PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Wewe mjinga tu,huwezi kuwakosoa wenye akili
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Aliyekosa maadili ni yule bibi kizee msagaji
 
No reform no election
Wajinga ndio waliwao tafuta maana yake kwenye lugha mama ya sheria yaani LATIN.Ndio mtagundua mmeliwa.
Hata huyo Padre Silaa anajua fika Chadema ya Lissu ipo crossroad kwa msamiati mfu.
Lakini njaa ya kujitakia inamuubua.
Jibu sahihi mfaete Askofu Kilaini mtaalamu wa lugha na sheria kilaitini ndio mtajua mmeuzwa kama watumwa,Amsterdam anadai Tanzania trillioni dollar 15 iwapo Lissu atachukuwa nchi.Ni kuchuma,kula bila kunawa for next 200 years.
Unadhani AMSTERDAM anamfadhili mtu mweusi,sub lawyer,Lissu kwa kuipenda Tanzania?
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Katika maisha yako yote yaliyobaki hata usikie mkeo anatafunwa basi utapinga hata upewe vídeo ambayo inaonesha tukio hilo.
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Kuvunja Nini?? We itakuwa hukufundishwa adabu kabisa ama unamashetani mazito yamenenepeana ndaniyako!!
Whatchout
 
Pumbavu
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Chawa umeelewa alichokiandika!

Wewe Malaya wa kisiasa umesoma alichokiandika?
 
🚮🚮🚮
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Acha dawa iwaingie. Mnahubiri amani na mnaichukia Haki hadharani
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Geromen.
Umekua kama mbwa kichwa kila mtu unambwekea tu🐶. No Reform no Election endelea kukata viuno.
 
Chawa wa Samia unaota ndoto mchana huu! Mama yako Samia anauza nchi kwa waarabu halafu unachekelea kama zuzu! Usituambukize utaahira wako, hatudanganyiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…