya yake uone anavyoiburuza na hataki apingwe.

HUYU BWANA NI MFANO HALISI WA SHETANI.
 
Njaa itawaua mpaka mnapofuka macho hamtaki hata kuona ukweli? Samia haijui Tanganyika pengine huko Zenj; muulize amewahi kufika Busokelo au anajua hiyo sehemu iko wapi?
MUGY ni neno lenye maana ya kuwa mgeni ; likitumika sana kwa wanafunzi wanaoingia secondary za Mbweni kuanza darasa la Tisa enzi hizo!! Sasa Samia sio mgeni kwenye wadhifa alio nao?
 
Jenerali kwa sasa anapiga kwenye mshono tu, hakwepeshi mambo.
Wiki iliyopita alipiga kwenye mshono wa bunge, spika Ndugai akachanganyikiwa na kuanza kupanic tu.

Sasa jana Jenerali amepiga kwenye mshono wa dikteta wa kike, safari hii lazima pachimbike.
 
Tatizo lenu mmezoea kuwalamba matako viongozi,mkiambiwa ukweli mnahisi ni dharau,tutachelewa sana kupata maendeleo kwa kuwa na watu wenye mawazo mfuu kama wewe,kwani ukiwa rais au waziri unakuwa umekamilika hutakiwi kukosolewa?
 
Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu na majarida ya zamani,magazeti nk . Sijawahi kusoma au kusikia cha maana alichofanya Jenerali Ulimwengu zaidi ya kuwa mkosoaji wa kila serikali hasa zile zinazoheshimu demokrasia ya uhuru wa maoni.

Anafaa kupumzika alee wajukuu.
 
Huyu na kundi lake wanaishi kwa hela za mabeberu kwa kuendesha campeni za aina hii za kuwagawa watu na kuwakeep bussy . Hii ni kwa sababu ya kuwafanya mabeberu waweze kuendelea kuchota uchumi kirahisi
Weka japo ka ushahidi basi, video/picha/document. Kama wapata ugumu kupangua hoja zake ingefaa kuachana na porojo.
Sio busara kuwa kama polisi wa tz.
 
Rais na makamu wa Rais ana tools nyingi sana za kuijua nchi kuliko anavyotaka kutu
Tatizo lenu mmezoea kuwalamba matako viongozi,mkiambiwa ukweli mnahisi ni dharau,tutachelewa sana kupata maendeleo kwa kuwa na watu wenye mawazo mfuu kama wewe,kwani ukiwa rais au waziri unakuwa umekamilika hutakiwi kukosolewa?

sasa hapo ameongea nini cha maana cha yeye kusikilizwa...?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…